MWANASHERIA
Member
- Aug 20, 2010
- 84
- 11
haa, kumbe hizi hela za dowans tunazopiga nazo kelele ni za ccm. kazi yake kubwa ni kusaidia kuendesha chama, ukizingatia kwamba ruzuku ya ccm imepungua toka bil. 1.2 mpaka mil. 800 kwa sasa. Pili, wakati wa kampeni walikopa hela nyingi sana, na nyingi walikopa kwa rostam, hivyo wanataka warudishe hela zake.
wakati huo huo ccm hawana namna nyingine ya kuiba hela nyingi toka serikalini kutokana na usaliti dhidi ya chama kuongezeka, watumishi wa serikali wanatoa siri zote kama ilivyokua walivyotumia bil. 2 za ikulu kuchapisha picha za kampeni, ikajulikana. Na wana ccm wanaopiga kelele kupinga dowans ni wale ambao hawapo karibu na uongozi wa juu wa ccm na hawana habari kamili. Habari ndo hiyoooo..
hivyo basi mlie, mcheke, muandamane, muandae makongamano, mtukane. dowans lazima ilipwe.