Lizzy, mimi nitakuuliza kitu, je hukuwapo wakati wa maombolezo yake toka mwili wake unaletwa nchini kutoka Uingereza, kuagwa pale uwanja wa taifa hadi mazishi yake Butiama ? Kwa wote waliokuwapo wakati huo sidhani kama kuna mwenye shaka kuwa Mwalimu alipendwa. Katika wakati huo huzuni kubwa ulitanda nchini na hata vibaka walichukua likizo ili waweze kuomboleza. Ni kwamba watu ni wepesi tu wa kusahau na wengi wanamsema vibaya kwa wakati huu, ukweli ni kuwa hawakumfahamu Mwalimu na hawakuelewa uongozi wake. Watu hawakusombwa kuhudhuria mikutano yake wala waandishi hawakupewa bahasha waende kumsikiliza na kumwuliza maswali, wengi walijisikia nyumbani wakiwa naye. Alipohutubia alivutia na watu hawakuchoka kumsikiliza na hawakuwa na haraka ya kuondoka - huo ndio uongozi na kiongozi wa namna hiyo hana muda wa kuwabagua watu wake kwa misingi ya ukabila, dini, jinsia wala rangi - hayo ni majungu tu, period.
Mag3, Jasusi
You need to be crazy to defend Nyerere!
Nyerere anaweza tu kuwa defended when you compare him with other leaders who came after him.
Nyerere terribly failed, but he has vision at least where he faled could easily be repaired by other presidents..it was not so.
Sasa kuja na hizi saikolojikaly explainable eti watu walilia sana.Mkuu watu wameishaandika paper kuhusu hili swala, find some! kuna sababu za kisaikolojia, kuna sababu za kidini na umaskini!
Umesema Nyerere alikuwa anaongea sana that was true, kweli alikuwa muongeaji, mwongo, na ameharibu nchi kila mtu siku hizi anaongea sana
Let me ask you, Sokoine alikuwa mwongeaji sana? nani unafikiri alikuwa radical wa kutekeleza ujamaa kwa vitendo? caliber yake ya kuongea sana siyo kipimo cha kiongozi bora
Nyerere alikuwa dictator
Mbishi. haambiliki
Nyerere alijifanya anajua kila kitu
Nyerere mehairibu nchi beyond repair
Nyerere ndiye aliyeweka katiba ya kifalme na kitwana
Nyerere ndiye aliyeshauri na ku-force vyama vingi vianze BILA KUFORCE MABADILIKO YA KATIBA
BILA KUFORCE TUME YA UCHAGUZI IWE HURU
Cunning!
Nyerere huyu ndiye aliyesema fikra zake zidumu
Nyerere huyu ndiye aliyepigsha watu kura za ndiyo na hapana
Nyerere mnayempenda amekuwa kama dini.....amekuwa mtume wenu, but if we face reality if we can measure btn performance and achievements Nyerer has actually achieved 2% of what he was supposed to achieve..
Tuache unafiki jamani, if we are living with excuse we can miss one for Mwinyi, Mkapa, Kikwete etc!!
No excuse for failure
Nyerere was clever and educated he knew fo sure that socialism need dictatorship to implement. He had good examples from china, cuba, korea, russia etc! but he introduced same system here , WAS HE A DICTATOR? If YES then that was bad for him....IF NO then why he introduced system that he could not manage??