Imani za kijinga tu hizo, aliye na hizo dawa mwambieni aje anyunyizie nyumbani kwangu. Nikiumwa nitamlipa.
Watu tunaumwa na kufa kwa makosa yetu lakini wakati wote ni kutafuta mchawi tu.
Siku tutakapojifunza na kuelewa wachawi ni sisi wenyewe shauri ya kutokujali maisha yetu labda ndio tutasalimika.
Watu unawakuta wanalala na watu ambao wamefiwa na partners wao kwa ukimwi, bado wakikumbwa wanasingizia uchawi.
One fact:
Science of negative emotions state that: "Negative emotions is MAGNETIC to what caused it" Imekaa Ki_Newton.
Mbwa akikufanya ukaogopa ... ule woga toka kwako unamvuta mbwa mpaka miguuni kwako na hivyo anajipatia kitoweo.
Mtoto mdogo anacheza na nyoka...Mama akija na Ma_emotions yake ...ana_Mu_activate yule nyoka na kumfanya amuume Mama au mtoto. Na hivyo Kutufanya kitaalam tumuite yule Mama ndiye nyoka na sio nyoka yule wa kweli ..kwani kabala ya mama(N_emotions kuja) mtoto aliweza kumfanya nyoka kuwa kamba ya kuchezea..lakini Mama alivyoogezea factor moja tu..Negative emotions..Kamba ikawa nyoka.
Uchawi = Mbwa = nyoka : Ni wewe una_ACTIVATE hiyo function kwa Negative emotions na kuifanya full oparative. Bila Negative emotions hakuna uchawi. Get That very clearly.
If you entertain kwa kuzalishia Uchawi Neagtive forces za feeling, emotions and thought...It works...tena very well.
Ndio maana hii ndio statement ya ki JF;
..Imani za kijinga tu hizo, aliye na hizo dawa mwambieni aje anyunyizie nyumbani kwangu. Nikiumwa nitamlipa...
Hii ni statement ambayo technicaly imeuea Negative emotions. Na Ikiwa maintained constantly..Uchawi unakuwa ni mchezo kama yule mtoto alkivyokuwa anacheza na nyoka.
Kumsadia H Mwakyembe...
Sio kui_entertain Negativity.
Maadui and their Forces wanakuwa empowered. Mbwa/simba anaposhtua kundi la watu/wanayama ... yule anayefanya High Emission ya negative emotions...mechanicaly ndiye anayemvuta Mbwa/simba na kuwa kitoweo. Simba ana_Mark na hatamuachia kwani anajua kile ndio chakula.
The less you emit negative emotions kwenye mikanganyiko...unakuwa safe zaidi. Uchawi kama kweli upo, Scietificaly you can play with it.
Simply usiuuwezeshe. On its own it cant work.
Ni VICTM mwenyewe anauwezesha...ndio maana this is completly True and It should be adapted to every body.
..Watu tunaumwa na kufa kwa makosa yetu lakini wakati wote ni kutafuta mchawi tu.
Na makosa yetu basicaly ni ujinga wa kutojua kwa undani nini ni Negative emotions. You emit it you pull to you wha activated it. Na hapo... umekwisha kwani chochote kinachoactivate... Negative emotions..Is death causing..!
Ndio maana ieleweke wazi na ifahamike kuwa hayumbishi mtu hapa.
Na we mean it.