The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,172
- 14,730
Biblia imekataza kulaani ,kisasi ni cha bwanaMwakyembe ulaaniwe, tulikesha makanisani, msikitini tukikuombea ulipowekewa sumu, LEO UMETUGEUKA SABABU YA KWENDA CHOONI, ULAANIWE
Biblia imekataza kulaani ,kisasi ni cha bwanaMwakyembe ulaaniwe, tulikesha makanisani, msikitini tukikuombea ulipowekewa sumu, LEO UMETUGEUKA SABABU YA KWENDA CHOONI, ULAANIWE
Mwakembe mwenyewe amefika udsm kupita ma diploma sijui macertificate ili kusafisha vyeti ndio akaenda kufanya degree yake yaani aliingia udsm kwa utaratibu wa mature age entry wa kutumia equivalent qualification .BAsi sawa.
Ila mwakyembe aelewe kwamba yeye alisoma HKL ila Roma alisoma PGM na akaenda kupiga Computer Science pale UDSM.
Mwakyembe oyeee!Kyela wanamsubiria kwa hamu
Roma na Mwakyembe nani kafanya makubwa kwa nchi hii kumzidi mwenzake?.Mwakembe mwenyewe amefika udsm kupita ma diploma sijui macertificate ili kusafisha vyeti ndio akaenda kufanya degree yake yaani aliingia udsm kwa utaratibu wa mature age entry wa kutumia equivalent qualification .
Wakati Roma aliingia kwa direct entry
Kweli mkuu, Roma kichwa bana. Ni kweli dingi alichemka ila poa tu kama kajielewa na kukanusha kauli yake kiaina.BAsi sawa.
Ila mwakyembe aelewe kwamba yeye alisoma HKL ila Roma alisoma PGM na akaenda kupiga Computer Science pale UDSM.
Yani hawa jamaa wa ccm wanajitekenya then wanacheka wenyewe.Joto limekuwa Kali sana imebidi ainue mikono pambaf