Mwakyembe: Sikumsema Roma, Watanzania wanadandia mada

Samson Ngomboli

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
1,541
2,536
Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.

Chanzo: Global tv online.

Pia soma

Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.

Source: Global tv online.
Kilichomsukuma kusema yale yote ni wimbo wa Roma
Ameona watu walivyomchambua kama karanga
Uliwaumiza sana watu miaka ileee
Umma una nguvu
 
Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.

Source: Global tv online.

"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?"

Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
 
kama ni kweli mwakyembe amesema maneno hayo. Basi hana tofauti na mwalimu moja alikua anafundisha somo la kiswahili. Akitoa mtihani kuna yale maswali yakutaka uchague vitu vinavyoshabihana mfn jiwe, kokoto, mwamba, tofali. nk sasa kuna wanafunzi unakuta walikua wanachagua chuma au mbao, wakiona vinashabihana. yule mwalimu alivyokua kiazi alikua awapa tiki hadi wachagua chuma au mbao, akidai nayeye alikuahamaanishi tofauti.
 
Joto limekuwa Kali sana imebidi ainue mikono pambaf
Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.

Source: Global tv online.
 
Huyo amew

No wonder! Amewahi kukana andiko la PhD yake
 
Back
Top Bottom