Mustakabali wa IPP Media baada ya Reginald Mengi kutuaga

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Messages
4,674
Points
2,000

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2014
4,674 2,000
Nashauri IPP Media iendelee kuwa chini ya usimamizi wa Joyce Mhaville naamini amekuwa akiipatia na ataipatia.

Kwa upande wa kusimamia empire ya IPP group of companies nadhani mwanae wa kike Regina anaweza kusimamia hii empire.

IPP Companies ni kampuni ya kizawa ambayo imewanufaisha sana watanzania...hatutamani kusikia inadorora baada ya Mzee wetu kutangulia.
#kwaheriMengi*
#IcanImustIwill
 

dolevaby

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Messages
10,429
Points
2,000

dolevaby

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2013
10,429 2,000
Nashauri IPP Media iendelee kuwa chini ya usimamizi wa Joyce Mhaville naamini amekuwa akiipatia na ataipatia...kwa upande wa kusimamia empire ya IPP group of companies nadhani mwanae wa kike Regina anaweza kusimamia hii empire...IPP Companies ni kampuni ya kizawa ambayo imewanufaisha sana watanzania...hatutamani kusikia inadorora baada ya Mzee wetu kutangulia.
Nayeye akifa?
 

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
9,588
Points
2,000

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
9,588 2,000
Ile ni kampuni babu....kuna kitu kinaitwa perpetual succession.....hakuna wasi wasi hapo...kampuni inasimamiwa na ma director....mwenye share nyingi ndio muamuzi wa mwisho
Vipi alieondoka huyu hakua na share nyingi? Kama alikua anazi share nyingi warithi wake watazichukua na kuendeleza pale walipoishia..
 

shamimuodd

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Messages
502
Points
1,000

shamimuodd

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2019
502 1,000
Nashauri IPP Media iendelee kuwa chini ya usimamizi wa Joyce Mhaville naamini amekuwa akiipatia na ataipatia...kwa upande wa kusimamia empire ya IPP group of companies nadhani mwanae wa kike Regina anaweza kusimamia hii empire...IPP Companies ni kampuni ya kizawa ambayo imewanufaisha sana watanzania...hatutamani kusikia inadorora baada ya Mzee wetu kutangulia.
Inategemea na corporate governance ilivyo IPP. Mfano ni nani mwenye umiliki mkubwa wa hayo makampuni na je mzee alimuandika nani mrithi wa hayo makampuni? Je zile love davyy za bibie zilimaanisha kilikuwa kipindi cha kuandika wosia/urithi? Hili ni suala gumu kulizungumzia kwa sasa
 

robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2015
Messages
2,307
Points
2,000

robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2015
2,307 2,000
acha kukariri mkuu. umeshaambiwa Joyce Mhavile ni namba nyingine katika utendaji, ebu anzia hapo basi kunanga uwezo wa mwanamke mqana hata nikutoa nje ya hapo haitaelewa maana uelewa wako umefumbwa na mitazamo ya kizamani
Apewe wa kiume. Unampaje mali mtoto wa kike japo watoto wake hawana shobo kabisa mjini.
 

Forum statistics

Threads 1,380,818
Members 525,890
Posts 33,780,710
Top