Katibu Mkuu UVCCM Taifa asema Ukosefu wa Ajira nchini unatokana na kazi nzuri ya CCM kuboresha Elimu nchini

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Suala la ukosefu wa ajira Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na chama cha mapinduzi ya kuboresha elimu ili vijana wengi wapate elimu” FAKII LULANDALA – KATIBU MKUU UVCCM TAIFA.

Kuhusu malalamiko ya vijana kuwa mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya vijana inatolewa kwa upendeleo, Lulandala amesema ni kweli kwamba wanaonufaika na mikopo hiyo ni vijana wa CCM kwa sababu wao ndio wengi na wanajielewa kuliko vijana wa vyama vingine.

====

“Suala la ukosefu wa ajira Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na chama cha mapinduzi ya kuboresha elimu ili vijana wengi wapate elimu” FAKII LULANDALA – KATIBU MKUU UVCCM TAIFA.Kuhusu malalamiko ya vijana kuwa mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya vijana inatolewa kwa upendeleo, Lulandala amesema ni kweli kwamba wanaonufaika na mikopo hiyo ni vijana wa CCM kwa sababu wao ndio wengi na wanajielewa kuliko vijana wa vyama vingine.
@chiefodemba
 
View: https://twitter.com/chiefodemba/status/1766711152006852881?t=uYWwohXvpe0i3ygUNRUzfg&s=19

Hamna mtu hapo......Empty set😂😂
 
Baada ya Miaka miwili unasikia ni Mkurugenzi😂😂
 
Nilimsikia jana kwenye hiyo Interview kupitia StartTV. Nikawa najisemea moyoni, isitoshe huyu ndungu akachaguliwa kuwa mbunge kisha Waziri na kuwa mshauri wa Rais kupitia Baraza la Mawaziri. Kwa viongozi wa sampuli hii, basi bado tunasafari ndefu sana kama Taifa.

Kwanza hata nidhamu ya mahojiano hana kabisa. Anaongea anavyotaka yeye kama anaongea na familia yake.

Kazi kwelikweli. Sisi Waafrica bado tunasafari ndefu sana kutoka kwenye huu ujima tulionao.
 
Suala la ukosefu wa ajira Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na chama cha mapinduzi ya kuboresha elimu ili vijana wengi wapate elimu” FAKII LULANDALA – KATIBU MKUU UVCCM TAIFA.

Kuhusu malalamiko ya vijana kuwa mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya vijana inatolewa kwa upendeleo, Lulandala amesema ni kweli kwamba wanaonufaika na mikopo hiyo ni vijana wa CCM kwa sababu wao ndio wengi na wanajielewa kuliko vijana wa vyama vingine.

View: https://twitter.com/chiefodemba/status/1766711152006852881?t=uYWwohXvpe0i3ygUNRUzfg&s=19

siasa ni ku deal na akili ndogo za watu.kamaCCM ilifanya kazi nzuri kwa kuboresha elimu kwa nini haikuweka pia na mazingira mazuri ya upatikanaji wa ajira? kwa hiyo CCM imeboresha elimu kwa kuzalisha wasomi wa kuuza mchicha mitaani?
 
Suala la ukosefu wa ajira Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na chama cha mapinduzi ya kuboresha elimu ili vijana wengi wapate elimu” FAKII LULANDALA – KATIBU MKUU UVCCM TAIFA.

Kuhusu malalamiko ya vijana kuwa mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya vijana inatolewa kwa upendeleo, Lulandala amesema ni kweli kwamba wanaonufaika na mikopo hiyo ni vijana wa CCM kwa sababu wao ndio wengi na wanajielewa kuliko vijana wa vyama vingine.

====
View attachment 2930370
“Suala la ukosefu wa ajira Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na chama cha mapinduzi ya kuboresha elimu ili vijana wengi wapate elimu” FAKII LULANDALA – KATIBU MKUU UVCCM TAIFA.Kuhusu malalamiko ya vijana kuwa mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya vijana inatolewa kwa upendeleo, Lulandala amesema ni kweli kwamba wanaonufaika na mikopo hiyo ni vijana wa CCM kwa sababu wao ndio wengi na wanajielewa kuliko vijana wa vyama vingine.
@chiefodemba
Huyu Katibu ana Elimu Kiwango Gani?
 
.....nchi imeendelea na uchumi umekua, kwa sababu Dar es Salaam kuna watu wengi wanaendesha magari!!,mtakula nyasi mpaka tununue presidential jet!! Waliotoa matamko haya walishaishi pale magogoni
 
ooh kumbe kuna mikopo inayotolewa na halmashauri zetu!!!
Mimi nnahitaji mkopo wa 500,000 tuu kwa riba nafuu na nnauwezo wa kuirudisha ndani ya miezi mitatu!Sina chama chochote.
With only that amount I can change my life entirely!!!!!!
 
Suala la ukosefu wa ajira Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na chama cha mapinduzi ya kuboresha elimu ili vijana wengi wapate elimu” FAKII LULANDALA – KATIBU MKUU UVCCM TAIFA.

Kuhusu malalamiko ya vijana kuwa mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya vijana inatolewa kwa upendeleo, Lulandala amesema ni kweli kwamba wanaonufaika na mikopo hiyo ni vijana wa CCM kwa sababu wao ndio wengi na wanajielewa kuliko vijana wa vyama vingine.

====
View attachment 2930370
“Suala la ukosefu wa ajira Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na chama cha mapinduzi ya kuboresha elimu ili vijana wengi wapate elimu” FAKII LULANDALA – KATIBU MKUU UVCCM TAIFA.Kuhusu malalamiko ya vijana kuwa mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya vijana inatolewa kwa upendeleo, Lulandala amesema ni kweli kwamba wanaonufaika na mikopo hiyo ni vijana wa CCM kwa sababu wao ndio wengi na wanajielewa kuliko vijana wa vyama vingine.
@chiefodemba
Huyo bavicha kitambo sana, CCM wameingizwa chaka.
 
Back
Top Bottom