Mjanja kasoma upepo wa kitaa, internet ina nguvu sanaKwahio maneno Yale aliyosema yanabaki kama yalivyo ila hajamsema Roma?
Maana kinachomfanya ashambuliwe ni Yale maneno aliyosema hata kama hakuambiwa Roma
Mwakyembe ulaaniwe, tulikesha makanisani, msikitini tukikuombea ulipowekewa sumu, LEO UMETUGEUKA SABABU YA KWENDA CHOONI, ULAANIWEKilichomsukuma kusema yale yote ni wimbo wa Roma
Ameona watu walivyomchambua kama karanga
Uliwaumiza sana watu miaka ileee
Umma una nguvu
Mwandishi nae ni wa kuchongwa tu huyo...Anakana sababu ya ku-trend sio?!
Na huyo mwandishi ina maana hakumuuliza alimlenga nani sasa?
Anapima kina cha bahari kwa mguuMjanja kasoma upepo wa kitaa, internet ina nguvu sana
Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.
Source: Global tv online.
Kweli kabisa mkuuMwandishi nae ni wa kuchongwa tu huyo...
Inakuwaje anashindwa kuuliza swali la msingi kama hilo.....
Swali ni, Je kamlenga nani....!?
Blah blah tu izo.
Watanzania siyo wajinga sana , Mwakyembe amesikika na kuonekana akitamka utumbo hadharani .Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.
Source: Global tv online.