Mwakyembe: Sikumsema Roma, Watanzania wanadandia mada

Siku tukiacha kujadili mambo mepesi mepesi ndipo tutakuwa tumeanza kuyafikia maendeleo tunayoyataka.
Kwa sentesi hz huna tofauti na aliyoyanena bwana Mwakyembe. Pia nikukumbushe hakuna zito lisilotokana na jepesi.
 
Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.

Source: Global tv online.

Awatafute ' Wapuuzi ' Wenzie ndiyo awadanganye hivi. Ukiangalia kwa umakini kabisa ' body language ' yake wakati akihojiwa utagundua kuwa majibu yake ya Hasira / Jazba alikuwa akiyaelekeza moja kwa moja Kwake Msanii Roma Mkatoliki na uzuri Kwetu na ubaya Kwake ni kwamba maneno yale yamemtoka muda ule ule ambao hata Wimbo husika ulikuwa umeshaachiwa Mitandaoni. Kilichomfanya leo hii akanushe ni baada ya Kuona ' Makombora ' yanaelekezwa Kwake huku mengi yakigusia Maisha yake binafsi na Kujishtukia vile vile kwani amegundua kuwa Kauli zake zilikuwa ni za ' Kipopoma / Kipumbavu ' mno. Na kama hizo Degree zake Nne anazojitapa nazo zingekuwa zinafanya Kazi kweli basi asingejitokeza Kukanusha hivi na badala yake angekausha ( angepiga Kimya ) tu Watu tungelizungumzia kidogo na Kulipotezea lakini kwa Yeye Kuamua na leo tena Kujitokeza kulitolea Ufafanuzi kwa wenye Akili tumegundua ya kwamba alidhamiria Kuyaongea aliyoyaongea.
 
Bado hajapona huyo...
Kama nawaona wananchi wa kyela hasira zao 2020.
 
Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.

Source: Global tv online.
mwenye digrii nne hueleweki hata na mtu wa darasa la vii, nani bomu hapo!? Samahani haitoki kwenye vinywa vya mbuzi.
 
Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.

Source: Global tv online.
Mwakyembe awaombe radhi watanzania.
Digrii 4 alizonazo imelipiwa na ruzuku inayotokana na kodi zetu.

Sasa anatutukana, hapa Roma mkatoliki wala hahusiki.

Ni watanzania wote tudio soma tumetukanwa.
 
Kwa sentesi hz huna tofauti na aliyoyanena bwana Mwakyembe. Pia nikukumbushe hakuna zito lisilotokana na jepesi.
Kwa ujuaji wote ulionao unafikiri ni afya kwa Taifa kukaa na kubishania tungo zilizopo katika wimbo wa msanii?? Hatuna mambo muhimu ya kujadili kwa mustakabali wa Taifa letu. Binafsi naona kuna mahali kama Taifa tunakosea, tunapenda sana kujadili mambo yasiyokuwa na tija. Tubadilike.
 
Hukuanza Leo kukataa kile unachokisema ktk kinywa chako ulikataa maandishi yako mwenyeo ktk kitabu chako ulichotunga wakati una Fanya risachi nchini ujerumani uliandika unataka serekali tatu katika kitabu chako lakini ulipo fika ktk bunge LA katiba ulikataaa kwahiyo ww wala hatukushangai
 
Kwa ujuaji wote ulionao unafikiri ni afya kwa Taifa kukaa na kubishania tungo zilizopo katika wimbo wa msanii?? Hatuna mambo muhimu ya kujadili kwa mustakabali wa Taifa letu. Binafsi naona kuna mahali kama Taifa tunakosea, tunapenda sana kujadili mambo yasiyokuwa na tija. Tubadilike.
Hivi leo suala la utekaji na watu kumiminiwa risasi, kwako unana halina tija. Yalitokea kibiti wakachukulia poa, vile walikua na mawazo mgando kama yako kuwa ni suala jepesi, ila walivyoanza kula vichwa vya wenyeviti wao wa vyama ndio akili zika wakaa kichwani. Husipende kudharau au kupuuzia kitu hata kama ni kidogo kama punje ya mchicha, kumbuka ndipo mmea unapotokea huko.
 
Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.

Source: Global tv online.
YEYE MWENYEWE ANAKATABIA HAKO !!!!!!
 
Kwa ujuaji wote ulionao unafikiri ni afya kwa Taifa kukaa na kubishania tungo zilizopo katika wimbo wa msanii?? Hatuna mambo muhimu ya kujadili kwa mustakabali wa Taifa letu. Binafsi naona kuna mahali kama Taifa tunakosea, tunapenda sana kujadili mambo yasiyokuwa na tija. Tubadilike.
ukipata nafasi naomba umnong'oneze kwa upole sana, ukimuuliza jalada ya utekaji wa msanii ROMA upelelezi wake umefikia wapi?
 
Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.

Source: Global tv online.
Nililitarajia hilo la kukanusha kauli yake. Na mwenzake, (nani vile?), alifanya hivyo hivyo. Episodes zinaendelea, watoto waende wakale!
 
Hivi leo suala la utekaji na watu kumiminiwa risasi, kwako unana halina tija. Yalitokea kibiti wakachukulia poa, vile walikua na mawazo mgando kama yako kuwa ni suala jepesi, ila walivyoanza kula vichwa vya wenyeviti wao wa vyama ndio akili zika wakaa kichwani. Husipende kudharau au kupuuzia kitu hata kama ni kidogo kama punje ya mchicha, kumbuka ndipo mmea unapotokea huko.
Wakati wapinzani mkishangilia nyimbo, wacha wengine nao washangilie SGR, Stiglers Gorge, Vituo vya afya, barabara, elimu bure, etc etc, hiyo ndio tofauti iliyopo kwa sasa.
 
Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.

Source: Global tv online.

Bwana maembe
 
Back
Top Bottom