Mwali: Mmiliki wa DOWANS ni huyu!

Mwali: Mmiliki wa DOWANS ni huyu!

Status
Not open for further replies.
Tatizo ni upande wa bara hauna serikali (Tanganyika). asubutu zanzibar atakiona
 
Orait......ijirudie. power of ignorance isifanye mazi.....amen.
 
Guys -watanzania mmefika huko! mpaka hapa mnaonyesha jinsi gani mlivyo kwanza wanafiki, pili waoga, tatu, waongo, nne wachukua sheria mkononi!!! mmefikia hatua ya kuweka poll ya tumfanye nini Rostam?? Rostam is Tanzanian , he is alike any other mwizi, kitendo cha kuweka poll ni alama tosha ya uwoga na unafiki, ni mtanzania ni mbunge kachaguliwa na watanzania, ebu angalieni hili in larger view!!!! utaona kabisa mkimaliza hizo poll mta-implement matokeo?? who dont you waste time kuamshana tuandamane system imeonza Rostam peke yake kupigiwa kura ni uanfiki kama sio umbumbumbu na inawezekana muamzishaji wa hii poll ndiyo fisadi mkubwa na mnatuamia jina la Rostam kuficha uovu wenu, nani asiyejua watanzania wengi ni wezi?? tusidanganyane!!!
 
I HATE CCM, I HATE ROSTAM, I HATE KIKWETE - he is proving to be the most incompetent president ever!

Mbona wanatudharau hivyo sisi Watanzania? Kila siku Rostam anasema hawajui wamiliki wa Dowans, serikali yetu chini ya Kikwete imeshindwa kutumia majeshi yake (ikiwemo Usalama wa Taifa) kulinda na kutetea masilahi ya taifa hili. CCM kama chama tawala wameshindwa kuonyesha uzalendo kulinda na kutetea masilahi ya taifa.

Rostam ndiye Chief Paymaster na hawakohoi mbele yake...

I wish I were Tunisian!
 
nimechoka kusoma hayo hayo tunajua sikunyingi nataka utekelezaji now
 
We all know about Rostam,Yes..what is next move therefore??? Where this man lives and how we can get him??,maybe we can start evacuating him as it was for the wife of Tunisia presd who used the power of his husband to make herself rich. Rostam is of course possessing same characters like this woman. Please, Masanilo,Mwanakijiji and other guys, dont just give us the news of how he robbed and continuing to robe us..we must show him how we are aware of his plunders and how it pains us..Please give us modalities, we are ready to remove this pity from our country bcoz he is harmful than JK himself..! WE ARE READY, WE ARE READY IN STREETS, WE ARE READY..PLEASE GIVE US MODALITIES PRACTICALLY,DONT JUST END TALKING BEHIND COMPUTERS..PLEASE:A S 20:
 
We all know about Rostam,Yes..what is next move therefore??? Where this man lives and how we can get him??,maybe we can start evacuating him as it was for the wife of Tunisia presd who used the power of his husband to make herself rich. Rostam is of course possessing same characters like this woman. Please, Masanilo,Mwanakijiji and other guys, dont just give us the news of how he robbed and continuing to robe us..we must show him how we are aware of his plunders and how it pains us..Please give us modalities, we are ready to remove this pity from our country bcoz he is harmful than JK himself..! WE ARE READY, WE ARE READY IN STREETS, WE ARE READY..PLEASE GIVE US MODALITIES PRACTICALLY,DONT JUST END TALKING BEHIND COMPUTERS..PLEASE
 
So ndo mmiliki wa dowans so what do u want us to do man?..and what is this dowans it sound like a very big thing.what it does to get that antetion
 
So ndo mmiliki wa dowans so what do u want us to do man?..and what is this dowans it sound like a very big thing.what it does to get that antetion
 
Naomba serikali imuhukumu kifo wote wawili pamoja na jk...... Kwani yeye na baraza la mawaziri waliidhinisha hiyo tenda.. Kwa rostam na lowasa... Akiwa kama mwenyekiti wa baraza la mawaziri na mzee luhanjo..
 
tutajie mwarabu gani aliekuja hapa akagombea ubunge??je waijua vizuri sheria ya nchi hii katika kugombea ubunge?au unakurupuka tu kwakua una chuki nawatu weupe?tuache ubaguzi ni dhambi mbayasana.

Amir Jamal, Al-noor, Gulamali Abbas, wamezikwa wapi hawa kama kweli wana moyo na mapenzi na Tanzania. Hivi mbantu ukienda Dubai, Oman au Saudia unaweza kupata hata ubalozi. Hawa wenzetu kila siku wana passport 2 ya ki-Tanzania na ki-Yemen tunawaona wamahra wengi tu huku bara na wana Chama chao cha kuwapeleka kwenye asili yao. Na hata wabunge wa sasa pakitimka wote wanakimbia. Uganda tu wakati wa Idd Aminihakuna aliyebaki. Ndg Mwera (natanguliza ndugu km kweli ww ni mbantu) hilo suala liache kabisa tutaanza kukumwagia Data hapa mpaka tupigwe Ban hawa watu hawataki chama kingine zaidi ya chama tawala
Narudia kusema Bw azizi ni mmiliki halali wa Dowans na anamiliki iwanja katika kisiwa artificial Dubai fuatilia Gazeti la jana la East Africa
acheni tuandamane na tumfilisi wengine mtakoma kutuibi
a



 

Attachments

c dowans 2, anamiliki makampuni kibao na kufanya biashara zake bila kulipa kodi, pia huyo nd'o remote ya jk hawezi kufanya kitu ambacho rostam hataki kifanyike kwani ccm yote iko mikononi mwa rostam

Yaani Nyerere angesikia....angefumgwa na angechapwa viboko 12 hadharani na angerudishwa kwao.....serikali ipo mikononi kwa mtu?
 
I HATE CCM, I HATE ROSTAM, I HATE KIKWETE - he is proving to be the most incompetent president ever!

Mbona wanatudharau hivyo sisi Watanzania? Kila siku Rostam anasema hawajui wamiliki wa Dowans, serikali yetu chini ya Kikwete imeshindwa kutumia majeshi yake (ikiwemo Usalama wa Taifa) kulinda na kutetea masilahi ya taifa hili. CCM kama chama tawala wameshindwa kuonyesha uzalendo kulinda na kutetea masilahi ya taifa.

Rostam ndiye Chief Paymaster na hawakohoi mbele yake...

I wish I were Tunisian!

Tuwakodishe wananchi wa Tunisia waje Tanzania for two weeks....Mafisadi Watahama wote nchini
 
designe ka tumetelekezwa hivi................sijui huko ulaya ndo alienda kuandaa mipango ya namna ya kutuuza?
 
Hivi huyu jamaa ana beef na video camera mbona sijawahi kumuona kwenye tv hata bungeni inaonyesha huyu jamaa sio mtu wa kawaida ni tapeli wa kimataifa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom