Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,482
- 3,991
Pia tena wana kz naye kidgKyela wanamsubiria kwa hamu
Pia tena wana kz naye kidgKyela wanamsubiria kwa hamu
Huu wimbo mbona siusikii ukipigwa kabisa redioni? Au vituo vinaogopa kuupiga? Tumefikia pabaya sana!!Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.
Source: Global tv online.
Degree zake ni zile rahisi rahisi kuzipata, huitwa penguin miaka hiyo pale Mlimani.Degree za kuunga unga. Huyo alianzaga kusoma diploma ya journalism. Katoka mbali.
Labda wapiga kura wakeSasa alikuwa anamsema nani ? Wangemuuliza.
Mbona alishapingana na Thesis yake mwenyewe! Huyu alikua muumini wa serikali tatu lakini alipopata madaraka ya kisiasa akapiga booonge la U turn!😀😀😀Degree zake ni zile rahisi rahisi kuzipata, huitwa penguin miaka hiyo pale Mlimani.
Ni bora Mwakyembe angetupa matumizi ya Thesis zake katika jamii, huo ndo umuhimu wa alicho tengeneza katika usomi.
Wazima zaid Ya jana mkuuMkuu kibondo wazima?
Degrees za wana CCM zote hujifuta automatic pindi wakijitoa fahamu kufanya kazi za CCM kwa mfumo wa cyprian Musiba na Le mutuz, pale alipo Mwakyembe kichwani kasalia na Elimu ya darasa la nne la Mkoloni ndiyo maana bado kakingereza bado anakaongea kidogo hajakasahau.Degree zake ni zile rahisi rahisi kuzipata, huitwa penguin miaka hiyo pale Mlimani.
Ni bora Mwakyembe angetupa matumizi ya Thesis zake katika jamii, huo ndo umuhimu wa alicho tengeneza katika usomi.
Degree za kuunga unga. Huyo alianzaga kusoma diploma ya journalism. Katoka mbali.
Wabongo wanapenda sana kuongea mambo wasiyoyajua, ni tatizo lile lile la elimu duni.Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.
Source: Global tv online.
Ina maana Thesis zake ni za hovyo hovyo tu.Mbona alishapingana na Thesis yake mwenyewe! Huyu alikua muumini wa serikali tatu lakini alipopata madaraka ya kisiasa akapiga booonge la U turn!😀😀😀
Anajitetea baada ya kuona negative response toka kwa wananchi juu ya alichokisema. Sishangai hata yule wa jalalani alishawahi to kauli tena kwenye chombo kikubwa cha habari duniani kuwa "He disappeared and died long time ago" alafu akaja kuikana kauli yake mwenyewe eti alinukuliwa vibayaUnachea nguvu ya umma umebeep wananchi wamekupigia mpe salamu jiwe maana yeye ndiye kabaki bila mshipa wa aibu.
PhD zenu watu wakizihoji mnawapotea wakati ni fake.
Ni masikitiko makubwa waziri tena mwenye PhD kuongea bila kufanya utafiti wa kutosha.
Siku tukiacha kujadili mambo mepesi mepesi ndipo tutakuwa tumeanza kuyafikia maendeleo tunayoyataka.
Kaka ahsante sana kwa ushauri, lakini naona mchango unatosha tu.Hii fungua thread yake inayojitegemea.
BAsi sawa.
Ila mwakyembe aelewe kwamba yeye alisoma HKL ila Roma alisoma PGM na akaenda kupiga Computer Science pale UDSM.
twa mbombo mwakiyembe
Daah inafurahisha sana. Anyway ugimbi bwana una raha zake.Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.
Chanzo: Global tv online.
Pia soma
Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa
"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za...www.jamiiforums.com
Mangwini ni shida sana. Pale UDSM wakati ule FOE (Faculty of Engineering) ikiwa FOE kweli kweli ndiyo maana tulikuwa tunatumia nguvu kuwatawala mangwini. Mfano:BAsi sawa.
Ila mwakyembe aelewe kwamba yeye alisoma HKL ila Roma alisoma PGM na akaenda kupiga Computer Science pale UDSM.