Mwaka mmoja ndani ya Merigos Fleury Prison

EPISODE 7.
Ni mwezi mmoja umepita tangu niwe gerezani bila kuwasiliana na family yangu tangu nihukumiwe.

Nilileta complain nyingi Sana kwa la chief de la prison.ili niweze kupata approval ya number zangu za simu ili niweze kuwasiliana na family.

Nilibahatika kupata approval za namba zng za watu wangu na kufanya mawasiliano na family yangu.kupitia call box zilizokuwa hapo Merigos Fleury.
-Mawasiliano yote husikilizwa na kurekodiwa.
-Mawasiliano yanaweza kusitishwa kama utagundulika kuongea Mambo ya kihalifu au chochote kitakachopelekea kutishia amani ya jela au uhalifu wowote huko nje ya jela,Mfano kuendelea kuongea Mambo ya kihalifu nk.

Hilo ni angalizo utakalopewa na utawala hata kabla ya kuanza kupata approval za namba zako ili kupiga simu kupitia call box za Mergos Fleury.

La cheif de la prison ,Jamaa yupo fair Sana na anajali Sana prisons wake.

Huyu ndy mkuu wa walinzi wote hapo Fleury merigos.na yeye ndy approval wa kila kitu.

Magereza huku France yamebinafsishwa,,
jela ni private sekta.
Hakuna nyapara wala Askari,,wala kirungu.

Jela ina kampuni ndy wanasimamia,,
Mfano kuna kampuni maalum ya ulinzi ndy hushughulika na kulinda wafungwa.
--Wao ndy wanawalisha wafungwa na kuwahudumia.

Mfungwa mmoja ana wastani wa Kula euros 100 kwa siku.

--(Atelier)Wao ndio wana viwanda vidogo vidogo humo gerezani ambapo huwatumia wafungwa kama wafanyakazi na kuwalipa kwa kadri ya utendaji wake kwa mwezi.(hulipwa kulingana na speed yako ya kazi ni euros 300-400 kwa mwezi.

--Wana kampuni ya kulisha wafungwa gerezani na wapishi na wasambaza chakula ni wafungwa wenyewe.(hulipa euros 250-280 kwa mwezi)

Wana kampuni ya usafi wa kusafisha takataka na kukata majani na garden zote za mergos Fleury.(hawa hulipa euros 300 kwa mwezi)
Pesa zako zinawekwa ktk acc yako ya Merigos Fleury..
Pesa ndani hazitumiki,,Ila ukihitaji chochote utalipia kupitia ACC yako iliyopo kwa approval yako mwenyewe.

Baada ya miezi kadhaa ya jela, nikaanza kuzoea maisha ya jela,

Nilipata friends wengi sn,
waafrica,
,wafaransa ,
na wazungu wengine wa mataifa mbalimbali.
Kila mmoja alikuwa na story yake ya kuvutia ,

"-"why he is in prison."?
-"Why are you here?"

Hilo ndy swali la Kwanza utakaloulizwa au watakaloulizana wafungwa wenzio kuhusu mfungwa mpya watakayemuona.
Utaulizwa sababu za kuingia jela ili watu wakupime uelewa wako na connection uliyonayo huko nje..

Nilikutana na wafungwa wa kila aina,
wauwaji,,
wabakaji,
drugs dealers,
human trafficking dealers,
wauza silaha na fraud people..

Kwa kifupi nilikutana na mambo mengi gerezani..
Tembea uone,,
Kaa jela ujifunze maisha.
Nilijifunza mengi mno gerezani.

Nilijifunza kuishi na watu,tena ambao sijawahi kukutana nao uraiani.

Nijifunza nidhamu ya kusoma tabia za kila umuonae.
Usiishi kimazoea.
Nilinunuwa simu,,nikawa nawasiliana na watu wangu muda wote.especialy night time.

Nilipata kazi jikoni nikazidi kuona mengi ambayo sikuweza kuyajuwa before.
Nilikuwa nasafirisha simu kutoka upande mmoja kwenda cello ingine kwa malipo ya packet ya sigara.
Nilijizidishia kipato zaidi,,
nilikuwa na uwezo wa kusafirisha hata simu 3-4 kwa week.
Na kila simu moja nalipwa paket 2 za sigara.
Nikiuza napata euros 40 kwa paket 2.
Nilikuwa na uwezo wa kutuma pesa kwa family yangu katika kila mwezi.

Ukifanya kazi jikoni Una fursa ya kupata chakula chochote ukitakacho.

Unapata nafasi ya kwenda popote ktk floor husika unayofanya kazi,
Kuhusu chakula ni kizuri Sana.
--saa 12 pm mkate,matunda,maziwa ,wali.,juice.

--18 hours
Matunda, yoghurt,mkate,salad, rice,

Hii ndy ratiba za chakula kwa wafungwa Merigos Fleury.
Vyakula vinauzwa unaweza ukanunuwa na kuviweka cellular kwako na kujipikia utakavyo.

France jela sio mateso,,
mtu anafungwa miaka 30 ambayo kwa France wanahesabu ndy kafungwa maisha..

Sio Africa ukiambiwa unafungwa maisha basi ndy hutoki hadi kifo chako.

Kesi kama madawa ya kulevya kwao utafungwa miaka mingi ni 4 kwa kukaa 2 gerezani..au miezi 9.

Kesi kama za kujeruhi.
Wizi.
Kubaka.
Kupiga mwanamke.
Rushwa.
Fraud.
Utakula miaka isiyopunguwa 8 -10 prison..
Wao kesi hizo ndy serious kuliko hizo zingine.

Hivi utamfungaje maisha mtu kwa bangi?au madawa ya kulevya? Na kumuacha muhujumu inchi ?Mla rushwa,fisadi,anayekula Mali ya umma.
Ulaya unafungwa miaka mingi Tu,,tena isiyopunguwa 10.

Africa sijuwi tumerogwa na nani..
Mirungi umfunge mtu miaka 30?
Come on"
Majitu yanaiiba serikalini ndy wao hawana hatia.
Come on Africa.

Jela unamlimisha shamba mfungwa kutwa nzima na kumpa bakuli la uji na maembe.,kweli?
Come on "Africa.
Kwann tunatesana?..

Kuna haja ya kuongeza adhabu kwenye baadhi ya makosa kama kweli Africa tumedhamiria kusonga mbele.
-- rushwa.
--Muhujumu inchi.
--Kula Mali ya umma.

Haya ni Mambo ambayo yanarudisha nyuma Sana taifa na kupindisha haki..

Haya Mambo yatapunguza watu kuiba Mali za umma na kulimbilizia Mali pamoja na kupindisha Sheria sababu ya rushwa

Ndy maana wenzetu wazungu wamenyooka Sana na wanazidi kuendelea sababu ya kutoa macho Sana na mambo hayo..

Jela unapelekwa shule
Unafanya kazi na kupokea mshahara.
Unapata nafasi ya kuongea na mpnz wako..unagegeda kupunguza ugumu wa nyege.
Ukitaka nguo zako huko nje unaletewa bag zima na zako chafu zinakwenda kufuliwa huko nje na kurejeshwa the next day na watu wako.

Ukikaribia kumaliza kifungo,,kama miezi 6 ya kumaliza kifungo,
Ikiwa kama ni raia wa France,,

utapewa siku nzima utoke nje ya jela,, kuungana na famili yako na kurudi jioni saa 5 pm.
Hiyo ni kila utakapoomba ruhusa kutoka nje ya gerezani na kurudi siku hiyo hiyo,,
Au siku tatu ni kwa jinsi utakazopangiwa kukaa nje na kurudi tena gerezani kumaliza kifungo chako.

Jela unawekwa mmoja au wawili kwa cellule ,
kuepuka Mambo mengi ya -magonjwa,,
-ubabe na ulawiti.

Africa tubadilike,,

Jela sio jehanam bali ni sehemu ya -kujifunza.,
-Kujutia.
Na kurekebisha tabia.

Jela nimefanya kazi na kulipwa vzr.
Nimelipwa 250 euros kwa mwezi
..
Baada ya miezi 9 hukumu yangu iilijadiliwa na judge na kupewa tarehe ya kutoka miezi mitatu baadae.
Nikatimiza miezi 12 kamili,,

Nilirudishwa nyumbani Tanzania(deportation).

Siku ya kuachiwa huru,

Nilifuatwa asubuhi ,hiyo ni baada ya kupewa taarifa miezi 3 kabla,

Tarehe nilishapewa kwenye karatasi na kwenye system nzima ya gereza inaonekana kwamba mfungwa fulani,,tarehe fulani anatoka..

usiku wa kuachiwa lazima utaarifiwe kupitia speaker iliyopo cellule.

The next day ,,nilipelekwa ofisini,,
nikakabidhiwa kwa police Gendar merie ( french police) ,,
nikapewa karatasi za kusign kukubali kurudishwa..

Nikapewa pesa zangu za mshahara kwa muda wote niliofanya gerezani, Euro 2500.

Nilisign zile karatasi so fast hata wakauliza mbona ume sign haraka kurudishwa nyumbani!

tulidhani ungegoma kusign ukabaki France.
Waliuliza kiutani wale police.
Nikamjibu" I get a family at home,,I love my wife and children.
Walishangaa sn.

Nilipelekwa airport,,nikapewa kila kitu changu,,

Nikapandishwa ndege,,
passport yangu akapewa pilot,,

Nikakabidhiwa documents zingine za kufungwa na zile za kumaliza kifungo changu.

Nikaingia dar JNIA,,huku passport yangu wamekabidhiwa maafisa usalama..
Hapo JNIA napo kuna story to tell.

Mwisho.

That's a true story of my life in prison,
Mergos Fleury.

View attachment 2075280View attachment 2075282View attachment 2075281View attachment 2075283View attachment 2075285View attachment 2075284View attachment 2075286View attachment 2075287
 
Attachments

  • Screenshot_2022-01-09-09-22-50-813_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
    Screenshot_2022-01-09-09-22-50-813_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
    61.5 KB · Views: 53
EPISODE 7.
Ni mwezi mmoja umepita tangu niwe gerezani bila kuwasiliana na family yangu tangu nihukumiwe.

Nilileta complain nyingi Sana kwa la chief de la prisoni.ili niweze kupata approval ya number zangu za simu ili niweze kuwasiliana na family.

Nilibahatika kupata approval za namba zng za watu wangu na kufanya mawasiliano na family yangu.kupitia call box zilizokuwa hapo Merigos Fleury.

Jamaa yupo fair Sana na anajali Sana prisons wake.

Huyu ndy mkuu wa walinzi wote hapo Fleury merigos.na yeye ndy approval wa kila kitu.

Magereza huku France yamebinafsishwa,,
jela ni private sekta.
Hakuna nyapara wala Askari,,wala kirungu.

Jela ina kampuni ndy wanasimamia,,
Mfano kuna kampuni maalum ya ulinzi ndy hushughulika na kulinda wafungwa.
--Wao ndy wanawalisha wafungwa na kuwahudumia.

Mfungwa mmoja ana wastani wa Kula euros 100 kwa siku.

--(Atelier)Wao ndio wanaviwanda vidogo vidogo humo gerezani ambapo huwatumia wafungwa kama wafanyakazi na kuwalipa kwa kadri ya utendaji wake kwa mwezi.(hulipwa kulingana na speed yako ya kazi ni euros 300-400 kwa mwezi.

--Wana kampuni ya kulisha wafungwa gerezani na wapishi na wasambaza chakula ni wafungwa wenyewe.(hulipa euros 250-280 kwa mwezi)

Wana kampuni ya usafi wa kusafisha takataka na kukata majani na garden zote za mergos Fleury.(hawa hulipa euros 300 kwa mwezi)
Pesa zako zinawekwa ktk acc yako ya Merigos Fleury..

Baada ya miezi kadhaa ya jela nikaanza kuzoea maisha ya jela,
Nilipata friends wengi sn waafrica,,wafaransa na wazungu wengine wa mataifa mbalimbali.
Kila mmoja alikuwa na story yake ya kuvutia why he is in prison.

Hilo ndy swali la Kwanza utakaloulizwa na kila utakayekutana nae..
Utaulizwa sababu za kuingia jela ili watu wakupime uelewa wako na connection uliyonayo huko nje.

Nilikutana na wafungwa wa kila aina,
wauwaji,,
wabakaji,
drugs dealers,
human trafficking dealers,
wauza silaha na fraud people..

Kwa kifupi nilikutana na mambo mengi gerezani..
Tembea uone,,
Kaa jela ujifunze maisha.
Nilijifunza mengi mno gerezani.

Nilijifunza kuishi na watu,tena ambao sijawahi kukutana nao uraiani.
Nijifunza nidhamu ya kusoma tabia za kila umuonae.
Usiishi kimazoea.
Nilinunuwa simu,,nikawa nawasiliana na watu wangu muda wote.especialy night time.

Nilipata kazi jikoni nikazidi kuona mengi ambayo sikuweza kuyajuwa before.
Nilikuwa nasafirisha simu kutoka upande mmoja kwenda cello ingine kwa malipo ya packet ya sigara.
Nilijizidishia kipato zaidi,,
nilikuwa na uwezo wa kusafirisha hata simu 3-4 kwa week.
Na kila simu moja nalipwa paket 2 za sigara.
Nikiuza napata euros 40 kwa paket 2.
Nilikuwa na uwezo wa kutuma pesa kwa family yangu katika kila mwezi.

Ukifanya kazi jikoni Una fursa ya kupata chakula chochote ukitakacho.

Unapata nafasi ya kwenda popote ktk floor husika unayofanya kazi,
Kuhusu chakula ni kizuri Sana.
--saa 12 pm mkate,matunda,maziwa ,wali.,juice.

--18 hours
Matunda, yoghurt,mkate,salad, rice,

Hii ndy ratiba za chakula kwa wafungwa Merigos Fleury.
Vyakula vinauzwa unaweza ukanunuwa na kuviweka cellular kwako na kujipikia utakavyo.

France jela sio mateso,,
mtu anafungwa miaka 30 ambayo kwa France wanahesabu ndy kafungwa maisha..

Sio Africa ukiambiwa unafungwa maisha basi ndy hutoki hadi kifo chako.

Kesi kama madawa ya kulevya kwao utafungwa miaka mingi ni 4 kwa kukaa 2 gerezani..au miezi 9.

Kesi kama za kujeruhi.
Wizi.
Kubaka.
Kupiga mwanamke.
Rushwa.
Fraud.
Utakula miaka isiyopunguwa 8 -10 prison..
Wao kesi hizo ndy serious kuliko hizo zingine.

Hivi utamfungaje maisha mtu kwa bangi?au madawa ya kulevya? Na kumuacha muhujumu inchi ?Mla rushwa,fisadi,anayekula Mali ya umma.
Ulaya unafungwa miaka mingi Tu,,tena isiyopunguwa 10.
Africa sijuwi tumerogwa na nani..
Mirungi umfunge mtu miaka 30?
Camooon"
Majitu yanaiiba serikalini ndy wao hawana hatia.
Camooon Africa.

Jela unamlimisha shamba mfungwa kutwa nzima na kumpa bakuli la uji na maembe.,kweli?
Camooon "Africa.
Kwann tunatesana?..

Kuna haja ya kuongeza adhabu kwenye baadhi ya makosa kama kweli Africa tumedhamiria kusonga mbele.
-- rushwa.
--Muhujumu inchi.
--Kula Mali ya umma.

Haya ni Mambo ambayo yanarudisha nyuma Sana taifa na kupindisha haki..

Haya Mambo yatapunguza watu kuiba Mali za umma na kulimbilizia Mali pamoja na kupindisha Sheria sababu ya rushwa

Ndy maana wenzetu wazungu wamenyooka Sana na wanazidi kuendelea sababu ya kutoa macho Sana na mambo hayo..

Jela unapelekwa shule
Unafanya kazi na kupokea mshahara.
Unapata nafasi ya kuongea na mpnz wako.
Jela unawekwa mmoja au wawili ,kuepuka Mambo mengi ya magomjwa,,ubabe na ulawiti.
Africa tubadulike,,

Jela sio jehanam Bali ni sehemu ya kujifunza.

Jela nimefanya kazi na kulipwa vzr.
Nimelipwa 250 euros kwa mwezi
..
Baada ya miezi 9 hukumu yangu iilijadiliwa na judge na kupewa tarehe ya kutoka miezi mitatu baadae.
Nikatimiza miezi 12 kamili,,
nilirudishwa nyumbani Tanzania(deportation).

Siku ya kuachiwa huru,
Nilifuatwa asubuhi,hiyo ni baada ya kupewa taarifa miezi 3 kabla,
inakuwa tarehe nimeshapewa kwenye karatasi na kwenye system nzima ya magereza inaonekana kwamba mfungwa fulani,,tarehe fulani anatoka.

usiku wa kuachiwa lazima utaarifiwe kupitia speaker iliyopo cellule.

The next day nilipelekwa ofisini,,
nikakabidhiwa kwa police genda rmerie ( french police) nikapewa karatasi za kusign kukubali kurudishwa..

Nikapewa pesa zangu za mshahara kwa muda wote niliofanya gerezani, Euro 2500.

Nilisign zile karatasi so fast hata wakauliza mbona ume sign haraka kurudishwa nyumbani!
!tulidhani ungegoma kusign ukabaki France.

Nikamjibu" I get a family at home,,I love my wife and children.
Walishangaa sn.

Nilipelekwa airport,,nikapewa kila kitu changu,,
Nikapandishwa ndege,, passport yangu akapewa pilot,,

Nikakabidhiwa documents zingine za kufungwa na zile za kumaliza kifungo changu.

Nikaingia dar JKI,,huku passport yangu wamekabidhiwa maafisa usalama..
Hapo JKI napo kuna story to tell.

Mwisho.

That's a true story of my life in prison,
Mergos Fleury.

View attachment 2075280View attachment 2075282View attachment 2075281View attachment 2075283View attachment 2075285View attachment 2075284View attachment 2075286View attachment 2075287
Hii ndo maana watu wanasema heri kuwa mbwa ulaya,maana maisha ya jela ulaya ni bora mara mia kuliko mtumishi wa serikali wa kada za chini,bongo ukifugwa miaka kuanzia mitano na ukarudi mzima shukuru Mungu wengi wanafia magerezani au wanatoka wakiwa tiari psychopath,
 
Hakika mkuu,,
Jela ulaya ni Sawa na Serena hotel.
.

Nimetoka jela Nina afya njema na kibunda cha noti mfukoni.
 
Mkuu kuna anayependa kufungwa?
Pesa ni zangu,,wewe elewa hivyo ..
pole mkuu na asante kwa kutuelimisha maisha ya Dunia ya kwanza aisee Africa tusipobadili mioyo yetu kamwe hatuwezi endelea;ukandamizaji unaanzia kwa viongozi wetu wakipewa madaraka hawataki wengine wapate tuna roho mbaya na nyeusi;ubinafsi na ubabe usio na maana watu wanawaza kukomoana tu!

Huku Jela sio sehemu ya mafunzo ni sehemu ya kuumizia watu thamani ya utu haipo kabisa Haki ndo tusizungumze raia wengi wanatumikia vifungo kwa uonevu!!Bado mateso ya jela zenywe huko askari anataka amalizie stress zake kwa mfungwa Africa Mungu Atusaidie!!
 
Hakika mkuu
 
EPISODE 7.
Ni mwezi mmoja umepita tangu niwe gerezani bila kuwasiliana na family yangu tangu nihukumiwe.

Nilileta complain nyingi Sana kwa la chief de la prisoni.ili niweze kupata approval ya number zangu za simu ili niweze kuwasiliana na family.

Nilibahatika kupata approval za namba zng za watu wangu na kufanya mawasiliano na family yangu.kupitia call box zilizokuwa hapo Merigos Fleury.

Jamaa yupo fair Sana na anajali Sana prisons wake.

Huyu ndy mkuu wa walinzi wote hapo Fleury merigos.na yeye ndy approval wa kila kitu.

Magereza huku France yamebinafsishwa,,
jela ni private sekta.
Hakuna nyapara wala Askari,,wala kirungu.

Jela ina kampuni ndy wanasimamia,,
Mfano kuna kampuni maalum ya ulinzi ndy hushughulika na kulinda wafungwa.
--Wao ndy wanawalisha wafungwa na kuwahudumia.

Mfungwa mmoja ana wastani wa Kula euros 100 kwa siku.

--(Atelier)Wao ndio wanaviwanda vidogo vidogo humo gerezani ambapo huwatumia wafungwa kama wafanyakazi na kuwalipa kwa kadri ya utendaji wake kwa mwezi.(hulipwa kulingana na speed yako ya kazi ni euros 300-400 kwa mwezi.

--Wana kampuni ya kulisha wafungwa gerezani na wapishi na wasambaza chakula ni wafungwa wenyewe.(hulipa euros 250-280 kwa mwezi)

Wana kampuni ya usafi wa kusafisha takataka na kukata majani na garden zote za mergos Fleury.(hawa hulipa euros 300 kwa mwezi)
Pesa zako zinawekwa ktk acc yako ya Merigos Fleury..

Baada ya miezi kadhaa ya jela nikaanza kuzoea maisha ya jela,
Nilipata friends wengi sn waafrica,,wafaransa na wazungu wengine wa mataifa mbalimbali.
Kila mmoja alikuwa na story yake ya kuvutia why he is in prison.

Hilo ndy swali la Kwanza utakaloulizwa na kila utakayekutana nae..
Utaulizwa sababu za kuingia jela ili watu wakupime uelewa wako na connection uliyonayo huko nje.

Nilikutana na wafungwa wa kila aina,
wauwaji,,
wabakaji,
drugs dealers,
human trafficking dealers,
wauza silaha na fraud people..

Kwa kifupi nilikutana na mambo mengi gerezani..
Tembea uone,,
Kaa jela ujifunze maisha.
Nilijifunza mengi mno gerezani.

Nilijifunza kuishi na watu,tena ambao sijawahi kukutana nao uraiani.
Nijifunza nidhamu ya kusoma tabia za kila umuonae.
Usiishi kimazoea.
Nilinunuwa simu,,nikawa nawasiliana na watu wangu muda wote.especialy night time.

Nilipata kazi jikoni nikazidi kuona mengi ambayo sikuweza kuyajuwa before.
Nilikuwa nasafirisha simu kutoka upande mmoja kwenda cello ingine kwa malipo ya packet ya sigara.
Nilijizidishia kipato zaidi,,
nilikuwa na uwezo wa kusafirisha hata simu 3-4 kwa week.
Na kila simu moja nalipwa paket 2 za sigara.
Nikiuza napata euros 40 kwa paket 2.
Nilikuwa na uwezo wa kutuma pesa kwa family yangu katika kila mwezi.

Ukifanya kazi jikoni Una fursa ya kupata chakula chochote ukitakacho.

Unapata nafasi ya kwenda popote ktk floor husika unayofanya kazi,
Kuhusu chakula ni kizuri Sana.
--saa 12 pm mkate,matunda,maziwa ,wali.,juice.

--18 hours
Matunda, yoghurt,mkate,salad, rice,

Hii ndy ratiba za chakula kwa wafungwa Merigos Fleury.
Vyakula vinauzwa unaweza ukanunuwa na kuviweka cellular kwako na kujipikia utakavyo.

France jela sio mateso,,
mtu anafungwa miaka 30 ambayo kwa France wanahesabu ndy kafungwa maisha..

Sio Africa ukiambiwa unafungwa maisha basi ndy hutoki hadi kifo chako.

Kesi kama madawa ya kulevya kwao utafungwa miaka mingi ni 4 kwa kukaa 2 gerezani..au miezi 9.

Kesi kama za kujeruhi.
Wizi.
Kubaka.
Kupiga mwanamke.
Rushwa.
Fraud.
Utakula miaka isiyopunguwa 8 -10 prison..
Wao kesi hizo ndy serious kuliko hizo zingine.

Hivi utamfungaje maisha mtu kwa bangi?au madawa ya kulevya? Na kumuacha muhujumu inchi ?Mla rushwa,fisadi,anayekula Mali ya umma.
Ulaya unafungwa miaka mingi Tu,,tena isiyopunguwa 10.
Africa sijuwi tumerogwa na nani..
Mirungi umfunge mtu miaka 30?
Camooon"
Majitu yanaiiba serikalini ndy wao hawana hatia.
Camooon Africa.

Jela unamlimisha shamba mfungwa kutwa nzima na kumpa bakuli la uji na maembe.,kweli?
Camooon "Africa.
Kwann tunatesana?..

Kuna haja ya kuongeza adhabu kwenye baadhi ya makosa kama kweli Africa tumedhamiria kusonga mbele.
-- rushwa.
--Muhujumu inchi.
--Kula Mali ya umma.

Haya ni Mambo ambayo yanarudisha nyuma Sana taifa na kupindisha haki..

Haya Mambo yatapunguza watu kuiba Mali za umma na kulimbilizia Mali pamoja na kupindisha Sheria sababu ya rushwa

Ndy maana wenzetu wazungu wamenyooka Sana na wanazidi kuendelea sababu ya kutoa macho Sana na mambo hayo..

Jela unapelekwa shule
Unafanya kazi na kupokea mshahara.
Unapata nafasi ya kuongea na mpnz wako.
Jela unawekwa mmoja au wawili kwa cellule ,kuepuka Mambo mengi ya magonjwa,,ubabe na ulawiti.
Africa tubadulike,,

Jela sio jehanam bali ni sehemu ya kujifunza.,
Kujutia.
Na kurekebisha tabia.

Jela nimefanya kazi na kulipwa vzr.
Nimelipwa 250 euros kwa mwezi
..
Baada ya miezi 9 hukumu yangu iilijadiliwa na judge na kupewa tarehe ya kutoka miezi mitatu baadae.
Nikatimiza miezi 12 kamili,,
nilirudishwa nyumbani Tanzania(deportation).

Siku ya kuachiwa huru,
Nilifuatwa asubuhi,hiyo ni baada ya kupewa taarifa miezi 3 kabla,
inakuwa tarehe nimeshapewa kwenye karatasi na kwenye system nzima ya magereza inaonekana kwamba mfungwa fulani,,tarehe fulani anatoka.

usiku wa kuachiwa lazima utaarifiwe kupitia speaker iliyopo cellule.

The next day ,,nilipelekwa ofisini,,
nikakabidhiwa kwa police Gendar merie ( french police) ,,
nikapewa karatasi za kusign kukubali kurudishwa..

Nikapewa pesa zangu za mshahara kwa muda wote niliofanya gerezani, Euro 2500.

Nilisign zile karatasi so fast hata wakauliza mbona ume sign haraka kurudishwa nyumbani!

tulidhani ungegoma kusign ukabaki France.
Waliuliza kiutani wale police.
Nikamjibu" I get a family at home,,I love my wife and children.
Walishangaa sn.

Nilipelekwa airport,,nikapewa kila kitu changu,,

Nikapandishwa ndege,,
passport yangu akapewa pilot,,

Nikakabidhiwa documents zingine za kufungwa na zile za kumaliza kifungo changu.

Nikaingia dar JNIA,,huku passport yangu wamekabidhiwa maafisa usalama..
Hapo JNIA napo kuna story to tell.

Mwisho.

That's a true story of my life in prison,
Mergos Fleury.

View attachment 2075280View attachment 2075282View attachment 2075281View attachment 2075283View attachment 2075285View attachment 2075284View attachment 2075286View attachment 2075287
Nime kubali mpambanaji
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom