Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Kama muasisi wa taifa letu alipaswa kuhakikisha taifa linakuwa na katiba ambayo hakuna chama tawala kitalifanya taifa letu mali ya wachache.
CCM aliyoiacha haina misingi vizuri ya kurithisha viongozi ambao wanauchungu na matatizo ya taifa lao.
Ufisadi, ubinafsi na kuwaona wananchi ni wajinga ndio imebakia kuwa msingi wa CCM hii ya leo.
Kwa kuacha taifa ambalo limekua na ukiritimba wa watu wachache kuwafanya wengine wapumbavu huku wakijiona ni wajukuu na watoto wa wafalme wa KiccM alituachaia balaa kama taifa.
We mabuttocks kaa kimyaMataga umefikia kudai Katiba Mpya!
Kweli yamekufika shingoni.
Unajua maana ya neno "succession plan " ???? Au ukeliokota mahali???π€£πππKama muasisi wa taifa letu alipaswa kuhakikisha taifa linakuwa na katiba ambayo hakuna chama tawala kitalifanya taifa letu mali ya wachache.
CCM aliyoiacha haina misingi vizuri ya kurithisha viongozi ambao wanauchungu na matatizo ya taifa lao.
Ufisadi, ubinafsi na kuwaona wananchi ni wajinga ndio imebakia kuwa msingi wa CCM hii ya leo.
Kwa kuacha taifa ambalo limekua na ukiritimba wa watu wachache kuwafanya wengine wapumbavu huku wakijiona ni wajukuu na watoto wa wafalme wa KiccM alituachaia balaa kama taifa.
Nyerere ndiye aliyeweka term limit ya miaka kumi; Mwinyi akataka kuiondoa ila akashindwa. Utaratibu alioacha Nyerere ni mzuri sana isipokuwa Kikwete alipoanzisha makundi ya mtandao ndani ya CCM akaharibu kabisa political system ndani ya CCM badala ya kuwa chama chenye itikiadi inayojulikana, kikawa chama cha wenyewe wanaoirithiana, ambayo nadfhani wndiyo unayoita succession plan, yaani uongozi wa kurithiana badala ya uongozi unaopatika democratically kama Nyerere alivyoach.. Unamwona mama hapa kachukua timu nzima ya mtandao wa Kikwete tena kwa mfumo wa kurithiana. Unfortunately Kikwete hataki kusema kuwa amashamaliza muda wake atulie, mpaka sasa hivi anaendesha kundi lake la mtandao ndani ya CCM kwa kurithiana.Kama muasisi wa taifa letu alipaswa kuhakikisha taifa linakuwa na katiba ambayo hakuna chama tawala kitalifanya taifa letu mali ya wachache.
CCM aliyoiacha haina misingi vizuri ya kurithisha viongozi ambao wanauchungu na matatizo ya taifa lao.
Ufisadi, ubinafsi na kuwaona wananchi ni wajinga ndio imebakia kuwa msingi wa CCM hii ya leo.
Kwa kuacha taifa ambalo limekua na ukiritimba wa watu wachache kuwafanya wengine wapumbavu huku wakijiona ni wajukuu na watoto wa wafalme wa KiccM alituachaia balaa kama taifa.
Mkuu degree yako ya Udsm inafanya kazi.Nyerere ndiye aliyeweka term limit ya miaka kumi; Mwinyi akataka kuiondoa ila akashindwa. Utaratibu alioacha Nyerere ni mzuri sana isipokuwa Kikwete alipoanzisha makundi ya mtandao ndani ya CCM akaharibu kabisa political system ndani ya CCM badala ya kuwa chama chenye itikiadi inayojulikana, kikawa chama cha wenyewe. Unamowna mama hapa kachukua timu nzima ya mtandao wa Kikwete tena. Unfortunately Kikwete hataki kusema kuwa amashamaliza muda wake atulie, mpaka sasa hivi anaendesha kundi lake la mtandao ndani ya CCM.
Pumbavu mkubwaUnajua maana ya neno "succession plan " ???? Au ukeliokota mahali???π€£πππ
Magu alisaka sifa binafsi tu na si kujenga Taifa.Jiwe naye naye alijikita kujijengea umaarufu akasahau kujenga taasisi imara.
Kazi kwelikweli...