Chadema!
Chadema!
Swali hili akamatwe Riz one maana anajua kiunaga ubaga nani mmiliki wa DOWANS akishirikiana na mafisadi, huyu Nyalandu anaonewa tu.
Ngereja.
Kwani hii nchi in mawaziri? Kuna wezi tu waliopewa uwaziri kwa ushemeji na uswahiba,,,,,hivi kama hii serikali ipo serious inakuaje suala la katiba ambalo ndo msingi wa nchi kila waziri na watu wengine wa serikali wanaliongelea kama wanachangia maada ya mapenzi,,,,bila kuwa na msimamo unaeleweka.