Mwana-Chitchat - Unaishi wapi? mtaa gani?

Mie kwa kweli niko Dodoma,Njia ya kuelekea mnadani kuna kituo kinaitwa 'Mti mkubwa'
Ukishuka hapo angalia nyuma yako utaona nyumba ina geti jekundu..karibuni!

Mti mkubwa? hebu nikumbuke barabra hiyo kuna kituo Dear mama, darajani, kwa muddy, kwa mchumia...............Hii Mti mkubwa iko pande ipi?
 
Niko hungumalwa barabara ya mwanza shinyanga. Kuna nyumba mpya pale ndo nimeuza pamba nikajenga. Na ina mpaka vyumba vya wageni mnakaribishwa sana.
Mr Rocky nakutafuta sana aisee
Kwanza nasikia umejifungia ndani na Yummy mnaogopa kichapo cha babu Asprin
Fanya urudi kwako ukaendelee na ubachela maana unatesekea mapenzi bure
 
Last edited by a moderator:
Naishi Olmatejo baada ya kuhama makaburi ya baniani, njia ya esso kwenda sokoni wani. Mamalizia kodi niamie Kiding'a! Jimbo la Arumeru Magharibi, wilaya ya Arusha Urban, mkoani Arusha!
 
Nipo kamanda.!
Kwesho natua Moro hebu niletee wadau wa Moro faster wakanilishe Miwa kule Mtibwa

Moro pamekaa kushoto kwangu huwa napita tu..........ila mji poa na kibaridi kama cha Arachuga
 
Naishi Olmatejo baada ya kuhama makaburi ya baniani, njia ya esso kwenda sokoni wani. Mamalizia kodi niamie Kiding'a! Jimbo la Arumeru Magharibi, wilaya ya Arusha Urban, mkoani Arusha!

Mmmmmmmh.......acha kamba "Kiding'a! Jimbo la Arumeru Magharibi, wilaya ya Arusha Urban, mkoani Arusha!
 
Moro pamekaa kushoto kwangu huwa napita tu..........ila mji poa na kibaridi kama cha Arachuga
Hahahaaaa sawa kijana ntakupa mreport kama nikipata nafasi ya kuzurula
Chuga winter kali sana ila labda ni kwetu mabachela tu siwasemei wengine
 
Naishi Olmatejo baada ya kuhama makaburi ya baniani, njia ya esso kwenda sokoni wani. Mamalizia kodi niamie Kiding'a! Jimbo la Arumeru Magharibi, wilaya ya Arusha Urban, mkoani Arusha!
Kijana mzima wewe?
Nilitaka kukutafuta mida fulani ila nkajikuta nimetokezea Olmatejooo dah
 
Hahahaaaa sawa kijana ntakupa mreport kama nikipata nafasi ya kuzurula
Chuga winter kali sana ila labda ni kwetu mabachela tu siwasemei wengine

Chuga nilipita mwezi uliopita......kibaridi balaa, ila alhmdulilah sikupigwa visu mtaani
 
Mmmmmmmh.......acha kamba "Kiding'a! Jimbo la Arumeru Magharibi, wilaya ya Arusha Urban, mkoani Arusha!

Mkuu, hilo jina la Kimaasai lisikuchanganye. Kunaitwa Olkiding'a, ukipita tu Lengijabe! Jimbo, wilaya na Mkoa vipo sahihi kabisa. Karibu sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom