Mwana-Chitchat - Unaishi wapi? mtaa gani?

Kumbe nimekuwa mwenyeji............Halfu nilikuwa sijacheki signature yako "Moro...Mji Kasoro Bahari Mpo?
b52 kutua mjini!"
Hahahaaaa ndio maana yake
Dah una macho aisee
Nataka kwenda kula raha kesho na jumamosi then jumapili ntapita Jiji kubwa kumsalimia Madame B na cacico then j3 narudi zangu kwa Preta chugaaaaa
 
Last edited by a moderator:
ah ha ha ha hah h kwani baada ya kusoma certificate in business studies hukuendelea tena pale CBE?

Hebu nifafanulie maana umeniacha njia panda! mimi nimesoma mpaka mwalimu kafa ubaoni! elimu yangu ni kubwa sana nina certificate ya chekechea! sasa huko unakonipeleka naona kama unanivunjia hadhi yangu!
 
mimi na ma swtlo Kaizer tunaish nyumbani tandika double cabin kwenye wauza mchele ule wenyewe toka bara na pwani. mwanangu Ronn M kwasasa ameoa hivyo anaish magomeni mikumi na mkewe jeneneke. dada yangu mkubwa ( mke mkubwa ) AshaDii tunaish naye nyumba moja ua mmoja, tunakula na kupika pamoja, ila kila mtu ana chumba chake ili kulinda heshima ya ndoa yetu.
 
Last edited by a moderator:
karibuni kwangu Chumvini....barabara ya kuelekea mapango ya Amboni!!!! Mtakula vibibi na pepeta na uwono......
 
mimi na ma swtlo Kaizer tunaish nyumbani tandika double cabin kwenye wauza mchele ule wenyewe toka bara na pwani. mwanangu Ronn M kwasasa ameoa hivyo anaish magomeni mikumi na mkewe jeneneke. dada yangu mkubwa ( mke mkubwa ) AshaDii tunaish naye nyumba moja ua mmoja, tunakula na kupika pamoja, ila kila mtu ana chumba chake ili kulinda heshima ya ndoa yetu.

Kwani mkiishi chumba kimoja heshima ya ndoa itavunjwa? kivipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom