sativa saligogo
Senior Member
- Apr 11, 2011
- 126
- 6
Nunua mouth pice la chama, Tanzania Daima la jana utapata khabari yake.
Kikwebo.
GO TO PEOPLE LIVE WITH THEM LEARN TRY TO CONQUER IF U FAIL JOIN!!!!!!!
Nunua mouth pice la chama, Tanzania Daima la jana utapata khabari yake.
Kikwebo.
Wadau wenzangu sasa vipi ile CD ya Lema ya Mauaji ya Arusha tutaendelea kuisambaza? Isije kuleta doa kwenye Ndoa ya CDM na CCM
Bravo cdm!!!!!Hapo huo ndo ukomavu wa kisiasa coz hili la Arusha kule Kgm lilishafanyika woga wa nn? ili kujua uhondo wa ngoma shurti uingie ucheze ati!!! Makamu meya kaza buti kuibua uozo wa ndani ya arusha municipal pameoza hapo take note!!!!!
GO TO PEOPLE LIVE WITH THEM LEARN TRY TO CONQUER IF U FAIL JOIN!!!!!!!
Fazili Mbowe ni Mwenyekiti na sio diwani wala meya, jamaa na mimi na yule pale tunajua yale maandamano yaliogharimu uhai wa wasio na hatia yalikuwa na dhamira ya kurejewa uchaguzi wa umeya kwani haukufuata utaratibu! Sasa matokeo yake CCM wamewasoma wakajua hamna lolote nyie macho "kumchuzi" yaani kelel zote mnataka ukubwa wakawapa ukubwa mkaingia kwenye mtego wa "mwafaka" maarufu kama mnavyouita "kuolewa na ccm" lakini kwa kuwa mmeolewa nyie hamsemi mnakuja juu kama moto wa kivuu. Ingejirudia kwa ule upande mwingine au ingekuwa ni TLP sipati picha watu wangechangiaje? "mrema kibaraka" and so on.
Well wafiwa bado wanauguza machungu cdm wameshasahau wanajifariji na umeya. Pipooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Jana Kwenye Kipindi cha Makwaiya Seif alikuwa na jino pembe akifurahia kuolewa na CCM,kwa undani kabisa alisema mambo ya bara hayawahusu kwa sasa na hawataki waingiliwe kwenye mipango yao,na kwamba wanatekeleza mipango ya serikali kwa kuunganisha ilani ya CCM na CUF ,sasa utalinganisha vipinafasi ya CCM na CUF na Chadema kila conflict hapa dunia inafikiwa kwa majadiliano na uamuzi wa mwisho Kwa jinsi baraza la halmashauri ya Arusha lilivyo hakuna mahala CCM itaweza kuwaburuza chadema kufanya chochote kwa sababu kamati zinaogozwa na vyama vyote
Tunaangalia alichosema Makamba,Wasirra,Mkuchika,na Chatanda,na Estomi Chanq'a mkurugenzi wa sasa wote walisema uchaguzi umekwisha viongozi waliochaguliwa wanatosha lakini ukiangalia mwenyewe hizo kauli ndio matokeo yake au wewe unageuzia kibao Chadema wakati kuna watu wengine waliapa wakala moto wakasema hawatakaa na chadema ,think twi ce Mohd sio ushabiki tuu wakutaka kujustify malengo yako ya upotoshajiNi kweli amesema kuwa wanaangalia jinsi ya kutekeleza ilani zao kwa ajili ya kuwaletea maendeleo wananchi wao nadhani hilo ndio la kulizungumza. CUF walikuwa wanataka kuwatumikia wananchi kuleta maendeleo ndio maana hawataki kuwa kwenye serikali halafu wapinge mambo ya maendeleo kwa wananchi wao wanataka historia isije kuwahukumu vibaya mbele ya safari. Sasa nyie mliokubali kuwa manaibu meya unataka kuniambia yule meya wa CCM akifanya la maendeleo nyie hamtamuunga mkono mtalizuia? sasa ikiwa ndio hivyo mnafaida gani na wanaarusha?
CCM C imezaliwa tungoze D, E, F mpaka Z maana mlichonga sana hapa leo mmeumbuka mnakuja na mautetezi yasiyo na vichwa wala miguu. Muafa ni mwafaka tu uwe wa CCM na CUF au wa CCM na CDM.
Hakika Mhe Mbowe una kesi ya kujibu...tena majibu ya msingi yatakayoturidhisha wananchi wa Arusha na Wapenzi wa Chadema.
Tumesikia Muafaka umepatikana khs Meya wa Arusha tunafurai ni jambo jema kwetu lkn pia tumesikia kulikuwa na majadiliano ya siri yakiendelea kati ya Mbowe na Pinda na hatimaye kufikia muafaka huo wa Arusha hapa sasa ndipo Shaka ilipo. Wakati BAVICHA-ARUSHA wakifanya maandalizi ya maandamano mengine kupinga Uchaguzi wa meya huyo, kwa bahati nzuri tukasikia maandamano hayatakuwepo
Sidhani hata kama lilikuwa linawafikirisha. ukitaka kujua hilo uliza yaliyowapata CUF kule zenji. uzi ule ule chadema kama CUF. Tunahitaji nguvu ya zaida kuwatokomeza hawa wajamaa.kwa hapa naungana na Mbowe. kwani ccm ilikuwa hali mbaya. migogoro ya ccm lkn kubwa zaidi tutakuwa na muda kulikomboa jimbo hilo. hongera mbowe kwa hili
Hakika Mhe Mbowe una kesi ya kujibu...tena majibu ya msingi yatakayoturidhisha wananchi wa Arusha na Wapenzi wa Chadema.
Tumesikia Muafaka umepatikana khs Meya wa Arusha tunafurai ni jambo jema kwetu lkn pia tumesikia kulikuwa na majadiliano ya siri yakiendelea kati ya Mbowe na Pinda na hatimaye kufikia muafaka huo wa Arusha hapa sasa ndipo Shaka ilipo. Wakati BAVICHA-ARUSHA wakifanya maandalizi ya maandamano mengine kupinga Uchaguzi wa meya huyo, kwa bahati nzuri tukasikia maandamano hayatakuwepo
Muafaka umeshapatikana. Inamaana hata BAVICHA-ARUSHA walikuwa hawafahamu juu ya haya majadiliano yenu. Kama muafaka huu ni kwa manufaa ya wananchi kwanini Majadiliano hayo yalikuwa ya siri kubwa? Tunahitaj majibu Mhe Mbowe....otherwise Cdm itakufa kibudu kama Cuf
Ni kweli kwa sababu hujui la maana na hata ukiambiwa la maana hutolifahamu.hauna la maana unalo andika