Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 189
Rostam Azizi.
Who is Rostam Azizi? Why Rostam Azizi? Where is Rostam Azizi?
Millions of Tanzanians against one - Rostam Azizi. Just one!.
How?
SD
Sounds like frustrated or something........?????
Rostam Azizi.
Who is Rostam Azizi? Why Rostam Azizi? Where is Rostam Azizi?
Millions of Tanzanians against one - Rostam Azizi. Just one!.
How?
Rostam Azizi.
Who is Rostam Azizi? Why Rostam Azizi? Where is Rostam Azizi?
Millions of Tanzanians against one - Rostam Azizi. Just one!.
How?
Kwa sababu anapambana na Mheshimiwa Mengi ambaye amejipachika sifa kwamba anapambana na ufisadi
Dark City
mimi nimesoma na habari yenyewe ni mpya na inafanana na habari alizokuwa anatupa kwa vipande mwanakijiji ingawa kicha cha habari siyo kizuri sana kinaonekana kama mwendelezo wa habari za nyuma zilizozoeleka wakati maelezo ya ndani ni kitu kipya kabisa
Shalom tumegee japo kwa ufupi, ama ambaye anaweza pata soft copy ya hii kitu atumwagie hapa kidogo, wengine tuko kona mbaya hatuwezi ipata hiyo mwana halisi ya leo so pleeeese!
Bwana eeeh tupeni vitu kamili kamili hatutaki mapuzzle yenu!!!!!!!!!
Ningekuwa mimi Rostam... ningetangaza kujiuzulu Ubunge na kuamia Dubai ndani ya siku saba maana... wiki ijayo inshallah... mwali atatolewa ndani!!
jamani tulime, haya malumbano hayatatusaidia. Viongozi wote wa serikali ni WAKULIMA. Sisi WAVIVU halafu tunalaumu.
Greetings and Happy New Year!View attachment 19446View attachment 19445Greetings and Happy New Year!
These are the forms from BRELA. I had an opportunity to interview the guy and when I'm settled I'll probably put out the interview ('m not promising though). These are just the same documents we released over a year ago. Early next year we will have some other documents on Richmond/Dowans saga "Behind the Shadow".
Please stand firm the battle continues until democracy reigns supreme!
View attachment 19446View attachment 19445Greetings and Happy New Year!
These are the forms from BRELA. I had an opportunity to interview the guy and when I'm settled I'll probably put out the interview ('m not promising though). These are just the same documents we released over a year ago. Early next year we will have some other documents on Richmond/Dowans saga "Behind the Shadow".
Please stand firm the battle continues until democracy reigns supreme!
Sasa hao ICC wanaosema mmiliki wa Downs ni RA wameitoa wapi hiyo?? Au kuna kamchezo kanaendelea??