Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,061
Wrong formula.... correct answer.
So tatizo ilikua ni kupata nafasi za uongozi tu
na sio mchakato wa uchaguzi kubakwa?
shame on mbowe,you can't stand for what is right!
Yaani hii itatumika kisiasa dhidi yenu kwamba "mna uchu wa madaraka"
hadi mjute,
Am watching
We kwani Mbowe ndo kawa diwani? we vp? anatetea nafasi ya CDM. Watu kama wewe hawawezi kuunda wingu zito la upinzani katika nchii hii. mtandelea kubakwa na ccm mpaka lilni nyie?!!
Mbona nasikie eti walisema hawawezi kukaa na CDM kujadili suala hili.ulikuwa ni ubabe wa CCM hasa makamba...
Walio uwawa? waliojeruhiwa? wliosota rumande? walio na kesi mahakamani? walioingia gharama? ....... yaani wasifanye maksihara kabsaaa hii ni vitaa No Retreat, No Surrender.
Haya mazungumzo yalikuwa yakiendelea tangu CHADEMA TAIFA walipo toa siku 21, ndipo kabla ya siku 21 kuisha serikali kupitia waziri mkuu wakaanza mazungumzo hata yule raisi msitaafu wa ujerumani aliekuja juzi alikuja kwa mazungumzo hayo hayo..
Mh. Lema yuko wapi?
Juzi tu aliropoka msibani ati Arusha haina mayor! Leo atakiri kuwa kuna mayor?
Ndumu sio mboga!.............................................................
PIPOZZZZZZZZZZZZZZZ PWA!
Kwa hiyo Rais mstaafu wa Ujerumani ndio alikuwa mshenga wa ndoa ya CDM na CCMhivi jk ameshindwa kuamua ugomvi/ngumi za ndani ya nchi yake mpaka aje rais mstaafu wa ujerumani aamulie? kweli nimeamini uongozi ni kipaji unachozaliwa nacho na si kilemba cha kuvishwa na NEC
Kwa hiyo Rais mstaafu wa Ujerumani ndio alikuwa mshenga wa ndoa ya CDM na CCM
Nani alikuambia Chadema ilikuwa inataka umeya, CDM walikuwa wanataka kanuni zifuatwe maana uchaguzi wa kwanza ulifanyika bila kuwashirikisha CDM na suluhu si lazima ifanywe na watu wa sehemu hiyo kina Thabo Mbeki, Kikwete wanapoenda kusuluhisha migogoro ya nchi zingine wana uraia wa huko.
Ubabe wa CCM upi jamani? Uchaguzi ule CCM ulishinda kihalali. Walishinda madiwani wengi kuliko Chadema katika uchaguzi. Walikuwa na haki ya kusimamisha Meya pale. Haki ya Chadema kusimamisha Meya ilitoka wapi? Badala yake Chadema wakaja CDM na mizengwe yao ya madai kwamba Diwani Chatanda hakubaliki wakati alipitishwa rasmi na CCM na alikidhi masharti ya makazi. Chadema wakachagua njia ya msuguano, ya kutumia nguvu na maandamano yasiyo na tija. Yamewafikisha wapi? Ona leo hii wamekaa kitako na kufikia muafaka. Kilichowashinda kufanya hivi toka mwanzo ni nini? Jamani tusikubali kutumiwa na wanasiasa uchwara kwa maslahi yao binafsi.
Kwani issue ilikuwa KUGAWANA MADARAKA au ilikuwa KUKATAA KUKIUKWA KWA SHERIA YA UCHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA mbapo Mbunge wa viti maalum(CCM)Tanga Mama Chitanda kupiga kura yake Arusha sehemu ambayo yeye sio mwakilishi?
CHADEMA ni waroho wa madaraka au?
Ahahahaha! Mkuu, hii ni ndoa tu kubali kataa, ata kwenye Mwafaka wenu hakuna siku Chadema wataongoza Umeya wa Manispaa ya Arusha, wamepewa wao na TLP, wapokezane unaibu meya wanapokezana hata katiba ya Tanzania haitambui hivyo vyeo vya kupokezana, kwa hiyo walichofanya CUF na CCM huko Zanzibar ndicho walichofanya CCM na Chadema Arusha
Sasa hapo iwe vita yako na nafsi yako kujua kuwa unatumiwa kufikia malengo ya wanasiasa wachache. Akili kumkichwa jamaa hawawajali tena waliokufa wala waliojeruhiwa! Hiyo ndio pipoz pawa bwana!


Kumbe harakati zote hizo tulikuwa tunatafuta naibu meya tu
View attachment 32443View attachment 32444
View attachment 32445View attachment 32446
Katika vyombo vya habari jana viliripoti kuwa chadema wamtambua meya toka ccm itakuwa vyema sana chadema kuthibitisha kama ni kweli wamemtambua huyo meya kuliko kusikia tu maana hiyo kwa Arusha ilileta dosari kubwa kuanzia wananchi, Polisi na kwa serikali maana walisema sana kuhusu uchaguzi kurudiwa pia tungependa mbunge wetu Lema na yeye aongee kwa sisi wananchi na kutuambia kulikoni? Kweli siasa ni siasa tu.