Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,582
KWANI ZISIZO RASMI SI HABARI ?
Zitto hayupo hata Dodoma wewe umelogwa ama ukimsikia Zitto basi unapatwa na ugonjwa wa kujikuna ama kukunwa?
KWANI ZISIZO RASMI SI HABARI ?
Zitto hayupo hata Dodoma wewe umelogwa ama ukimsikia Zitto basi unapatwa na ugonjwa wa kujikuna ama kukunwa?
Anagalieni,Nahisi kuna Nguvu flani za Giza....Hii ni bajeti na kuna kikao cha CCM karibuniWait to hear something strange coz one of the prominent MP told me kuwa hata yeye anapatwa na hali sio ya kawaida.
JK amewaalika wenyeviti wa kamati za Bunge kwake leo jioni kupata msosi .........sijui itakuwa je huko nako ila tutakuwepo japo kushuhudia kinachoendelea humo./.
kwanini usingeishia hapa...Zitto hayupo hata Dodoma wewe umelogwa ama ukimsikia Zitto basi unapatwa na ugonjwa wa kujikuna ama kukunwa?
MKUU HII YAKO NI RASMI ? AU NDIO VIJIMAMBO ?
kwanini usingeishia hapa...
Zitto hayupo hata Dodoma.
Zitto hayupo hata Dodoma wewe umelogwa ama ukimsikia Zitto basi unapatwa na ugonjwa wa kujikuna ama kukunwa?
kama zitto hayuko dodoma wakati wa bajeti je anataka isemwe nini kuhusu prioties zake?
kama zitto hayuko dodoma wakati wa bajeti je anataka isemwe nini kuhusu prioties zake?
Naimaomari
Bomu hilo ... lapili hanyanyuki .... akatambike kweli kweli
Tujisetiri
Taarifa Ni Kwamba Jana Baada Ya Bunge Kufungwa Jioni Mbunge Moja Aliomba Aingie Achukuwe Kitu Alichosahau Ndani. Camera Za Bunge Zilimnasa Ananyunyiza Dawa Kwenye Viti Vya Watu Na Moja Ya Viti Kilikuwa Ni Cha Mwakyembe. Mimi Sisemi Ndiyo Maana Kaanguka Lakini Mambo Hayo Huwezi Kuyapuuza.
Zitto yuko KigomaMtu wa Pwani
ni zitto !!!!
Bongolander
I am begining to suspect that this is the end of Harrison, soon tutasikia amekufa. Huwa inaaza hivi hivi, let us wait and see!
Bongolander na wewe unajua ukweli
Tujisenti
Siyo mungine ni Vijisenti!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tujisenti uko sahihi kabisa
Mwanahabari
ni mbunge wa bariadi ndiye aliyesahau kitu na kuomba kuingia ndani ya ukumbi.
Mwanahabari huo ndio ukweli na uchunguzi umekwisha kuanza tokea jana usiku. Japo upo uwezekano mkubwa wa ushahidi kuvurugwa. Lets wait and see. Tusiangalie kwa imani za ushirikina tu, tuangalie na "uchawi wa kizungu" ambao jamaa alikua majuu na ana vijisenti
Mpita Njia,'Siamini kama vijisent anaweza kufanya kitu kama hicho. Na huyo zitto yupo kijijini kwao, hata bajeti kaisikiliza kwenye radio
Zitto hayupo hata Dodoma wewe umelogwa ama ukimsikia Zitto basi unapatwa na ugonjwa wa kujikuna ama kukunwa?