Mwali: Mmiliki wa DOWANS ni huyu!

Mwali: Mmiliki wa DOWANS ni huyu!

Status
Not open for further replies.
EPA + DOWANS = Price Of the Tanzania Presidency. Its cost = SHS 335 billions, ==>> 150 billion + 185billions. EPA = first election and DOWANS second elections.

Three helcopters, mass production of placards, posters, t shirts, bribery, entertainment costs; the costs to entertain almost 40 million Tanzanians etc

Hayo ndiyo malipo!

Revealed----------

inaumiza sana, inasikitisha sana na inahuzunisha sana kuwa na uogozi dhalimu na fedhuli katika nchi tajiri kama hii!
 
Sasa mwakani tutayasikia mengi zaidi. Lakini hata kama ngereja na werema wanapendelea kutumiwa na mafisadi mapapa kuwafunga midomo watz, bado watafunuliwa wao na waliowatuma mpaka tuwachore kila kiungo hafifu tukione ndani yao.
 
Wakiona maji yanazidi unga watatumia strategy kama ya Balali
 
Hongera mkuu kwa kutuletea vidhibitisho vya hawa wahuni! Watashtuka sana watakapoona wiki leaks imehamia huku.
 
Hivi tatizo lilikuwa kwamba hawajulikana? NO wanajulikana tangu enzi za Mwakyembe au siyo?

Tatizo tutawafanyaje? tunadeal nao vipi? confusion iko hapo!

Nani atakayewashtaki? kwa kosa gani?
 
Hivi kweli kuna siku tutaamka asubuhi tukute breaking news RA kapelekwa kisutu halafu katupwa keko? What a wonderful day in the history of mother Tanzania! Siku hiyo ndio itakuwa ni siku ya uhuru wa kweli wa Tanzania! Sio wa bendera tena! Na ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa genge la mafia kuitawala TZ! Nchi itarudi mikononi mwa wananchi!!!!

Ndugu yangu swala la keko utakuwa ni usanii tu anaweza akaenda na na akapewa dhamana anarudi mtaani la muhimi ni kwamba siku moja watanzania tutaamka na kusikia RA kapigwa risasi tisa za kifuani anapumlia ahera. Mimi nafikiri tupunguze story kama tunavyochoma weezi mtaani tunakuja sasa kibao kinabadilika.....labda wakimbie nchi tumechoka..
 
MMM.... thanks for a fertile doc.... i suppose that if we had a thorough access to the Memorandum and Articles of Association of DOWANS..... that can openly reveal the real directors and hence objectives under which the company was established as all companies in United republic of Tanzania are established legally under company ordinance cap 212...... or does it mean that DOWANS was an offshore company?.... i guess so....

Mind you, something should not be forgotten, RA uses different names in various businesses. If you happen to see the entire MoU you might find completely different names. What will you do then?
 
Rostam A. anakaribia kuugua kama Balali alfu aende apotelee nje safari hii atakwenda kwa babu yake Irani na watanzania watajigawia Caspian kama vile watu walivyogawana mali ya balali mbweni, alafu utasikia kafa na ndugu zake wa Kule igunga awatmzika

Habari za kiuchunguzi ana passport mbili ya Tanzania na Irani , kama hamuamini kamuulize mtikila ana ushahidi ingawaje aliwahi kumtuliza kwa vijisenti na Benzi mpya baada ya kuhoji uraia,. Paspot ya TZ huwa anaiacha Kenya kwa Mwaikibaki, ndio maana ini and out zake hazichapwi exit
 
Mind you, something should not be forgotten, RA uses different names in various businesses. If you happen to see the entire MoU you might find completely different names. What will you do then?

mkuu... i agree that certainly those kind of games tactics can be applied to black mail the truth.... normally they are known as "conspiracy to defeat the ends of justice".... under different names yes.... still the true id of the person impersonate to be RA should be revealed and likely he will be responsible on behalf ..... yes scapegoats will always carry the burden of their masters and as far as i know always RA will channel the forbidden bread to his bank a/c as a third party ..... if we are smarter enough we should confiscate his wealth as a white collar criminal ..... i believe justice will take its cause and time will tell
 
Sidhani kama Dr. Ringo ni kuwadi wa mafisadi. Anafanya kazi inayomwezesha kupata mkate wa kila siku kwa wanawe. This is part of his consultation ambayo ingefanywa na mtu mwingine.
Richmond contract....signature ya Ringo Tenga
Dowans memart........signature ya Ringo Tenga

Dr Ringo Tenga ni kuwadi wa mafisadi?????
 
The Silent KILLER and Chief Architect of this deal is: MRISHO JAKAYA KIKWETE. Un-charistmatic lunatic who used billions of suffering beings in his own motherland. He is keeping quite. But he knows that he is a chief architect. For him blood is his thirsty "qwencher" (please chec spellings); a blood sucker who killed his own Bank governor; and now is going to make this country chaotic! God rescue it!

Wake up Tanzanians, the words of Pinda the messenger, and now the so called Attorney General, Mr. WEremer are all seals, to make this deal happen.

When in your life have you heard about such un -charistimatic men like these people: Werema and Pinda? They even didn't show their emotions about the judgement, they came very cheeky, aprouding of the ruling of ICC.

Pinda JK and WErema, this is your country, be charistimatic to your own destiny!

No Indian and no Chinese will allow you as Pinda, JK or Werema steal from their own people, they have their own love of their motherland, the place they call home; they will corrupt you and you betray your own motherland! JK wakeup we are not stupid, you are the architect, and you are the one who killed Daudi Balali; that blood is enough!!
 
The Silent KILLER and Chief Architect of this deal is: MRISHO JAKAYA KIKWETE. Un-charistmatic lunatic who used billions of suffering beings in his own motherland. He is keeping quite. But he knows that he is a chief architect. For him blood is his thirsty "qwencher" (please chec spellings); a blood sucker who killed his own Bank governor; and now is going to make this country chaotic! God rescue it!

Wake up Tanzanians, the words of Pinda the messenger, and now the so called Attorney General, Mr. WEremer are all seals, to make this deal happen.

When in your life have you heard about such un -charistimatic men like these people: Werema and Pinda? They even didn't show their emotions about the judgement, they came very cheeky, aprouding of the ruling of ICC.

Pinda JK and WErema, this is your country, be charistimatic to your own destiny!

No Indian and no Chinese will allow you as Pinda, JK or Werema steal from their own people, they have their own love of their motherland, the place they call home; they will corrupt you and you betray your own motherland! JK wakeup we are not stupid, you are the architect, and you are the one who killed Daudi Balali; that blood is enough!!

Ninachojua kwa hakika ni kuwa architect wa Richmond ni Jakaya Mrisho Kikwete na hili hata iliyokuwa kamati ya Mwakyembe inalijua fika. Uovu wa Kikwete ndio unaomtafuna na utaendelea kumtafuna hadi atakapowaomba msamaha Watanzania na kutubu. Jeuri ya viongozi mbali mbali wa serikali ya kutoa majibu ya hovyo hovyo kwa wananchi wanapobanwa na maswali magumu inatokana na kulindwa na Jakaya Mrsho Kikwete. Jeuri ya viongozi mbalimbali kukataa kujiuzulu hata pale wanapotuhumiwa kwa vitendo viovu inatokana na nguvu wanayopewa na mwajiri wao Jakaya Mrisho Kikwete. Hakuna mwenye nguvu ndani ya Jamhuri kuliko Jakaya Mrisho Kikwete na kumsingizia mtu yeyote yule kuwa ndiye kinara wa ufisadi ni ujuha usio na utetezi. Ni kweli kabisa Pinda anapodai nchi itayumba mafisadi wakiwajibishwa kwani fisadi mkuu ni Mkuu wa nchi na ambaye nguvu zote za dola ziko mikononi mwake. Kamati ya Mwakyembe ilipodai inaisetiri serikali, haikuwa inamsetiri Lowassa, Rostamu au Nkaramagi, ilikuwa ikimsetiri kiongozi Mkuu wa nchi na serikali. Hosea anapodai vita dhidi ya maisadi ni ngumu, anasema kweli kwa sababu bosi wake aliyemteua ndiye godfather wa mafisadi, ndiye anayemteua mwanasheria mkuu na ndiye anayewateua majaji wote. Werema anapofunga mjadala wa Dowans hiyo jeuri anaipata wapi kama si kutoka kwa mwajiri wake ambaye madaraka yake hayana kikomo na kauli zake hazipingiki ! Ni balaa kubwa kuwa tunauanza mwaka mpya 2011 tukiwa watumwa wa Jakaya Mrisho Kikwete, tutalia sana.
 
Jumatano ya tar.12 nilikuwa safarini kuekekea Mara kwa shughuli fulani ya ofisi. Nilipofika maeneo ya mji mdogo wa Tinde Shinyanga nikawasiliana na ndugu yangu aliyepo chuo cha sayansi ya tiba Bugando.

Akanitaarifu kuwa atakuwa kwny kongamano na naibu waziri wa viwanda na biashara Lazaro Nyalandu kuanzia saa 8 mchana pale Nyanza club.

It was within my schedule kupumzika Mwanza then the day after nielekee Sirari, so haikuwa big deal mimi kujongea pale Nyanza Club kumsikiliza bro.Nyalandu.

Kongamano lilihusisha wanafunzi wa vyuo vinne vya elimu ya juu Mwanza, kikiwemo SAUT, CBE,Bugando na OUT.

Mr.Nyalandu alichelewa kidogo kufika bt baada ya kuhutubia ukafuata utaratibu wa maswali, na Bro.Nyalandu alionekana kuyamudu vema.

Ilipokaribia saa 6:00pm mkuu wa chuo cha CBE ambaye ndiye aliyekuwa anaongoza mjadala akatangaza kuwa huo ndo mwisho wa maswali na akamkaribisha Nyalandu kufunga kongamano.

But badala ya kuaga Nyalandu akatoa nafasi moja ya upendeleo kwa mtu mmoja. Fursa hiyo ikamwangukia kijana mmoja wa SAUT aliyeonekana ana morali kubwa ya kuuliza.

Huku akishangiliwa na ukumbi mzima, na akiongea kwa hisia kijana huyo akamwuliza Nyalandu swali lifuatalo ambalo sina hakika kama nimemnukuu ipasavyo.

Alisema "wewe kama waziri wa viwanda na biashara ni wazi kuwa ofisi ya msajili wa makampuni (BRELA) iko chini yako, na kwa kuwa BRELA ndiye msajili wa makampuni yote nchini, it means ofisi yako pia ina taarifa zote za makampuni yaliyosajiliwa nchini. Kwa mantiki hiyo naomba utueleze leo kuwa ni nani mmiliki wa Dowans, na ilisajiliwa lini nchini?"

swali hilo lilibadili hali ya hewa ya kule ukumbini kutokana na watu wengi kushangilia na kupiga kelele huku wengine wakimbeba muuliza swali.

Baadae Nyalandu akajibu akijaribu kkwepa hoja. Wanafunzi wakapiga keleke "MAJIBUUU",
Then Nyalandu kwa kujitahidi sana akasema "kwa kuwa issue ya Dowans ina wazungumzaji wengine, mimi naomba nisiizungumzie kwa leo, but mniruhusu nijibu maswali mengine. Nitaifuatilia maana kwa sasa sina taarifa za kina."
 
Hapo Waziri hajui jambo kubwa kama hili,huu ni utani mchana kweupe.

Mkuu,
it's serious an issue jama waziri mwenye dhamana husika anadai hajui jambo zito kama hili. Japo that university schorlars walijaribu kumbana bati alipotezea kana kwamba hakuelewa swali. Sijui nchi yetu inaelekea wapi!
 
Hao ndio wasemaji wakuu wa maswala ya serikali. Hao ndio tunaowaita wenye dhamana.

Jibu simple!!!!! "sijui" kaaazi kweli kweli.

Halafu tunasema tutafika twendako, hatufiki ng'oo
 
kwa walioendelea unastaafishwa kwa manufaa ya umma, yaani hujui kuhusu kazi yako! Hawa vilaza kweli kweli, tena issue inayozungumzwa sana miaka sasa tena ya mabilioni hujui? Sasa mnajua nini nyinyi watawala maana hamna sifa ya uongozi.
 
Bro.Nyalandu not only amekiri udhaifu, but also ameonesha the way serikali ya JK ilivyo disintergrated.
 
Nyie Vipi yeye hapendi usalama wa maisha yake na familia yake, tena ndoa yake bado ndiyo haina hata miaka mitatu! mwacheni naye dogo ale. Kwa nini msimuulize Pinda wakati wa maswali ya chapchap akiwa bungeni ili awajibu chap chap nani ni mmiliki wa dowans?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom