wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,494
- 29,281
Tatizo ni ndugu mkubwa wataingilia kwenye masilahi kumbuka wale ni wachaga mzee hata mbundu zitatumika
Nashauri IPP Media iendelee kuwa chini ya usimamizi wa Joyce Mhaville naamini amekuwa akiipatia na ataipatia...kwa upande wa kusimamia empire ya IPP group of companies nadhani mwanae wa kike Regina anaweza kusimamia hii empire...IPP Companies ni kampuni ya kizawa ambayo imewanufaisha sana watanzania...hatutamani kusikia inadorora baada ya Mzee wetu kutangulia.