Mkuu tofautisha mmiliki na mkurugenzi........so its probably rostam anaweza kua mmiliki vile vile.
mkuu.... sijui utatumia mikataba gani na sheria gani..... mmiliki kukwepa kuwa director...... kwani shares za kampuni ndio umiliki na kwenye Memorandum of the company directors ndio wenye shares..... sijui utakuaje mmiliki bila kuwa mkurugenzi