Exorcist
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 1,235
- 1,274
Jibu hoja, ushuzi wao haunuki hadi waloshindwe jasho la steve?Wewe unavaa chupi ya kike ya mtumba
Jibu hoja, ushuzi wao haunuki hadi waloshindwe jasho la steve?Wewe unavaa chupi ya kike ya mtumba
1. National fidelity ya NderingoNitajie kampuni iliyoanzishwa na mswahili (awe mchaga au kabila lolote jingine ngozi nyeusi) mwenyewe akatwaliwa na imebaki ina-operate at least kwa kiwango alichokiacha mwanzilishi wake.
1. National fidelity ya Nderingo
2. Simba mtoto bus service ya Tanga
Naona umeamua kuweka ka video ka goli la Messi bhna dah... Watz bhna
Mali zote ni za mke wake, hahah, yeye ndiye ataamua.
NGORIKA 1970 LTDMarenga investment hapa kiboroloni pia.Mwambie
D&I company ya mzee Rwekaza,Mazengo company ya kina Daudi Semiono, Mohamed Enterprises ya Kina Mohamedi Dewji baada ya baba yake kujiondoa kwenye utendaji si ipo au nayo imekufa?,mifano michache,...chief acha kukariri,jifunze soma,elimika,hatuongei bila fact,...tunajua na tupo kwenye hayo mambo for more than 8 years now,...sio kila kitu tuweke comment!,tofautisha compuni na mradi wa maparachichi yanayozungushwa kwenye ungo!Yooote hayo uliyoyaandika hayajajibu swali langu. Jibu swali hili:
Ni kampuni gani iliyoanzishwa na mswahili ambayo hadi leo inaendeshwa na warithi wake na ambayo leo hii inaendeshwa kwa angalau kiwango kilichokuwa wakati mwanzilishi anatwaliwa toka hapa duniani?
hivi clouds hii ya kina kusaga si naskia kama waliachiwa na baba yao?Yooote hayo uliyoyaandika hayajajibu swali langu. Jibu swali hili:
Ni kampuni gani iliyoanzishwa na mswahili ambayo hadi leo inaendeshwa na warithi wake na ambayo leo hii inaendeshwa kwa angalau kiwango kilichokuwa wakati mwanzilishi anatwaliwa toka hapa duniani?
Baba yake mohamed dewji yupo hai na ndie mwenyekiti wa bodi, mo ni mkurugenzi mtendaji tu .D&I company ya mzee Rwekaza,Mazengo company ya kina Daudi Semiono, Mohamed Enterprises ya Kina Mohamedi Dewji baada ya baba yake kufa si ipo au nayo imekufa?,mifano michache,...chief acha kukariri,jifunze soma,elimika,hatuongei bila fact,...tunajua na tupo kwenye hayo mambo for more than 8 years now,...sio kila kitu tuweke comment!,tofautisha compuni na mradi wa maparachichi yanayozungushwa kwenye ungo!
HahahahahaMasanja katolewa povu [emoji23]View attachment 1086330
Huu ujinga ndiyo unao fanya makampuni wanayo miliki waafrica mwenye kampuni akifariki dunia na kampuni inakufa.... Watu wamesha anza kugawanya mali humu jf....Hizi ni tabia za kiswahili swahili tena kwa mfuga mbwa huko, kujadili mirathi hata marehemu hajazikwa! Poor You all!
Nasubiri piaYooote hayo uliyoyaandika hayajajibu swali langu. Jibu swali hili:
Ni kampuni gani iliyoanzishwa na mswahili ambayo hadi leo inaendeshwa na warithi wake na ambayo leo hii inaendeshwa kwa angalau kiwango kilichokuwa wakati mwanzilishi anatwaliwa toka hapa duniani?
Watu mna mambo Nyie !Mwenyekiti wa rambi rambi ndio anaingia msibaniView attachment 1086198View attachment 1086199
Hiyo ni tofauti sana siku hizi. Hata Mzee marehemu Reginald Mengi anaitambua power na utendaji wa Regina. Usipime.hakuna mchaga anaeacha mali kwa mtoto wa kike. mtoto wa kike anaolewa na mpaka jina la ukoo anabadilisha na kutumia la mumewe, kwa hiyo automatical mali zinakuwa chini ya mume wake
Safi sana. Waliokuwa wanasema MARA Regina MARA vile. Mnamuona? Huyu ni kifaa kingine. Halafu OPP inaendeshwa kitaalam hivyo kama Mwenyekiti hayuoo haimaanishi itakufa. Pia kwa taarifa ni kwamba marehemu Mengi kwa zaidi ya miaka 2 hajafanya kazi hata ofisini alikuwa haendi kule Hydery Plaza. Je kampuni tanzu ilitetereka? Hapana. Huyu alijipanga na kampuni tanzu yake hii itakuwa the living one.Haya jedwali hilo la kuonyesha mpangilio wa uongozi Ipp..View attachment 1086396
Nakuuliza mkuu hapa nchini kuna kampuni gani kubwa inayolingana na IPP ambayo inamilikwa na mswahili na bosi wake akafariki?Yooote hayo uliyoyaandika hayajajibu swali langu. Jibu swali hili:
Ni kampuni gani iliyoanzishwa na mswahili ambayo hadi leo inaendeshwa na warithi wake na ambayo leo hii inaendeshwa kwa angalau kiwango kilichokuwa wakati mwanzilishi anatwaliwa toka hapa duniani?