Mustakabali wa IPP Media baada ya Reginald Mengi kutuaga

Mustakabali wa IPP Media baada ya Reginald Mengi kutuaga

Kuondoa ugumu IPP ibadili shwe kutoka pvt iwe PLC wananchi wanunuw hisa
 
Haya jedwali hilo la kuonyesha mpangilio wa uongozi Ipp..
IMG-20190502-WA0108.jpeg
 
Usiishi kimazoea mzee....kampuni zinazokufa ni hizo za kiswahili Swahili sio kampuni zinazoendeshwa na watu smart....Mengi ni muasisi wa IPP Group of companies,ambayo ndani kuna makampuni mengi with separate MDs,na mafanikio yake yanatokana na mambo mengi,unaajiri watu talented ambao wanakuletea hayo mafanikio,wewe unakua mtu wa ku watch watch pembeni,kuna baadhi ya decision hata mzee Mengi huenda alikua hafanyi,...wewe unaweza kuwa unafanya kazi kiwanda cha Bonite(kile cha coca cola) cha mzee Mengi na ukafukuzwa kazi wala mzee Mengi hajui japo ni mmiliki,so hizo ni kampuni sio sawa na duka lako la Mangi mtaani ukienda kwenye msiba Tanga nalo linafungwa,ndio maana jamaa kakwambia, company ina separate legal existence from the owner, kampuni inabidi iendelee kuishi forever irrespective of death, insanity, insolvency of the owner,...watanzania tusiishie kusoma umbeya Instagram sometime jipe muda wa kusoma na kujifunza vitu ambavyo huvijui,basi tujitahidi hata kwenye subscription zetu you tube tu follow hata online courses tutorials za vitu vya maana,sio kila muda upo tu na Diamond na Zari au Wema, let's change,...ndio maana tunabisha hata fact....R.I.P Mzee Mengi

Yooote hayo uliyoyaandika hayajajibu swali langu. Jibu swali hili:

Ni kampuni gani iliyoanzishwa na mswahili ambayo hadi leo inaendeshwa na warithi wake na ambayo leo hii inaendeshwa kwa angalau kiwango kilichokuwa wakati mwanzilishi anatwaliwa toka hapa duniani?
 
Nashauri IPP Media iendelee kuwa chini ya usimamizi wa Joyce Mhaville naamini amekuwa akiipatia na ataipatia.

Kwa upande wa kusimamia empire ya IPP group of companies nadhani mwanae wa kike Regina anaweza kusimamia hii empire.

IPP Companies ni kampuni ya kizawa ambayo imewanufaisha sana watanzania...hatutamani kusikia inadorora baada ya Mzee wetu kutangulia.
Mali zote ni za mke wake, hahah, yeye ndiye ataamua.
 
Inategemea na corporate governance ilivyo IPP. Mfano ni nani mwenye umiliki mkubwa wa hayo makampuni na je mzee alimuandika nani mrithi wa hayo makampuni? Je zile love davyy za bibie zilimaanisha kilikuwa kipindi cha kuandika wosia/urithi? Hili ni suala gumu kulizungumzia kwa sasa
Inatia wasiwasi, kufanya mainterview kuonyesha upendo ghafla tu?
 
Huu msiba ni mzito sana. Kwanza kwenye kikao cha kina Lowasa. Msuya. Otuoh. Shirima ataingiaje.
Kamati zitashikwa na vigogo wa kisiasa na matajiri tu. Hawatapenda kusikia harufu ya jasho au soksi.
Msiba rais anatoa neno wafikiri mchezo???
Sasa acha uboya wewe, hao wote wakijamba ushuzi wao hunukia kama pafyumu?, ije kuwashinda harufu ya jasho la Steve? Acheni hizo bhana..
 
Saivi Jack ni mjane ,yupo sokoni mwanaume yoyote ukifanikiwa kumuwini unarithi mali za Mengi kirahis rahisi kabisa .




Hayo ni mawazo ya baadhi ya wanaume .Tukumbuke andiko hili .

1 Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
Ayubu 14:1

2 Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.
Ayubu 14:2


Ruwa oryu mtonga nakusarye naiwekye ngoo na mrima opfo Papa handu echa .Ulerunda ukarunda shindo shichaa na shifoi iha uyanenyi .Wana wapfo, mbuya yapfo yotse , warundi wafpo wotse , Watanzania wotse na wauyana u wotse lui njia imwi . Tutakukumbuka daima. Apumzike kwa amani alikuwa ni Mangyi kweli kweli na si mchili wala mleu.


Mimi mtoto wa Mangi kyimelyue ,Ndepaiso Lemule.
Mmeshachelewa, tetesi za Mange zinadai eti kuna huseni wa elements sijui kashafanya booking
 
Mmeshachelewa, tetesi za Mange zinadai eti kuna huseni wa elements sijui kashafanya booking


Kafanya booking ya nini Mkuu,,kama ni pupuch ataimiliki tu ,,lakini kwa masuala ya mali familia hasa watoto wa mke mkubwa wakishirikiana naye ndo wataamua mustakabali wa mali za mzee ,,Sidhan kama mali atachukua zote maana aliolewa akazikuta hakuna efforts yake kubwa yoyote hapo.

Kikubwa hekima ya Mungu itumike sana.
 
Marehemu Dk. Mengi alikuwa msomi bora na aliweka system nzuri sana kwenye makampuni yake. Yalikuwa "yanajimiliki yenyewe" yanampelekea tu ripoti. Alikuwa na wakurugenzi na mameneja kila kampuni na wafanyakazi ambao wana uwezo wa kutimiza majukumu yao bila shida. Ndio maana tulikuwa tunamwona Mzee akiwa na uhuru wa kufanya mambo mengine mengi ya kizalendo (k.m.kutembelea walemavu, kuzungumza na viongozi wa kimataifa, kutoa misaada kwa kina mama n.k.) badala ya kuwa ofisini akisimamia mambo ya ofisi yeye mwenyewe. Kwa hivyo, hata kama sasa hayupo, kazi zitaendelea tu. Mradi hao watakaosimamia shughuli nzima wasiwaondoe waliokuwa wanaendesha hizo kampuni bila sababu maalum.
 
Back
Top Bottom