Mwafaka wa Umeya wa Arusha wapatikana

hiyo ndiyo gharama ya democrasia, watu walikufa sawa ila serikali nayo imejifunza kuwa ubabe hauna tija.
 
Ebu weka sawa hili swala, Huyu Meya ndio yule wa toka mwanzo ambaye Chadema walisema hamtambui au kaja mwingine?!
Hiyo ndiyo gharama ya mwafaka huwezi kupata vyote ulivyotaka baadhi vitabaki kwa mpinzani wako vinginevyo uingie mstuni.
 
FaizaFoxy - unaweza kujibu ni kwa nini Mizengo Pinda amekaa meza moja na Mbowe (waliye msafirisha usiku usiku chini ya ulinzi mkali wa police) na kuongea kuhusu u-mayor wa Arusha? Hivi unakumbuka kauli za ccm/serikali kwamba uchaguzi umeisha?

You don't need to be a brain surgen kujuwa kwamba serikali wafikia mwisho wa kufikiri kwa issue ya Arusha na hivyo wamelazimika kunywa kikombe cha CDM!

Hapo ndio ujiulize wewe sio mimi. Ilikuwaje mzee wa kususa, na baada ya kuswekwa ndani (ingawa si Pinda ni mahakama), leo akubali kuwa Meya ni yuleyule waliemkataa na kufanya maandamano na kujidai fujo na nini. Kwa nini?

Wapiiiii?
 
Tumewaachia huo umeya bado kelele za nini mwambieni ajiuzulu kama vipi nendeni mahakamani hiyo ndiyo imetoka.
 
Taratibu zilivunjwa, CCM walipora demokrasia. Ushindi wa mezani ni uzandiki. Tunataka uchaguzi mpya wa Meya ili kuilinda Demokrasia. Damu za waliokufa zinathamani kubwa. Lazima serikali ya CCM iwalipe ndugu wa marehemu na watoto wao fidia stahiki na waombe umma msamaha kwa kuuwa wananchi bila hatia.

Sasa unapingana na Mwenyekiti wako? rudisha kadi hawakufai hao. Sijui aliahidiwa kesi ya deni la NSSF atasamehewa?
 
So tatizo ilikua ni kupata nafasi za uongozi tuna sio mchakato wa uchaguzi kubakwa? shame on mbowe,you can't stand for what is right!Yaani hii itatumika kisiasa dhidi yenu kwamba "mna uchu wa madaraka"hadi mjute,Am watching
hivi na wewe upo kwenye list ya vijana wa nepi?
 
mkuu ila kilichofanyika sicho kwakuwa CDM walikuwa wanapigania mfumo mbovu uliyotumika kumpata meya, CDM walipinga sana na kutaka uchaguzi urudiwe ishinde au isishinde ila taratibu na kanuni zifuatwe nasikugawana madaraka kama ilivyotokea.

vile vile CDM walipinga mifumo kama hiyo iliyotokea sehemu mbalimbali kama kenya, ivory cost na kungineko kule kulikotokea mkanganyiko wakupindisha sheria kwa uchu wa madaraka.

kwa hili CDM wakubali yakuwa wamechemsha au nisema kwa msisitizo tumechemsha kukubali kuruhusu mianya kama hii ya kupindisha sheria na kujenga mazoea ya kufanya mazungumzo mbeleni huko.

CDM hapa hatujamaliza tatizo bali tumeongeza tatizo tena kubwa sana, na mjue yakuwa mmemuweka LEMA kwenye wakati mgumu sana kwakuwa siku zoe amekuwa akipigania ukweli sasa nyie kwakuwa ni wengi mmeupindisha ukweli, na kura iliyo haribika ilikuwa ni yadiwani wa kata ya revyolosi mh NANYARO ambaye alipinga sana uchanguzi huwo ambao umewasaliti wananchi.

JF tuache kushabikia ujinga CDM ikikosea lazima tuikosoe kwakuwa ndicho chama cha matumaini ya watanzania na ni chama kinachoenda ikulu, utaratibu kama huu ni wakupinga sana ili siku nyingine usijirudie tena.

haya ni mawazo yangu binafsi kama wengine jinsi walivyotoa mawazo yao

Sawa mimi naomba hasa toka kwa crashwise Vipi hatima ya uhalifu wa uaji wa polisi? Na vipi kesi inayowakabili viongozi wa CDM baada ya huu muafaka?
 
Ingawa washabiki wa pande zote tupo wengi lakini inafaa tuwapongeze wote wawili, CCM na CDM kwa kufikia muafaka. Kuna siku mtu alisema humu JF, sikumbuki ni nani, aliwaasa CDM wajifunze kutoka kwa CUF.

Siasa maana yake ni Siasa, it should be give and tack on our leaders for the benefit of us, Raia.

Hongera CCM
Hongera CHADEMA.

Haya mods, fungeni huu mjadala tukabishane mengine hukoooo.
 
Hatimae ule utata wa meya ulio sababisha watu watatu kupteza maisha umepatiwa ufumbuzi baada ya mazungumzo yaliyokuwa yakifanywa na Waziri mkuu na Freeman Mbowe, kufikia mwafaka kuwa madiwa wakae wakubaliane ndipo leo walipo kaa madiwa wakafikia wamfaka kama ifatavyo...

Meya Gaundence Lyimo CCM
Naibu Meya Mallah CDM alipata kura 22 kati ya 25...2 zilisema hapana na 1 iliharibika
Kamati ya Uchumi na Elimu Bayo CDM
Kamati ya Fedha Lyimo TLP

Je katika muafaka huo kimo kipengele cha kuwafikisha mahakamni wauaji wa raia watatu wasio na hatia pomoja na kuwalipa fidia wajane na ndugu wa marehemu pamoja na kuwalipa fidia wale wote waliojeruhiwa katika mzozo huo?. Kama CDM wamekubali mufaka usio na kipengele hiki ni mwanzo wa mwisho wa kukosa Public support. Unajua kitakachofuata? ni kwamba CDM walikuwa na uchu wa madaraka mpaka wakawahadaa raia kuandamana na kuuwawa wakati wao wameambulia unaibu meya.

CHADEMA kama muafaka huu mmeufikia kwa vigezo hivyo na kuacha mauji yasahaulike you are doomed!!!. Angalieni wenzenu CUF kilichowapata soon you are next. Haiwezekani watu wauwawe kirahisi halafu leo mnakubali kiulaini hizi, ni bora mngegomea muafaka mpaka meya ajiuzulu, hapa mmewapatia magamba cheap points kuwa waliyokuwa wakiyasema kuhusu uchaguzi wa umeya ni ya kweli kuwa wao wapo wengi.

I am starting to lose interest with CDM as an alternative part to CCM, kwenye hili mmeniuzi kweli na mnahitaji kuwajibu wana Arusha kwa maamuzi kama haya. The only way forward ingekuwa ni kuwashirikisha wana Arusha na si Pinda na Mbowe kukaa. I am mad as a hell on this if it is true that CDM mmekubali kulaza chini shingo ili kisu cha CCM kiwapitie.
 
Ingawa washabiki wa pande zote tupo wengi lakini inafaa tuwapongeze wote wawili, CCM na CDM kwa kufikia muafaka. Kuna siku mtu alisema humu JF, sikumbuki ni nani, aliwaasa CDM wajifunze kutoka kwa CUF.

Siasa maana yake ni Siasa, it should be give and tack on our leaders for the benefit of us, Raia.

Hongera CCM
Hongera CHADEMA.

Haya mods, fungeni huu mjadala tukabishane mengine hukoooo.
Leo umekuwa mtu wa kuwapongeza Chadema usituonyeshe meno ya mamba tudhani unacheka hiyo fuhara ya mamba peleka huko huko kwenye magamba na mjadala haufungwi kama unaumia usifungue thread hii.
 
Nani alikuambia Chadema ilikuwa inataka umeya, CDM walikuwa wanataka kanuni zifuatwe maana uchaguzi wa kwanza ulifanyika bila kuwashirikisha CDM na suluhu si lazima ifanywe na watu wa sehemu hiyo kina Thabo Mbeki, Kikwete wanapoenda kusuluhisha migogoro ya nchi zingine wana uraia wa huko.
 
Ingawa washabiki wa pande zote tupo wengi lakini inafaa tuwapongeze wote wawili, CCM na CDM kwa kufikia muafaka. Kuna siku mtu alisema humu JF, sikumbuki ni nani, aliwaasa CDM wajifunze kutoka kwa CUF.

Siasa maana yake ni Siasa, it should be give and tack on our leaders for the benefit of us, Raia.

Hongera CCM
Hongera CHADEMA.

Haya mods, fungeni huu mjadala tukabishane mengine hukoooo.

I cant help, i hate your avatar and your way of reasoning. You must have two left hands.
 
I cant help, i hate your avatar and your way of reasoning. You must have two left hands.

All the war-propaganda, all the screaming and lies and hatred, comes invariably from people who are not fighting.
George Orwell
 
Leo umekuwa mtu wa kuwapongeza Chadema usituonyeshe meno ya mamba tudhani unacheka hiyo fuhara ya mamba peleka huko huko kwenye magamba na mjadala haufungwi kama unaumia usifungue thread hii.

Kama wewehutaki pongezi yangu, usiipokee, hii inaelekezwa kwa wale waliofurahia muafaka. Kama upo kweli, maana sijaona anything official hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom