Mustakabali wa IPP Media baada ya Reginald Mengi kutuaga

Mustakabali wa IPP Media baada ya Reginald Mengi kutuaga

Sawa na kulinganisha TIA na UDOM maana TIA kwa Udom sawa na robo ya college moja ya udom haifikii | IPP ndio kampuni ya kwanza kubwa mmiliki kufa Tz hakuna nyengine kwenye historia.
Ndio mkuu kwa hiyo tusubiri CEO aliyepo atakavyoiongoza mm Nina imani kampuni hii IPP itaendelea kuwepo
 
Happy New Year

Mkuu , unaonekana unapenda sana choko choko za kuongelewa hii familia eeh ? Mara ya pili unaufufua huu uzi watu wanakuchunia😂😂😂

Tafuta kazi ufanye mkuu, waache wapumzike kwenye midomo ya waja
 
Mkuu , unaonekana unapenda sana choko choko za kuongelewa hii familia eeh ? Mara ya pili unaufufua huu uzi watu wanakuchunia😂😂😂

Tafuta kazi ufanye mkuu, waache wapumzike kwenye midomo ya waja
Acha uswahili kama ndugu yako wa Kigoma town. 2020 atafute kazi nyingine. Wana Kigoma wanaenda na Chibu 2020-2055
 
Back
Top Bottom