Mwakyembe augua ghafla Bungeni

watakuwa wamemtest au wamembeep mafisadi kama yupo reachable ina bidi arudi faster Bush kwa kina babu aweke mambo sawa lasivyo mambo yatageuka tukaanza kuongea historia nyingine tena.
 
Jamani tuwe serious, tuache kuwazushia watu, time will come na mchawi atajulikana tuuuuuuuuuu, tena huyo aliyemwaga vidawa ATANGULIE YEYE!!
 
Taarifa Ni Kwamba Jana Baada Ya Bunge Kufungwa Jioni Mbunge Moja Aliomba Aingie Achukuwe Kitu Alichosahau Ndani. Camera Za Bunge Zilimnasa Ananyunyiza Dawa Kwenye Viti Vya Watu Na Moja Ya Viti Kilikuwa Ni Cha Mwakyembe. Mimi Sisemi Ndiyo Maana Kaanguka Lakini Mambo Hayo Huwezi Kuyapuuza.

Imani za kijinga tu hizo, aliye na hizo dawa mwambieni aje anyunyizie nyumbani kwangu. Nikiumwa nitamlipa.

Watu tunaumwa na kufa kwa makosa yetu lakini wakati wote ni kutafuta mchawi tu.

Siku tutakapojifunza na kuelewa wachawi ni sisi wenyewe shauri ya kutokujali maisha yetu labda ndio tutasalimika.

Watu unawakuta wanalala na watu ambao wamefiwa na partners wao kwa ukimwi, bado wakikumbwa wanasingizia uchawi.
 
I am begining to suspect that this is the end of Harrison, soon tutasikia amekufa. Huwa inaaza hivi hivi, let us wait and see!
 
Hapa ndipo mlipoifikisha jf hata mtu akikohoa Breaking news! muradi baraza inachangamka na vimondo na jokes za hapa na pale vinarushwa poa tu katika kusukuma muda tuki subiri something serious to surface....
 
mzee kuna watu wakikohoa ni lazima iwe habari.. siyo sisi tu pote duniani.. hujasikia ya Seneta Ted... ? it is the nature of the beast.
 
Du kaazi kweli kweli!!!!!!!!!! Yaani hata uthibitisho wa taarifa hii haujatolewa tayari konklusheni imepatikana. Hao wataalamu kama wapo si wacheze na yule jamaa wa biashara ya mandege ya jeshi..................A point to think about, zamani ukienda maeneo kama breweries au bandari na other mashirika ya umma kulikuwa na magari au mashine kama forklifts zinazoendeshwa na watu fulani tuu. Eti jamaa akienda likizo ukigusa tu unapambana aidha na nyoka au balaa lolote lile.

Vp huo utaalamu kwenye makampuni ya kibepari haufanyi kazi??????? Maana sijawahi sikia kwa bepari jazi imesimama eti kwa sababu mwenye mashine anaumwa.

Otherwise Mwakyembe ugua pole...
 
Ni kweli kuwa ameugua na kukimbizwa zahanati ila bado hajawa sawa hadi sasa .
Nimeweza kuonana naye 30 mints ago yuko poa kiasi ila anajaribu kuangalia hali yake inakwendaje ndipo aweze kujua hatua za kuchukua ama kwenda hosipitali kubwa ama laa .

Hakuna kuwa na hofu kwenye kutafuta haki .....wengi walikuwa tayari kufa ili haki iweze kupatikana naamini ataweza kupata unafuu na kuwepo siku ya hotuba ya waziri mkuu atakapotueleza serikali imechukua hatua gani dhidi ya wale wote wa Richmond.

In Dom stay tuned....
 
Ni kweli kuwa ameugua na kukimbizwa zahanati ila bado hajawa sawa hadi sasa .
Nimeweza kuonana naye 30 mints ago yuko poa kiasi ila anajaribu kuangalia hali yake inakwendaje ndipo aweze kujua hatua za kuchukua ama kwenda hosipitali kubwa ama laa .

Hakuna kuwa na hofu kwenye kutafuta haki .....wengi walikuwa tayari kufa ili haki iweze kupatikana naamini ataweza kupata unafuu na kuwepo siku ya hotuba ya waziri mkuu atakapotueleza serikali imechukua hatua gani dhidi ya wale wote wa Richmond.

In Dom stay tuned....
Hiyo bajeti ilishaanza kusomwa,manaake mie hapa kampala na nimetua muda huu,najaribu kupata sehemu ambayo nitaona TBC
 
Mkono wa Mungu utakuponya Mwakyembe maandui zak watanyauka kama bua lilo kosa maji ya mvua.Nguvu zako ziwe imara kama za Samson kabla ya majaribu .Roho wa Mungu atande kule uendako na mkono wa shetani ukatwe na amani itawale maisha yako yabarikiwe na sala za watanzania ziko nawe kuanzia sasa hata mwisho wa maisha yako hapa Duniani .
 
Dah!
watu tulijua tayari amekula chakula kibovu maana huko Dom pana historia yake kwa kunyonga wapigania haki za walalahoi walio sahaulika katika nchi hii,.

inawezekana vile vile umesahau kolimba alianza kuumbwa akiwa wapi, na balali kaanza kuumwa mara tu alipotoka bungeni?
 
Amemaliza kusoma bajeti ila kuna haja ya kuisoma kwani ni madudu yale yale ya kuifanya bajeti kutegemea walevi kila siku kama main source ya mapato.
 
Amemaliza kusoma bajeti ila kuna haja ya kuisoma kwani ni madudu yale yale ya kuifanya bajeti kutegemea walevi kila siku kama main source ya mapato.

Hawa Mafisadi walishatufanya siye ndiyo wakunyongwa,Bia hatuachi kunywa na hata konyagi tutakunywa sana.KWA TAARIFA YAO hata Kuwakoma Mafisaid tutakuwa na nguvu mpya..

Unajua Serikali ilishakosa Ubunifu
 
Siyo mungine ni Vijisenti!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huu ni ushahidi hai mwingine kwamba Dr Mwakyembe ana uchungu wa kweli na nchi yake,kwa madudu yanayoendelea nchini kwa sasa ukichanganya na mabomu yanayolipuliwa huko bungeni kila kukicha you can understand why pressure za watu wenye kujali zinapanda.Pamoja na kumtakia speed recovery ningependa pia kumshauri yeye pamoja na wengine wenye matatizo ya blood pressure wanaohudhuria vikao vya bunge wakafunge 'pacemakers' kabisa kabla ya kuingia bungeni kwa kuwa kuna milipuko mikubwa sana itaendela kutokea!
 
Back
Top Bottom