Mwakyembe apanda treni kwenda Bungeni Dodoma

Mwakyembe apanda treni kwenda Bungeni Dodoma

Personally CCM siipendi ila kuna individuals ingawa wako CCM huwa naupenda utendaji kazi wao mfano Magufuri,Sitta,Yule wa tamisemi jina limenitoka ni naimbu waziri toka wakati wa mkuchika.
Na kwa hawa wapya wakienda na spidi walioanza nayo ie Mwakyembe na Kagasheki angalau wanaweza fanya CCM ishine ata kwa % ndogo tuu---------------
 
Mkuu kwahiyo ukifanya
kazi yako vizuri unatafuta urais, atajuaje kero za abiria, je dhana ya
uongozi kwa vitendo haina maana anymore. No jamani japo magamba hayafai
kwa moja wala mbili kuna baadhi wanathubutu including Mwakyembe,
Kagasheki na Magufuli tusiwe ifatuated na chuki tukavaa upofu

Alikuwa wapi alipokuwa naibu waziri wa magufuri?
Mbona kuna madudu mengi tu kayaacha ? Inamaana alikuwa anamuogopa magufuri?

Kiongozi muoga ni dhaifu hatufai!
 
Najua kwa hakika haja yake si kuokoa matumizi kwa kuwa bila shaka yoyote gari lake litajazwa mafuta na dereva atapewa posho kama kawa na ataendesha gari hadi Dodoma kumsubiri mkuu pale railway station. Zaidi zaidi itakuwa imeongeza gharama kwa kuwa angepanda gari lake kusingekuwa na gharama za nyongeza ila kwa kupanda train kuna gharama za ziada. Lakini pamoja na hayo huu ni mfano mafaka wa kuigwa. Asafiri aone nini kinawapata wasafiri wa train siyo kila siku wanapanda mashangingi tu. Viongozi wengine nao waige mfano huu.
 
Sidhani kama ni kweli hiyo treni iliazia wapi maana hakuna treni ya Dar to Dom leo hii.
 
ni mfano wa kuigwa ila si yeye wa kwanza: Mh.Phales Kabuye(malehemu) alikuwa anatoka Bihalamulo enzi hizo kuja Bungeni-Dodoma wa Usafiri wa Basi la kawaida kabisa na John Mnyika MP-Ubungo wakati mwingine huwa anaenda Dodoma na Vitz.

Huyo alikuwa akipanda treni kwa sababu ya shida ya usafiri,Mwakyembe ana shida ya Usafiri?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
likibaki dar huko dodoms atatumia bajaj kupiga misele?
Si anataka publicity aipande tumuone kama ni mzalendo wa kweli kama alivyopanda hiyo treni.....hatudanganyiki!!!
 
Alikuwa wapi alipokuwa naibu waziri wa magufuri?
Mbona kuna madudu mengi tu kayaacha ? Inamaana alikuwa anamuogopa magufuri?

Kiongozi muoga ni dhaifu hatufai!
Mkuu Mzizi wa Mbuyu Mwakyembe alikuwa mgonjwa muda mwingi wakati yupo Ujenzi. Nadhani si haki kumhukumu kwa hilo.
 
Last edited by a moderator:
V8 litakuwa linatembea rami na dereva anakula vichwa kama kawa
 
Alikuwa wapi alipokuwa naibu waziri wa magufuri?
Mbona kuna madudu mengi tu kayaacha ? Inamaana alikuwa anamuogopa magufuri?

Kiongozi muoga ni dhaifu hatufai!
Mkuu Mzizi wa Mbuyu Mwakyembe alikuwa mgonjwa muda mwingi wakati yupo Ujenzi. Nadhani si haki kumhukumu kwa hilo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Sweke, wengine miili yao haiwezi kuhimili dozi hiyo.

gwalihenzi,
miili inatofautiana kuresist sumu. km watz wote wakipewa its obviously lzm wapelekwe nchi ya uhindini ili ichakachuliwe km mwakye then ndo tuwe km mwakye. kwa hela ipi wakati tumeshindwa kukusanya kodi kwenye makampuni ya simu wakati sisi kodi ilokusanywa ni dola 1.2m, kenya wao ni mara makumi ya dola .
 
NImegundua umu kuna watu hawajawai ata kuwa maclass monitor no wonder wakibeza kila kizuri.
Hii aliyoitumia Mwakyembe ni approach ambayo kiongozi makini anatakiwa itumia ili kujua Q to Z ya subordinates wako!
Na hii husaidia kufanya maamuzi sahihi!
 
mtu yeyote aliekoswakoswa kufa mara nyingi huwa anakua jasiri sana yaani anajiamini. Na ndio kinachotokea kwa mheshimiwa.! Huyu mh.haogopi tena kufa.!
 
Back
Top Bottom