Musoma: Polisi Wazingira ofisi ya CHADEMA kulikopangwa kufanyika kongamano la Katiba Mpya

Msajili wa bvyama vya siasa upo,wala hutoi neno.Ukisikia wapinzani wanataka kuandamana wakipinga uonevu bila sha utatia neno.Nadhani ni bora ipitishwe sheria na wana ccm bungeni ya kufutwa kwa vyama vya siasa mpaka uchumi wa nchi yetu utakapoboreka maana hao wapinzani wanakwamisha maendeleo!
Msajili kateuliwa na mwenyekiti wa CCM na kala kiapo cha kumtii hivyo lazima amlinde yeye na chama chake dhidi ya vyama vingine.
 
Hii inathibitisha kuwa Mbowe alifaniliwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.
Tabia za wanachadema zinazo onekana leo hii kama vile; Uhalifu, Ujambazi, Uzaji wa madawa ya kulevya, Kupanga njama za kuuwa watu, kupanga njama za kutenda uhalifu, kujiteka, kuzua taharuki ktk jamii, kueneza uvumi ktk mitandao n.k zote hizo zilikuwa jitihada za Mwenyekiti wao.
Lakni yote hayo uliyoyataja hakuna mahakama mahakama iliyowakuta na hatia kisheria.
 
Back
Top Bottom