Mwakyembe apanda treni kwenda Bungeni Dodoma

Hongera sana mwakyembe. Nakutakia safari njema. Nisalimie tu watu wa Manyoni na ununue asali njiani umpelekee zawadi Tindu
 
Samahani nimeanzisha topic ambayo imesha anzishwa,naomba mods aiondoe
 
kwa maoni yangu mi naona huyu ndie m2 anaeweza kutatua tatizo la usafiri kwa wa2miaji wa tren na pia wasafirishaji wa mizigo
 
Hakuna tofauti na ziara za Jakaya Kwenye ofisi za wizara. Matatizo ya hizo treni yako kwenye ofisi huku makao makuu, muache atafute cheap popularity, atapoteza vyote viwili, mtoto na mbeleko.

Kama atamshiria mtoto ipasavyo kwa mbeleko imara itakuwa ngumu kupoteza kwani anamjua aliembeba ndio mwanae pekee.akifanya kosa kumpata mwengine itakuwa hadith ya Aliniacha
 
urais unatafutwa kwa nguvu zote!

mkuu remote,
ukitaka kutatua tatizo lazima ulisome vizuri toka lilivyoanza,liko vipi n.k ndo unaweza kulikabili na kulimaliza kabisa. ndo anavyofanya mwakyembe. hii ndo inatakiwa.
 
Nimegundua kuna approach nyingi za kuanza uwaziri ila sisi hatuangalii approach bali outcome ya hiyo approach. Apande asipande kama outcome ni ujinga ulele haisadii. Kwa mfano Mh.Matayo apande boat au mtumbwi au punda au ng'ombe no one cares tunachotaka ni kuona sustainable changes
 
Ametoka hojiwa ivi punde na clouds fm kupitia kipindi cha Jahazi.
Lengo lake ni kujua undani wa izi shughuli za usafiri.
Ameahidi kutembea toka behewa la mwanzo mpaka la mwisho akikagua mambo mbali mbali na kuongea na abiria kujua kinachowasibu.
Yuko pamoja na mke wake.
Ukitaka kujua uhondo wa ngoma ingia ucheze,big up Mwakyembe na ukiwa unaenda kwenu panda TAZARA.
Najua wapo watakaokubeza but personally napenda kiongozi anayeshiriki ktk kile anachokiongoza from the grassroot.
Ili unapofanya maamuzi unakuwa unajua nini ufanyacho unlike wale wanaopenda kuletewa issues while confortably seated in the office.
Amewaencourage mawaziri na viongozi wengine kutumia huu usafiri bse yeye anaenjoy big time kwa mujibu wa mahojiano live na Kibonde akiwa njiani
Na alipomaliza mazungumzo anasema anaenda kwa 3[SUP]rd[/SUP] Class kuna mshikaji wake Omary walikuwa nae Tabora boys,Na hiyo ndo purely life ya kwenye treni kwa wale ambao tumepanda
 
I think what he is doing is real pretty good. I wish him all the best. If god wishes he will do better as a PM meanwhile Pombe is a president.
Its my view don't run me over guys.
 
kama amepanda kwa "nia njema" na sio moto wa karatasi anastahli pongez, sio kumkatsha tamaa.
 
Hapa ni uraisi unatafutwa hakuna kingine, wanao mfahamu mwakyembe hawashangai ila waio mjua watashangaa sana, HUYU JAMAA NI ZAIDI YA SITA KATIA KUTAFUTA SIFA,

Tatizo si kupanda tren kwa sababu hata Yule Raisi wa Korea kaskazini mpaka mautu yanamkuta alikuwa kwenye tren ya nch yake,

JE KUPANDA KUTAFUFUA TREN? JE KUTAFUFUA RELI YA TANGA ARUSHA?
It's okay kama hicho kitendo chake cha kupanda train kitaleta mabadiliko chanya kwenye huduma ya reli Tzii...imagine mawaziri wote wangekuwa wanatafuta sifa kama mwakyembe/magufuli kwa kufuatilia malengo yote ya wizara yaliyowekwa!? si tungepiga ka hatua hata nusu? hata kama anatafuta sifa, end product ikiwa chanya who cares about masifa?
 
Hizo suprise zitaishia Morogoro mana unaweza ukakuta treni linaisha mafuta njiani na safari hakuna tena
 
mimi nasubiria matokeo ya haya maigizo.apande train,punda,bodaboda au bajaji mwisho wa siku kitakachoangaliwa ni kuboreka kwa sekta ya uchukuzi.
"Hatuhitaji kuonja sumu ndio tuamini kuwa inauwa''
 
Nisomesoma kwa masikitiko baadhi ya watu wakibeza hatua ya Mwakyembe kupanda treni. Wengine wamesema anatafuta urais! Waziri kupanda treni, ambayo wanapanda makwabwela, ni hatua ya kupigiwa mfano maana ataona shida zinazowakabili. Hata akilizungumza anakuwa na picha halisi! Fikiria kama mawaziri wote wangepanda dala dala, unadhani hali ingekuwa vile? Au kama watoto wao wangesoma shule za kata, unadhani zingekuwa hivyo? Tusiwakatishe watu wenye nia ya kuelewa shida zetu. Angekuwa Obama kafanya hivyo tungemsifia au tungemwabia anataka sifa?
 
According to Clouds FM,
Dr Harrison Mwakyembe amefanya supprise visit na kusafiri kwa treni kutoka Dar kuelekea Dodoma kuhudhuria kikao cha bunge. Mud si mrefu tutafahamu alichokusudia kufanya hiyo suprise.

Hakuna cha ajabu hapo,tuache kushabikia siasa uchwasa za namna hii,tunachotaka kuona ni nini yeye anafanya kufufua hizo huduma na sio cheap publicity. Yeye kaamua kupanda as a choice lakini sisi tunapanda as the only choice, sijajua lengo lake bado,labda alikuwa anasafiri kama sisi wengine,ila kama kuna zaidi ya hapo tutamskia akiongelea then i'll come back!
 
Back
Top Bottom