Mwali: Mmiliki wa DOWANS ni huyu!

Mwali: Mmiliki wa DOWANS ni huyu!

Status
Not open for further replies.
Sikutarajia jibu la tofauti kutoka kwa Nyalandu,kama Pinda hawezi sema,ni naibu waziri Nyalandu????:lying:

kweli mkuu. Njiwa hawezi kumshinda kasuku kuongea. Kama the son of peasant alishindwa sikutegemea Nyalandu kuweza.!
 
Hapo Waziri hajui jambo kubwa kama hili,huu ni utani mchana kweupe.

Uko sahihi kabisa kam waziri husika hayuko equiped na information amabazo ni curent na hot topic inaonyesha ni jinis gani viongozi wetu hawako serius.
 
Sio kama hamjui. Anamjua sana ila kumsema ndio shida inapoanzia. kwani hapendi kazi yake? kwani hana akili anavyoona wenzake wote (Mawaziri) wanavyokwepa kumtaja. Jk nae anamfahamu fika mmiliki wa Dowans shida ni kuwa ndio aliyemuweka hapo alipo. inaleta hasira sana :frusty::frusty::frusty:

I am also thinking about that. But kwanini watufanye sisi wananchi midoli/wanasesere?? Si bora waseme ukweli kuwa wanamjua mmiliki ila hawawezi kumtaja kuliko kuendelea kutuonesha hii picha ya kihindi.
 
Sio kama hajui ila amechomoa kutaja kiutu uzima si wajua alinda ugali wake!!
 
Nadhami kumjua ama kutomjua sio issue, kwani hata yeye huyo mwanafunzi anaweza akawa hamjui mkuu wa chuo cha SAUT. Issue hapo ilikuwa ni kumwuuliza Naibu Waziri iwapo anashabikia kuilipa Dowans.

Mkuu, mi nadhani kabla hajaulizwa kuhusu kushabikia malipo ya Dowans au lah, ni vema angetaja hao wamiliki ili akianza kushabikia tujue anashabikia fedha zinazoenda mifukoni mwa akina nani.

So in my side i think the guy was absolutely correct to ask such question.
Ile ni wizara ya Nyalandu na anapaswa kujua, just like huyo mwanafunzi anavyopaswa kujua jina la Chancelor wake.
 
Jumatano ya tar.12 nilikuwa safarini kuekekea Mara kwa shughuli fulani ya ofisi. Nilipofika maeneo ya mji mdogo wa Tinde Shinyanga nikawasiliana na ndugu yangu aliyepo chuo cha sayansi ya tiba Bugando.

Akanitaarifu kuwa atakuwa kwny kongamano na naibu waziri wa viwanda na biashara Lazaro Nyalandu kuanzia saa 8 mchana pale Nyanza club.

It was within my schedule kupumzika Mwanza then the day after nielekee Sirari, so haikuwa big deal mimi kujongea pale Nyanza Club kumsikiliza bro.Nyalandu.

Kongamano lilihusisha wanafunzi wa vyuo vinne vya elimu ya juu Mwanza, kikiwemo SAUT, CBE,Bugando na OUT.

Mr.Nyalandu alichelewa kidogo kufika bt baada ya kuhutubia ukafuata utaratibu wa maswali, na Bro.Nyalandu alionekana kuyamudu vema.

Ilipokaribia saa 6:00pm mkuu wa chuo cha CBE ambaye ndiye aliyekuwa anaongoza mjadala akatangaza kuwa huo ndo mwisho wa maswali na akamkaribisha Nyalandu kufunga kongamano.

But badala ya kuaga Nyalandu akatoa nafasi moja ya upendeleo kwa mtu mmoja. Fursa hiyo ikamwangukia kijana mmoja wa SAUT aliyeonekana ana morali kubwa ya kuuliza.

Huku akishangiliwa na ukumbi mzima, na akiongea kwa hisia kijana huyo akamwuliza Nyalandu swali lifuatalo ambalo sina hakika kama nimemnukuu ipasavyo.

Alisema "wewe kama waziri wa viwanda na biashara ni wazi kuwa ofisi ya msajili wa makampuni (BRELA) iko chini yako, na kwa kuwa BRELA ndiye msajili wa makampuni yote nchini, it means ofisi yako pia ina taarifa zote za makampuni yaliyosajiliwa nchini. Kwa mantiki hiyo naomba utueleze leo kuwa ni nani mmiliki wa Dowans, na ilisajiliwa lini nchini?"

swali hilo lilibadili hali ya hewa ya kule ukumbini kutokana na watu wengi kushangilia na kupiga kelele huku wengine wakimbeba muuliza swali.

Baadae Nyalandu akajibu akijaribu kkwepa hoja. Wanafunzi wakapiga keleke "MAJIBUUU",
Then Nyalandu kwa kujitahidi sana akasema "kwa kuwa issue ya Dowans ina wazungumzaji wengine, mimi naomba nisiizungumzie kwa leo, but mniruhusu nijibu maswali mengine. Nitaifuatilia maana kwa sasa sina taarifa za kina."

Duh, tarehe 12 means ni baada ya ngeleja kutaja wale wamiliki fekis, kitendo cha kushindwa hata ku-quote uongo wa ngeleja,this proves that aliowataja ngeleja are highly fake ones! Thanks nyalandu kwa kupigana upande wetu, hivyohivyo mpaka wamtaje RA as mmiliki wa kweli wa dwanz na richmonduli
 
Duh, tarehe 12 means ni baada ya ngeleja kutaja wale wamiliki fekis, kitendo cha kushindwa hata ku-quote uongo wa ngeleja,this proves that aliowataja ngeleja are highly fake ones! Thanks nyalandu kwa kupigana upande wetu, hivyohivyo mpaka wamtaje RA as mmiliki wa kweli wa dwanz na richmonduli

Nimejifunza kitu kwako mkuu,
kumbe kitendo cha Nyalandu kusema hajui while Ngeleja alishataja means ye mwenyewe hamwamini Ngeleja.
So we can conclude that, hata Nyalandu alijua majina ya Ngeleja ni usanii/danganya toto ndo maana hakuhangaika kumquote.
 
Nimejifunza kitu kwako mkuu,
kumbe kitendo cha Nyalandu kusema hajui while Ngeleja alishataja means ye mwenyewe hamwamini Ngeleja.
So we can conclude that, hata Nyalandu alijua majina ya Ngeleja ni usanii/danganya toto ndo maana hakuhangaika kumquote.

Yes, hii wala haitaki degree ku-conclude ukweli huo, yaani hawa jamaa wameshikwa angle zote! Usishangae pia baadae ngeleja wakitaja wamiliki fake wengine tofauti. Lkn mwisho wa hii move ni resignation and reparation to wanyonge wa bongo-ndo somo lieleweke. Sjui kwanini hawaelewi somo hali ya kuwa hata layman huko mitaani wako very indignant?
 
Mtoto wa mkulima ajiandae kujibu swali hilo wakati wa maswali ya papo kwa pao bungeni.
 
Mtoto wa mkulima ajiandae kujibu swali hilo wakati wa maswali ya papo kwa pao bungeni.

Hawezi kujibu yule msanii. Anachoweza kufanya ni kulia (kama desturi yake) ili kupotezea. Maana akishakutana na maswali magumu huwa analia, ili kukwepa kuyajibu.
 
Hawana jipya katika hiyo insu ya dowans,ukweli unabaki palepale kwamba wanataka kujinufaisha!!!!!!!!shame to mkwere.
 
Swali hili akamatwe Riz one maana anajua kiunaga ubaga nani mmiliki wa DOWANS akishirikiana na mafisadi, huyu Nyalandu anaonewa tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom