Mustakabali wa IPP Media baada ya Reginald Mengi kutuaga

Mustakabali wa IPP Media baada ya Reginald Mengi kutuaga

Unapaswa kujua hizo biashara zilikuwa katika level zipi. Je zilikuwa corporation? Maana kampuni ambayo ni corporation inaendelea kuishi hata mmiliki akifa tafauti na proprietorship au partnership

Sasa nimeelewa mis-conception uliyonayo. Kwa taarifa yako hata partnership yaweza kuwa corporate entity. Kuwa corporation haku-guarantee wellbeing ya entity na usichojua ni kuwa IPP ni family business na shares zake ni transferable by bequeath.
 
Nakutajia zifuatazo; Scandinavia Express; Bobby Soap Industries, Ladwa, niendelee? Sasa wewe nitajie moja tu ambayo bado inafanya kazi baada ya muasisi wake kufariki. Unaemsema hata akiwa hai kuna kampuni zake nyingi tu zinapumlia mashine!
Rafiki Scandinavia kweli unalinganisha na kampuni kubwa kama IPP?kwaza angalia muundo wa kampuni ya IPP.kuna mdau mmoja kakuwekea muundo ulivyo.Scandinavia hata ulikuwa unaweza kununua basi lako unamuomba kutumia jina kuna percent mnamlipa ukiona biashara sio zuri unaondoa basi lako.
 
Unapaswa kujua hizo biashara zilikuwa katika level zipi. Je zilikuwa corporation? Maana kampuni ambayo ni corporation inaendelea kuishi hata mmiliki akifa tafauti na proprietorship au partnership
Acha kubishana na huyo jamaa.
 
Rafiki Scandinavia kweli unalinganisha na kampuni kubwa kama IPP?kwaza angalia muundo wa kampuni ya IPP.kuna mdau mmoja kakuwekea muundo ulivyo.Scandinavia hata ulikuwa unaweza kununua basi lako unamuomba kutumia jina kuna percent mnamlipa ukiona biashara sio zuri unaondoa basi lako.

Are you willing to bet kuwa IPP itakuwa hivi ilivyo another 2 years? Tumtafute Maxence Melo awe shahidi yetu na wote tu-reveal our own identities kwake tu?
 
Naomba na wewe ukubaliane nilichoandika kwenye post #145
 
Are you willing to bet kuwa IPP itakuwa hivi ilivyo another 2 years? Tumtafute Maxence Melo awe shahidi yetu na wote tu-reveal our own identities kwake tu?
Hii kampuni watu wakiamua iendelee itaendelea wakitaka ife itakufa.
 
Nashauri IPP Media iendelee kuwa chini ya usimamizi wa Joyce Mhaville naamini amekuwa akiipatia na ataipatia.

Kwa upande wa kusimamia empire ya IPP group of companies nadhani mwanae wa kike Regina anaweza kusimamia hii empire.

IPP Companies ni kampuni ya kizawa ambayo imewanufaisha sana watanzania...hatutamani kusikia inadorora baada ya Mzee wetu kutangulia.
Haya makampuni huwa hayafagi....yanaendeshwa kwa shares.....

Ondoa wasiwasi....sema naona wale madogo twins baada ya miaka 30 ijayo wanakuwa ma director!!

Kuzaliwa na msure mpambanaji bravo sana, yaani unatoka familia mdingi hata baskeli hana aiseee!!!

Kama ingekuwa kuchagua kuzaliwa kuna watu wangekosa kizazi.
 
Eda ya nini hajafiwa na mume kafiwa na baba mzazi sidhani kama wanakaaga eda
Wanaume tumekubaliana katika kikao cha asubuhi Jacky aachwe amalize EDA mambo mengine yatafuata.
 
Haya makampuni huwa hayafagi....yanaendeshwa kwa shares.....

Ondoa wasiwasi....sema naona wale madogo twins baada ya miaka 30 ijayo wanakuwa ma director!!

Kuzaliwa na msure mpambanaji bravo sana, yaani unatoka familia mdingi hata baskeli hana aiseee!!!

Kama ingekuwa kuchagua kuzaliwa kuna watu wangekosa kizazi.
Inabidi wanaowalea wawalee ktk mrengo huo wa biashara ili lengo litimie...
 
Huu msiba ni mzito sana. Kwanza kwenye kikao cha kina Lowasa. Msuya. Otuoh. Shirima ataingiaje.
Kamati zitashikwa na vigogo wa kisiasa na matajiri tu. Hawatapenda kusikia harufu ya jasho au soksi.
Msiba rais anatoa neno wafikiri mchezo???
sio raisi tu ubalozi wa Marekani
 
Wa TZ kweli kiboko. Mtu hana Hata kuku .mmoja wa kienyeji kama chanzo cha kipato ila anakimbilia kuishauri familia ya Mengi jinsi ya kuiendesha IPP!
 
Usiishi kimazoea mzee....kampuni zinazokufa ni hizo za kiswahili Swahili sio kampuni zinazoendeshwa na watu smart....Mengi ni muasisi wa IPP Group of companies,ambayo ndani kuna makampuni mengi with separate MDs,na mafanikio yake yanatokana na mambo mengi,unaajiri watu talented ambao wanakuletea hayo mafanikio,wewe unakua mtu wa ku watch watch pembeni,kuna baadhi ya decision hata mzee Mengi huenda alikua hafanyi,...wewe unaweza kuwa unafanya kazi kiwanda cha Bonite(kile cha coca cola) cha mzee Mengi na ukafukuzwa kazi wala mzee Mengi hajui japo ni mmiliki,so hizo ni kampuni sio sawa na duka lako la Mangi mtaani ukienda kwenye msiba Tanga nalo linafungwa,ndio maana jamaa kakwambia, company ina separate legal existence from the owner, kampuni inabidi iendelee kuishi forever irrespective of death, insanity,or insolvency of the owner n.k.....watanzania tusiishie kusoma umbeya Instagram sometime jipe muda wa kusoma na kujifunza vitu ambavyo huvijui,basi tujitahidi hata kwenye subscription zetu you tube tu follow hata online courses tutorials za vitu vya maana,sio kila muda upo tu na Diamond na Zari au Wema, let's change,...ndio maana tunabisha hata fact....R.I.P Mzee Mengi
Huu ndo ukweli unaotakiwa.Tujifunze kusoma mambo muhimu ili kujua zaidi.R.I.P MENGI
 
Tufanyeje ili mali zetu zisipotee mara tuendapo mavumbini?
 
Rafiki Scandinavia kweli unalinganisha na kampuni kubwa kama IPP?kwaza angalia muundo wa kampuni ya IPP.kuna mdau mmoja kakuwekea muundo ulivyo.Scandinavia hata ulikuwa unaweza kununua basi lako unamuomba kutumia jina kuna percent mnamlipa ukiona biashara sio zuri unaondoa basi lako.
Sawa na kulinganisha TIA na UDOM maana TIA kwa Udom sawa na robo ya college moja ya udom haifikii | IPP ndio kampuni ya kwanza kubwa mmiliki kufa Tz hakuna nyengine kwenye historia.
 
Back
Top Bottom