Musoma: Polisi Wazingira ofisi ya CHADEMA kulikopangwa kufanyika kongamano la Katiba Mpya

CHADEMA nendeni mahakamani,ili mahakama itafasiri sheria acheni kulialia tumechoka na haya ya polisi mbona mnao mawakili wasomi shida ipo wapi mnaonewa kila siku.

Tofauti na hapo acheni kulialia
 
Kanda ya Ziwa Hasa Musoma na Tarime acheni Uchawa na Upimbi! Huko CHADEMA nyie ni watumwa tuuuu mammmae zenu. Mshaaaambiwa kile Chama lazima Mwenyekiti atoke kanda ya upendeleo ya KKT. Hivi hata Chacha Wangwe walichomfanyia akina MALYA na MBOWE hakiwaumi?????? Kuweni na Utu na kujua historia ya hizi Taasisi vinginevyo mtaendelea kutumika kama toilet paper amkeniiiii.
 
Kazi wanajipa wenyewe kwa kuzuia mijadala juu ya katiba mpya na kutokana na uonevu waufanyao dhidi yao na pia kwa kukosa weledi kisa kukosa kujiamini kwani wanafahamu wamefikaje hapo walipo.
Hawalali hawasinziii
 
Kanda ya Ziwa Hasa Musoma na Tarime acheni Uchawa na Upimbi! Huko CHADEMA nyie ni watumwa tuuuu mammmae zenu. Mshaaaambiwa kile Chama lazima Mwenyekiti atoke kanda ya upendeleo ya KKT. Hivi hata Chacha Wangwe walichomfanyia akina MALYA na MBOWE hakiwaumi?????? Kuweni na Utu na kujua historia ya hizi Taasisi vinginevyo mtaendelea kutumika kama toilet paper amkeniiiii.
Ligaidi na comenti
t yake🤣🤣
 
Huna akili. Ajali itokee barabarani usingizie Mbowe ?!. Kwani baada ya ajali hiyo. Ajali hazitokei na kuua watu ?!.

Mara hiyo bila mbeleko ya police na wakurugenzi Ccm ikiambulia majimbo labda mawili
 
Mama alishasema, mikutano ya ndani ni ile iliyomo katika katiba zenu za vyama. Hamukumuelewa? Mikutano ya kongamano la katiba imo kwenye katiba ya mikutano ya kila mwaka ya chama? Msinikoromee Mama kasema😂😂
 
Kufauwongo wewe endelea kufakufa,ukiamka huenda ukaeleweka.Hapa inatakiwa katiba mpya , mengine ni porojo tu.
 
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika .

Mungu ibariki Chadema

View attachment 1923337
Watu wa Musoma ili waelewe, fimbo sana au kichapo kikali ndio huwa wanaelewa.. Shauri yao wakutane na polisi, wataelewa tu, wasijifanye wababe. Hakuna mbabe mbele ya polisi, hili nasema kila siku.
 
Elimu ya kitanzania bado hairuhusu uwepo wa diversity .

Inataka kila kionekanacho au kisemwacho na mtu fulani aliyepewa madaraka basi ni sahihi , kisitiliwe shaka wala kuhojiwa.

Hivi ndivyo jamii inaendelea kudidimizwa iamini hivyo ila CCM watambue zama zinabadilika na taratibu kinakuja kizazi tofauti na matatizo mapya yanaongezeka hasa tatizi la ajira hili litakuja kuonenekana uzito wake siku rika hilo likikataa kuendelea kuwa watu wa ndio
 
hilo jambo kwa sasa halitakiwi kuwepo, na mamlaka ilisha toa tamko sasa kuendelea kulazimisha ni sawa na kukaidi Amri halali.
Hivi nyie wafuasi wa Mbowe kwa nn mnataka kuisumbua awamu ya Mama?!
nana anawatuma kuleta usumbufu ktk awamu yake?
Mbona kipindi cha JMPM mliufyata mkia?!
sasa mnajifanya vidume wakati mliywea wakati wa JPM!!
Dawa yenu ni kubanwa mbavu mpaka njia zote zifunguke, tena mnabanwa mkiwa cello mpaka mtie adabu.
Nashauri Wafuasi wa Mbowe watiwe adabu bila huruma
 
MF6pQ.jpg
 
Hii inathibitisha kuwa Mbowe alifaniliwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.
Tabia za wanachadema zinazo onekana leo hii kama vile; Uhalifu, Ujambazi, Uzaji wa madawa ya kulevya, Kupanga njama za kuuwa watu, kupanga njama za kutenda uhalifu, kujiteka, kuzua taharuki ktk jamii, kueneza uvumi ktk mitandao n.k zote hizo zilikuwa jitihada za Mwenyekiti wao.
 
Hamza ni Chadema yule ?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom