winchester
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 285
- 336
Jaribu kutafuta wale mafundi wa dstv waliset dish lako vizuri, shida inaanza ikiwa wakati wanaset dish kama hawakuweka mambo ya signal na quality ikawa vizuri basi ikija mvua kidogo tu itasumbua, mimi tangia ni install dstv na ni nimehama zaidi ya mara tatu sijawahi kupata hilo tatizo, huwa mara zote natumia mafundi wa dstv