Mustakabali wa IPP Media baada ya Reginald Mengi kutuaga

Hiyo ni tofauti sana siku hizi. Hata Mzee marehemu Reginald Mengi anaitambua power na utendaji wa Regina. Usipime.
Hizi ni mentality za wachaga wasioenda shule, lakini kwa muelewa na kama ana exposure hana haja ya kuishi ki zama za mawe namna unavyowaza mkuu...
 
Safi sana. Waliokuwa wanasema MARA Regina MARA vile. Mnamuona? Huyu ni kifaa kingine. Halafu OPP inaendeshwa kitaalam hivyo kama Mwenyekiti hayuoo haimaanishi itakufa. Pia kwa taarifa ni kwamba marehemu Mengi kwa zaidi ya miaka 2 hajafanya kazi hata ofisini alikuwa haendi kule Hydery Plaza. Je kampuni tanzu ilitetereka? Hapana. Huyu alijipanga na kampuni tanzu yake hii itakuwa the living one.
Ndio maana mimi huko juu nilisema wabongo wengi tunafananisha kampuni na biashara zetu za mihogo au kibanda cha kuuza cd za bongo movie na sultana,siku ukifa nacho kina kufa.... business kubwa zinakua na Succession plan ya muda mrefu,kukiwa na hizo mambo kampuni inaishi muda mrefu,...!
 
Nakuuliza mkuu hapa nchini kuna kampuni gani kubwa inayolingana na IPP ambayo inamilikwa na mswahili na bosi wake akafariki?

Kwenye bandiko lako kuhusu kampuni hukugusia ukubwa kampuni. Anyway; nitafutie kampuni yenye ukubwa wa IPP ambayo mwanzilishi wake aliiacha ikiwa na angalau kwenye level iliyopo leo.
 
Hizi ni mentality za wachaga wasioenda shule, lakini kwa muelewa na kama ana exposure hana haja ya kuishi ki zama za mawe namna unavyowaza mkuu...
Sure na marehemu alishaona intelligence na utendaji wa Regina. Kwanza she is very intelligent kama wazazi wake na alimsomesha Uingereza Mahesabu na anatambulika kimataifa like her father kimahesabu. Kingine yuko reserved sana na anapiga kazi tu yule.
 
Ndio maana mimi huko juu nilisema wabongo wengi tunafananisha kampuni na biashara zetu za mihogo au kibanda cha kuuza cd za bongo movie na sultana,siku ukifa nacho kina kufa.... business kubwa zinakua na Succession plan ya muda mrefu,kukiwa na hizo mambo kampuni inaishi muda mrefu,...!
Sure. Ukiangalia hiyo Structure ya IPP utaona jinsi alijipanga. Ni kiboko
 
Sure na marehemu alishaona intelligence na utendaji wa Regina. Kwanza she is very intelligent kama wazazi wake na alimsomesha Uingereza Mahesabu na anatambulika kimataifa like her father kimahesabu. Kingine yuko reserved sana na anapiga kazi tu yule.
.....Hivi ni Miss ama Mrs??
 
Nasikia ana B.A in Mathematics sio mchezo

Ni Miss bado. Mpaka mzee Mengi anafariki hakuwahi kuozesha mtoto hata mmoja awe wa kike au wa kiume. Kuhusu wajukuu wa watoto wa kiume sielewei hata ni siri yao ila kwa binti Regina mtoto hana. Ila wote wana umri mkubwa hasa Regina. Abdiel bado ana ujana japo kwa umri wake ungekuta ameshaoa !!!!
 
Nasikia ana B.A in Mathematics sio mchezo
Plus Accounting na ana cheti cha Kimataifa cha Accounts. Kama sikosei alikisomea Uingereza. Sema ukweli familia ya mzee ilikuwa so reserved hutawasikia kwa mashauzi ila kwa siku hizi za karibuni ambazo mafia walikuwa wana create scene ilibidi publicity ya nguvu ifanyike ili kuweka mapazia sawa.
 
Mimi hajaniaga au ulimaanisha kutuacha?
Nashauri IPP Media iendelee kuwa chini ya usimamizi wa Joyce Mhaville naamini amekuwa akiipatia na ataipatia.

Kwa upande wa kusimamia empire ya IPP group of companies nadhani mwanae wa kike Regina anaweza kusimamia hii empire.

IPP Companies ni kampuni ya kizawa ambayo imewanufaisha sana watanzania...hatutamani kusikia inadorora baada ya Mzee wetu kutangulia.
 
Screenshot_2019-05-03-10-17-11.png
huyo regina hayupo hata kwenye board of director's
 
Wabongo bana,Mali za wengine na hazituhusu tunaanza kupangiana jinsi ya kuziendesha

Back
Top Bottom