Mwalimu wa shule ya sekondari Mlale iliyopo wilayani Ileje mkoani Songwe, Benedictor Mwakinyabili amejiua kwa kujinyonga katika nyumba aliyokuwa akiishi huku chanzo cha tukio hilo kikielezwa kuwa ni msongo wa mawazo ulitokana na kuumwa mgongo na tumbo muda mrefu.
Matukio ya kujinyongwa yamekuwa yakijitokeza katika jamii, unadhani nini kifanyike kuondokana na changamoto hiyo?
Tuandikie maoni yako na tutayasoma #AdhuhuriLive saa 7:00 kwenye channeli ya #UTV.
Matukio ya kujinyongwa yamekuwa yakijitokeza katika jamii, unadhani nini kifanyike kuondokana na changamoto hiyo?
Tuandikie maoni yako na tutayasoma #AdhuhuriLive saa 7:00 kwenye channeli ya #UTV.