Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbagala Kuu apandishwa kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la Sita

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,527
Mwalimu wa Shule ya msingi Mbagala Kuu, mkazi wa Mwanamtoti aitwaye Ally Said Kaule (26) maarufu kama Sir Ally amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Temeke kwa kosa la kumuingilia kingono mwanafunzi wake wa darasa la sita.

Akisomewa mashtaka leo Jumanne mbele ya hakimu mkazi Aziza Mbajo, Mwendesha mashtaka wa jamhuri Grace Lwila amedai katika tarehe isiyojulikana Agosti mwaka huu eneo la Mbagala Mwanamtoti mshtakiwa alimuingilia kingono mtoto wa miaka 11 ambaye ni mwanafunzi jina limehifadhiwa.

Mtoto mwenye umri wa miaka 11 mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mbagala kuu mkoani Dar Es Salaam anadaiwa kubakwa na Mwalimu wake mnamo mwezi Agosti mwaka huu wa 2022 huku Mwalimu huyo akimpatia binti huyo ufunguo wa makazi yake binafsi ili endapo akimuhitaji aweze kufika kwake kwa urahisi.

Baada ya kukamatwa na polisi kata na kuhojiwa mwalimu huyo Ally Said Kaule (26) alikiri kuwa na mahusiano ya kimapenzi na binti huyo na kwamba mipango yao ni kuja kuwa wanandoa. Kutokana na hilo Ally alikamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi Mbagala na kuwekwa mahabusu mpaka kesi yake ilipotajwa mahakamani.
 
Darasa la 6 kwa watoto wa sasa ana miaka kati ya 10 hadi 12. Bado . dogo sana.

Jamaa ana miaka 26 anataka, akila miaka 30 atatoka na 56.

Dogo wamtupie miaka tu.

jamaa anaenda jela kama utani.. alinogewa mpaka kumpa funguo wa gheto lake.

nazani alikuwa na uchu wa papuchi na hela ya kuhonga hana.. maana wanawake above 18 wanataka hela za kuhongwa.

dunia sijui inaelekea wapi?
 
Baada ya kukamatwa na polisi kata na kuhojiwa mwalimu huyo Ally Said Kaule (26) alikiri kuwa na mahusiano ya kimapenzi na binti huyo na kwamba mipango yao ni kuja kuwa wanandoa. kutokana na hilo Ally alikamatwa na kupelekwa kituo cha polisi mbagala na kuwekwa mahabusu mpaka kesi yake ilipotajwa mahakamani.
 
jamaa anaenda jela kama utani.. alinogewa mpaka kumpa funguo wa gheto lake.

nazani alikuwa na uchu wa papuchi na hela ya kuhonga hana.. maana wanawake above 18 wanataka hela za kuhongwa.

dunia sijui inaelekea wapi?
Yes nimewaza kama wewe mkuu.
Jamaa mshahara wake ni mdogo majukumu ni mengi hela ya kuhonga hana akaona ajitafutie mteremko.
 
Back
Top Bottom