Hawalali hawasinziiiKazi wanajipa wenyewe kwa kuzuia mijadala juu ya katiba mpya na kutokana na uonevu waufanyao dhidi yao na pia kwa kukosa weledi kisa kukosa kujiamini kwani wanafahamu wamefikaje hapo walipo.
Ligaidi na comentiKanda ya Ziwa Hasa Musoma na Tarime acheni Uchawa na Upimbi! Huko CHADEMA nyie ni watumwa tuuuu mammmae zenu. Mshaaaambiwa kile Chama lazima Mwenyekiti atoke kanda ya upendeleo ya KKT. Hivi hata Chacha Wangwe walichomfanyia akina MALYA na MBOWE hakiwaumi?????? Kuweni na Utu na kujua historia ya hizi Taasisi vinginevyo mtaendelea kutumika kama toilet paper amkeniiiii.
Tangu 2008 Mhe.Wangwe afanyiwe ujinga wa dhahiri kisa Uenyekiti wa Chama sina imani na hao watu.Ligaidi na comenti
t yake🤣🤣
We gaidi tu kalale huko.Tangu 2008 Mhe.Wangwe afanyiwe ujinga wa dhahiri kisa Uenyekiti wa Chama sina imani na hao watu.
Wewe si mwana Cdm. Onyesha copy ya changizo yako nikurudishie fedha yako sasa hivi .chadema mlichangisha michango ya hili kongamano,
TUNARUDISHIWAJE MICHANGO YETU?AU NDIYE IMETOKA HIYO
Astaghifirullah!Kuwa na breki maalim!Dikteta lijinga linalembua mimacho utafikiri liko ngomani
Huna akili. Ajali itokee barabarani usingizie Mbowe ?!. Kwani baada ya ajali hiyo. Ajali hazitokei na kuua watu ?!.Kanda ya Ziwa Hasa Musoma na Tarime acheni Uchawa na Upimbi! Huko CHADEMA nyie ni watumwa tuuuu mammmae zenu. Mshaaaambiwa kile Chama lazima Mwenyekiti atoke kanda ya upendeleo ya KKT. Hivi hata Chacha Wangwe walichomfanyia akina MALYA na MBOWE hakiwaumi?????? Kuweni na Utu na kujua historia ya hizi Taasisi vinginevyo mtaendelea kutumika kama toilet paper amkeniiiii.
Kama wao wanao ubaguzi wa kikanda unaopelekea akina sgang, ni upuuzi na ubinafsi wao na wasiwasingizie wengine.Ligaidi na comenti
t yake🤣🤣
Kufauwongo wewe endelea kufakufa,ukiamka huenda ukaeleweka.Hapa inatakiwa katiba mpya , mengine ni porojo tu.Mama alishasema, mikutano ya ndani ni ile iliyomo katika katiba zenu za vyama. Hamukumuelewa? Mikutano ya kongamano la katiba imo kwenye katiba ya mikutano ya kila mwaka ya chama? Msinikoromee Mama kasema😂😂
Watu wa Musoma ili waelewe, fimbo sana au kichapo kikali ndio huwa wanaelewa.. Shauri yao wakutane na polisi, wataelewa tu, wasijifanye wababe. Hakuna mbabe mbele ya polisi, hili nasema kila siku.Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika .
Mungu ibariki Chadema
View attachment 1923337
Hamza ni Chadema yule ?Hii inathibitisha kuwa Mbowe alifaniliwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.
Tabia za wanachadema zinazo onekana leo hii kama vile; Uhalifu, Ujambazi, Uzaji wa madawa ya kulevya, Kupanga njama za kuuwa watu, kupanga njama za kutenda uhalifu, kujiteka, kuzua taharuki ktk jamii, kueneza uvumi ktk mitandao n.k zote hizo zilikuwa jitihada za Mwenyekiti wao.
Kwani kufanya kongamano la katiba mpya ni kuvunja sheria?Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika .
Mungu ibariki Chadema
View attachment 1923337