mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 833
- 933
Mwakyembe alitibu Hali ya hewa ktk mitandao kwa kauli yake.
kama ulikua unalitambua hilo, yani kuwapangia watu mambo ya kujadili.?Wakati wapinzani mkishangilia nyimbo, wacha wengine nao washangilie SGR, Stiglers Gorge, Vituo vya afya, barabara, elimu bure, etc etc, hiyo ndio tofauti iliyopo kwa sasa.
Misukule wa Lumumba wanasema mitandaoni hakuna wananchi sasa Mwakyembe anahofia nini?Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.
Source: Global tv online.
Kumsema Roma au kutomsema imesaidia Mwakyembe kuonja adha ya social media amejifunza vingi hususani jinsi watanzania walivyochambua degree nne(4)Sasa alikuwa anamsema nani ? Wangemuuliza.
CCM wamemand baada ya kuona watanzania wengi wakihoji endapo CCM wana wenye degree iweje CCM inawategea Livingston Lusinde kibajaji Bungeni na mitaani yupo mjinga mjinga Le mutuz na cyprian MusibaKwahio maneno Yale aliyosema yanabaki kama yalivyo ila hajamsema Roma?
Maana kinachomfanya ashambuliwe ni Yale maneno aliyosema hata kama hakuambiwa Roma
Sasa alikuwa anamsema nani ? Wangemuuliza.
Degree za kuunga unga. Huyo alianzaga kusoma diploma ya journalism. Katoka mbali.Pamoja na degree nne huyo mzee kila akijitutumua lazima atoe boko kwenye public why?
There is something wrong in his head.
huyo mwakiembe alikuwa anawashwa. Wahuni wamemkuna kidogo tu anaanza kurukaruka. Atulie dawa umuingie vizuriWaziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.
Source: Global tv online.
Upo sahihi kabisa kuwa kupangiana cha kuzungumza ni kunyimana uhuru wa kutoa maoni, lakini wenzetu huwa mnawashwa washwa mkisikia msiyotaka kuyasikia. Mjifunze kuheshimu mitazamo ya wenzenu hata kama haiwafurahishi.kama ulikua unalitambua hilo, yani kuwapangia watu mambo ya kujadili.?
.....too little!!Too late
Kiwango cha sumu mwilini kina madhara?huyu nae ni kama bosi wake, sumu bado iko mwilini
Baba umeuaUna degree 4 halafu unakesha uwanja wa ndege kumsubiri Samata darasa 7 ,uongozi busara siyo degree
tabia ya sumu husababisha Progressive Brain damage a.k.a Progressive toxic encephalopathy.huyu nae ni kama bosi wake, sumu bado iko mwilini
Moja kwa moja kwenye ubongoKiwango cha sumu mwilini kina madhara?
Wakome kuropoka kama wamekunywa maji ya chooni vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]siku hizi kiongozi akuongea pumba social media zinampeleka puta kesho yake lazma aseme walininukuu vibaya.