Mustakabali wa IPP Media baada ya Reginald Mengi kutuaga

Mustakabali wa IPP Media baada ya Reginald Mengi kutuaga

Usiishi kimazoea mzee....kampuni zinazokufa ni hizo za kiswahili Swahili sio kampuni zinazoendeshwa na watu smart....Mengi ni muasisi wa IPP Group of companies,ambayo ndani kuna makampuni mengi with separate MDs,na mafanikio yake yanatokana na mambo mengi,unaajiri watu talented ambao wanakuletea hayo mafanikio,wewe unakua mtu wa ku watch watch pembeni,kuna baadhi ya decision hata mzee Mengi huenda alikua hafanyi,...wewe unaweza kuwa unafanya kazi kiwanda cha Bonite(kile cha coca cola) cha mzee Mengi na ukafukuzwa kazi wala mzee Mengi hajui japo ni mmiliki,so hizo ni kampuni sio sawa na duka lako la Mangi mtaani ukienda kwenye msiba Tanga nalo linafungwa,ndio maana jamaa kakwambia, company ina separate legal existence from the owner, kampuni inabidi iendelee kuishi forever irrespective of death, insanity,or insolvency of the owner n.k.....watanzania tusiishie kusoma umbeya Instagram sometime jipe muda wa kusoma na kujifunza vitu ambavyo huvijui,basi tujitahidi hata kwenye subscription zetu you tube tu follow hata online courses tutorials za vitu vya maana,sio kila muda upo tu na Diamond na Zari au Wema, let's change,...ndio maana tunabisha hata fact....R.I.P Mzee Mengi
Well said comrade
 
Nashauri IPP Media iendelee kuwa chini ya usimamizi wa Joyce Mhaville naamini amekuwa akiipatia na ataipatia.


Bila kuwepo mtu wa kumwogopa na kumnyenyekea sidhani kama ita survive kama vile angekuwepo
 
Plus Accounting na ana cheti cha Kimataifa cha Accounts. Kama sikosei alikisomea Uingereza. Sema ukweli familia ya mzee ilikuwa so reserved hutawasikia kwa mashauzi ila kwa siku hizi za karibuni ambazo mafia walikuwa wana create scene ilibidi publicity ya nguvu ifanyike ili kuweka mapazia sawa.
Una maana gani unaposema cheti cha kimataifa?
 
Una maana gani unaposema cheti cha kimataifa?
Mimi siyo mtaalam wa Accounts ila huwa wana international standards zao either kwa kusoma or somewhat. Naomba wataalam watusaidie hapa. Nakumbuka wakati anapaya hicho cheti ilikuwa ni news kwa vyombo vya habari vya IPP miaka Mingi ya nyuma.
 
Wanaume tumekubaliana katika kikao cha asubuhi Jacky aachwe amalize EDA mambo mengine yatafuata.
Na baada ya hapo tugawane kwanza majukumu ya kulea watoto yeye aachwe kwanza
 
Ukikomaa na huo mtazamo utazaa watoto wa kike tena warembo na utakuwa na mali nyingi. Ukizeeka rudi utwambie umerithishaje.
Jamaa atakuwa bado Ana yale mawazo ya babu zetu ya kutoamini watoto wakike haliyakuwa watoto wa kike ni watoto makini sana na wana uchungu sana na mali ZA wazazi wao.
 
Niuzie hilo jag mkubwa nina kazi nalo
Jamaa atakuwa bado Ana yale mawazo ya babu zetu ya kutoamini watoto wakike haliyakuwa watoto wa kike ni watoto makini sana na wana uchungu sana na mali ZA wazazi wao.
 
Ile ni kampuni babu....kuna kitu kinaitwa perpetual succession.....hakuna wasi wasi hapo...kampuni inasimamiwa na ma director....mwenye share nyingi ndio muamuzi wa mwisho
Kwani shareholders wa IPP ni akina nani?
 
Back
Top Bottom