Haswa ndicho tunachokihitaj watzwapigania uhuru huwa hawaogopi kufa. tutaandamana tena mpaka mkoloni mweusi ang'oke
Habari yenyewe umeisikia leo lini umeuliza hizo terms of agreement ukaambiwa hazipo unakurupuka tu ndiyo maana nimekuambia unajadili outcomes na si process yake.Mob
Hata mimi napenda amani lakini muafaka huu wa CDM na CCM ungekuwa wa Terms n Agreement ambazo zingepelekwa kwa Wakazi wa Arusha wajadili na waje na Decision siyo kugawana madaraka wao kwa wao ni lazima wafahamu wanawatawala watu sio wanyamapori coz waliotaka uchaguzi urudiwe ni wananchi wa Arusha sio Cdm na mbowe tu.
Inanisikitisha, Inanikera na Inaniudhi hasa ninapowakumbuka viongozi wa Cdm walipokuwa wakihamasisha watu wajitokeze kwenye maandamano bila kujali Itakadi za vyama vyao, Dini zao, Kabila zao, Rangi zao na Jinsia zao....kupinga matokeo ya Uchaguzi wa meya wa Arusha. Maskini Wakazi wa Arusha walioacha Shughuli zao na kuitikia mwito huo ambao ulipelekea kupoteza maisha ya watu 3 na wengine kupoteza viungo vyao vya mwili. Leo hii tunashuhudia makubaliano ya kugawana madaraka ya jiji la Arusha yasiyoshirikisha
Ni maoni yako, tumekusikiaMsishambulie maana mwenzenu ana akili sana.Si mnaona sasa anafahamu hata kutumia Computer na kaja kuandika hadi kwenye Jamiiforums?Ujiko wake ni kuongeza nyumba ndogo huko mtaani kwake. Watamkoma msomi wao......
unajua chadema wameshika sehemu zote nyeti afya,elimu, kwa ufupi maamzi mengi wanayo waoUnashangaa nini? Ndiyo siasa hizo. Mwisho wa kila kitu katika siasa ni kupata madaraka wewe tumia mtutu, ua watu, fanya mashambulio ya aibu, fanya mashambulio ya kudhuru mwili, ongopa, fanya ulozi, iba kura, tukana, pinga matokeo, nk. Kinachotakiwa ni Madaraka. Sasa wanagawana Madaraka si yamepatikana, basi. Ndio siasa hizo mkuu!! Kila siku nasema wanasiasa wa kwetu ni wasaka tonge tu!!
Hizo Terms of Agreement unazo wewe na Mbowe tu? inaonekana bado hujanielewa vizuri. Narudia tena waliodai uchaguzi urudiwe ni wananchi wa Arusha siyo wewe, Cdm na mbowe tu kama mnazo zeleteni kwa wananchi kama zinafaa kwa maslahi yetu siyo yenu tu.Habari yenyewe umeisikia leo lini umeuliza hizo terms of agreement ukaambiwa hazipo unakurupuka tu ndiyo maana nimekuambia unajadili outcomes na si process yake.
Ahahahaha! Mkuu, hii ni ndoa tu kubali kataa, ata kwenye Mwafaka wenu hakuna siku Chadema wataongoza Umeya wa Manispaa ya Arusha, wamepewa wao na TLP, wapokezane unaibu meya wanapokezana hata katiba ya Tanzania haitambui hivyo vyeo vya kupokezana, kwa hiyo walichofanya CUF na CCM huko Zanzibar ndicho walichofanya CCM na Chadema Arusha
mjue waliokaa chini na kupata muafaka hayo yote waliyaangalia na sidhani dk slaa na mbowe na baadhi ya viongozi wanaweza kuwa na maamzi mabaya kwa chama kwa sababu hata wao wanajua chama kina watu makini na wakienda ovyo lazima wahoji cha msingi hapa tusubiri taarifa ya wakuu watueleze walifikia vp muafaka pale arusha lakini tusikurupuke kulaumu wakati wakuu awajatoa tamkoKuna mtu aliwai kusema hivi hapa jamvini Truth is a daughter of Time. Kweli muda umefika na tunaona dhamira ya kweli ya viongozi wa Cdm ilikuwa ni ipi! Haramu ni haramu tu kamwe haiwezi kuwa takatifu. sasa nashangaa viongozi hawa CDM waliouita uchaguzi haramu na kumkataa mshindi wake, leo wanamkubali kwa kupewa baadhi ya sehemu za uongozi wa jiji!! huu ni uhuni unaofanyika kwa kafara ya watu wa Arusha. Freedom will never come on basis of this wrong decision onto our leaders.
Inanisikitisha, Inanikera na Inaniudhi hasa ninapowakumbuka viongozi wa Cdm walipokuwa wakihamasisha watu wajitokeze kwenye maandamano bila kujali Itakadi za vyama vyao, Dini zao, Kabila zao, Rangi zao na Jinsia zao....kupinga matokeo ya Uchaguzi wa meya wa Arusha. Maskini Wakazi wa Arusha walioacha Shughuli zao na kuitikia mwito huo ambao ulipelekea kupoteza maisha ya watu 3 na wengine kupoteza viungo vyao vya mwili. Leo hii tunashuhudia makubaliano ya kugawana madaraka ya jiji la Arusha yasiyoshirikisha
Kwa hiyo wewe ndio wananchi wa Arusha.Hizo Terms of Agreement unazo wewe na Mbowe tu? inaonekana bado hujanielewa vizuri. Narudia tena waliodai uchaguzi urudiwe ni wananchi wa Arusha siyo wewe, Cdm na mbowe tu kama mnazo zeleteni kwa wananchi kama zinafaa kwa maslahi yetu siyo yenu tu.
Hivi maandamano yale yote yalilenga kugawana madaraka kati ya CDM na CCM??!! na sio kurudia Uchaguzi wa meya. Basi kama ndo hivyo we hv a long journey to approach a radical change.
Mob
Hata mimi napenda amani lakini muafaka huu wa CDM na CCM ungekuwa wa Terms n Agreement ambazo zingepelekwa kwa Wakazi wa Arusha wajadili na waje na Decision siyo kugawana madaraka wao kwa wao ni lazima wafahamu wanawatawala watu sio wanyamapori coz waliotaka uchaguzi urudiwe ni wananchi wa Arusha sio Cdm na mbowe tu.
Dear Mwanaharakat,
naandika message hii kwa uchungu na pia kwa matumaini...
ni uchungu kuendelea kuconfirm kuwa CCM
1. mnayo nia ya kushika dola ili kuua na kuumiza raia masikini kwa gharama yoyote. (kupiga risasi raia waliokuwa wanahoji mwafaka wa jiji lao)
2. mnayo nia ya kushika uongozo wa nchi hata kama kushika huko madaraka kutazorotesha maendeleo (kuwa na uongozi ambao si concessus ni barrie to development)
3. hampendi mwafaka kwani AMANI ni tunda la HAKI ambalo sio sera yenu (kufikiwa mwafaka kumewaathiri sana kisaikolojia na kifisadi)
ni matumaini kwamba
1. CCM wamejifunza kuwa watu si punda ambaye hata ukilmlaziomisha kufika mtoni huwezi mlazimisha kunywa maji
2. wizi na ufisadi uliokuwa unatarajiwa pale arusha kupitia ofisi ya meya sasa utakwama
3. maendeleo ya watu sasa yatapatikana pale arusha
4. kuna kila daliki kuwa AMANI itarejea kwani HAKI imepatikana
kidumu chama cha demokrasia na maendeleo!
Meya akupigiwa kura wakaNINACHOJUA NDUGU mwanaharakati. wale waliokuwa kwenye mazungumzo ni wawakilishi wa wananchi hivyo walifanya kwa maslahi ya umma na pia ndugu elewa ile sio kugawana madaraka ila walipiga kura za kuamua ni nani awe meya na nani awe naibu meya and from that ndio wakafikia makubaliano kwa ajili ya kutatua huo mgogoro.hivyo kauli zile za kejeli eti amechaguliwa kihalali zimeisha na sasa wato kwa pamoja cdm na ccm wataendelea kuletea wananchi maendeleo yao
Sasa unamdanganya nani? au umeamua kujifariji na kujiliwaza na msogo wa mawazo ya ndoa ya CCM na Chadema, yani kupokezana hizo kamati na kupokezana unaibu meya Chadema na TLP, nyie kwenu ndio ushindi?unajua chadema wameshika sehemu zote nyeti afya,elimu, kwa ufupi maamzi mengi wanayo wao