Acha kupotosha ebu waeleze vizuri wenzako ndoa yenu jinsi ilivyo, mlichokubaliana na CCM, kuongoza kwa kupokezana kamati mbili za kudumu za uchumi, elimu na afya na ile ya mipango miji, mazingira na ujenzi ambao kikao kiliwachagua John Bayo (Chadema) na Ismail Katamboi (CCM), Chadema wamepewa unaibu meya kwa kipindi cha miaka minne, TLP, nao watachukuwa unaibu meya kwa kipindi cha mwaka mmoja. Meya wa Manispaa ya Arusha yeye apokezani na yoyote mpaka miaka mitanoKumbe huoni aliyepewa pipi ni nani, CCM wamechiwa umeya huku vitengo nyeti vya uchumi, Elimu na fedha vikienda upinzani kumbuka vilevile naibu meya anatoka CDM kwa hiyo ukiangalia vizuri ni kama baraza linaongozwa na CDM.
Ile ni suala jingine. Itaendelea. Usichanganye mambo kama Spika wetu Makinda na maswali ya akina Tundu na Esther!Sasa na vipi kuhusu ile kesi pale mahakamani Arusha je bado itaendelea?
Hivi tatizo la Kigoma ndio likuwa kama tatizo la Arusha? unaniona mbishi lakini ata Chadema wenzako sidhani kama wamefurahia ili jambo la kugawana madaraka mezani
Ulitaka CDM waingie msituni ili wafe wengi watu wengine mnaudhi sana.Inanisikitisha, Inanikera na Inaniudhi hasa ninapowakumbuka viongozi wa Cdm walipokuwa wakihamasisha watu wajitokeze kwenye maandamano bila kujali Itakadi za vyama vyao, Dini zao, Kabila zao, Rangi zao na Jinsia zao....kupinga matokeo ya Uchaguzi wa meya wa Arusha. Maskini Wakazi wa Arusha walioacha Shughuli zao na kuitikia mwito huo ambao ulipelekea kupoteza maisha ya watu 3 na wengine kupoteza viungo vyao vya mwili. Leo hii tunashuhudia makubaliano ya kugawana madaraka ya jiji la Arusha yasiyoshirikisha
Hivi maandamano yale yote yalilenga kugawana madaraka kati ya CDM na CCM??!! na sio kurudia Uchaguzi wa meya. Basi kama ndo hivyo we hv a long journey to approach a radical change.Ulitaka CDM waingie msituni ili wafe wengi watu wengine mnaudhi sana.
Kijana Crashwise nakupongeza mkuu;haya mazungumzo yamefanyika lini na wapi mbona nimemwona Mbowe bungeni leo au walifanya over the weekend?
Wewe ni Kibaraka, umetumwa kuleta hoja zisizo na mashiko na zimekaa ki Nape Nape, huenda kakutuma Nape. Vua hayo magwanda kwani wanajeshi sio waoga kama wewe, weka avatar nyingine. Kila mgogoro lazima uwe na suluhu, unatakiwa kuwapongeza CDM kwa kuwafanya Magamba wakubali kukaa mezani kwa mazungumzo. Mjinga wewe huwa unaufagilia sana mwafaka wa Zenji na unajua walikufa watu 40 na wengine wakakimbilia Mombasa kwa mabasha. Marekani inafanya mazungumzo na Taliban kule Afghani lakini wewe unashangaa CDM na Magamba, kweli nape amewaloga nyie jamaa.Kuna mtu aliwai kusema hivi hapa jamvini Truth is a daughter of Time. Kweli muda umefika na tunaona dhamira ya kweli ya viongozi wa Cdm ilikuwa ni ipi! Haramu ni haramu tu kamwe haiwezi kuwa takatifu. sasa nashangaa viongozi hawa CDM waliouita uchaguzi haramu na kumkataa mshindi wake, leo wanamkubali kwa kupewa baadhi ya sehemu za uongozi wa jiji!! huu ni uhuni unaofanyika kwa kafara ya watu wa Arusha. Freedom will never come on basis of this wrong decision onto our leaders.
Wewe unachoona ni outcomes process iliyotoa hizo outcomes huioni.Hivi maandamano yale yote yalilenga kugawana madaraka kati ya CDM na CCM??!! na sio kurudia Uchaguzi wa meya. Basi kama ndo hivyo we hv a long journey to approach a radical change.
Ahahahaha! Mkuu, hii ni ndoa tu kubali kataa, ata kwenye Mwafaka wenu hakuna siku Chadema wataongoza Umeya wa Manispaa ya Arusha, wamepewa wao na TLP, wapokezane unaibu meya wanapokezana hata katiba ya Tanzania haitambui hivyo vyeo vya kupokezana, kwa hiyo walichofanya CUF na CCM huko Zanzibar ndicho walichofanya CCM na Chadema ArushaHatuwezi kufananisha kwani Zanzibar sio Manispaa. Pili, Hakuna siku Maalim Seif atabadilishana madaraka na Rais Shein. Tatu, KATIBA ya JMT wala haitambui uwepo wa Maalim Seif.
Feedback atleast wewe huko huru kwa mawazo sio kama KIMIILDIZO yeye amekaririshwa yeyote anayekosoa CDM katumwa na NAPE.Outcome gani iliyofikiwa? je maandamano yote yale lengo lilikuwa ni hili la sasa?Wewe unachoona ni outcomes process iliyotoa hizo outcomes huioni.