Muslims join Jews for Christmas Day

Muslims join Jews for Christmas Day

naona sasa ndugu yangu katika Iimani umeanza kukengeuka. Na nakubaliana kwa 100% na Dr kuwa umeanza kuchanganya mambo ima kwa kutaka kusifiwa na manaswala au kwa kupata thamani ndogo ya Dunia na kuacha uomgovu wa Mungu.

Bible inasema Luke 22 :63WalewatuwaliokuwawanamchungaYesu, walimpiga nakumdhihaki.
64 Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, "Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri tuone!"
Mathew 26: 67 Kisha wakamtemea mate usoni, wakampiga makofi. Wakamkanyaga na Wengine wakiwa wanampiga makofi,

na Quran inasema hivi
Quran 4:157.Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu,....."
Kwa hiyo tunaona kuwa Issa (yesu) hakuuliwa, hakusulubiwa wala hakuna dhara lolote lililompata.

Je huyu anayezungumziwa hapa inawezekana kuwa mtu mmoja.

ndio maana Dr Hamza ameweka bayana kabisa YESU kwenye Bible sio Sawa na Issa wa kwenye Quran.

Kwenye Bible sifa ya Yesu ni mtoto wa Mungu na imeelezwa wazi kuwa kuna Mungu baba, Mungu Roho matakatifu na Mungu Mwana. hapo utaona Yesu ni Mwana wa Mungu.

Quran inasema hivi:
Surah 19 35. Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanahu, Yeye ametakasika! Anapo lihukumia jambo basi huliambia tu: Kuwa! Likawa. ***

Kifupi Yesu ni Mungu kwa mujibu wa Bible na Quran imesema Issa ni mtume wa Mungu,

Sasa unaposema Dr Hamza na mimi ni makafir. Labda utubainishie ni wapi katika Quran tumekufuru. Mimi nipo Tayari kabisa kurejea kwa Allah kama utanikidhi haja yangu ya kunifafanulia kama Yesu aliyetajwa kwenye Biblia ni sawa kabisa na Yule wa Kwenye Quran.

kama kawaida ya Uislam tunatumia Aya za Allah na upande mwingine unipe andiko kutoka kwenye Biblia kuthibitisha Hoja zako.

Nachelea kusema Waislam tumekatazwa Dhana. naomba darasa yako Sheikh.

Pursuant to (Sunaan Ibn Majah V:4290) reveals that Allah loves illiterate people and hates educated people and he had promised the first entry to Paradise to the illiterate Muslims and the last entry to the educated Muslims. The reason was simple. Muhammad wanted to keep his followers away from education because he knew that his newly established religion could not survive if criticism is allowed.

Its seems now sadeeq has seen the light, he doesn't want to be illiterate as allah wishes to all muham-madans.

Furhermore, Jesus of the Bible is not Isa of the Koran.
 
Mimi nipo Tayari kabisa kurejea kwa Allah kama utanikidhi haja yangu ya kunifafanulia kama Yesu aliyetajwa kwenye Biblia ni sawa kabisa na Yule wa Kwenye Quran.

kama kawaida ya Uislam tunatumia Aya za Allah na upande mwingine unipe andiko kutoka kwenye Biblia kuthibitisha Hoja zako.

Nachelea kusema Waislam tumekatazwa Dhana. naomba darasa yako Sheikh.

Hereunder are few exhibits that debunking Isa of the Koran who is distinct from the Jesus of the Bible.

Isa wa Koran did not die on a cross

Christians and Jews have corrupted their scriptures. (Âl 'Imran 3:74-77, 113) Although Christians believe ‘Isa died on a cross, and Jews claim they killed him, in reality he was not killed or crucified, and those who said he was crucified lied (An-Nisa' 4:157). ‘Isa did not die, but ascended to Allah. (An-Nisa' 4:15 On the day of Resurrection ‘Isa himself will be a witness against Jews and Christians for believing in his death. (An-Nisa' 4:159)

Isa wa ndani ya Koran was a prophet of Islam

Jesus' true name, according to the Qur'an, was ‘Isa. His message was pure Islam, surrender to Allah. (Âl 'Imran 3:84) Like all the Muslim prophets before him, and like Muhammad after him, ‘Isa was a lawgiver, and Christians should submit to his law. (Âl 'Imran 3:50; Al-Ma'idah 5:4 ‘Isa's original disciples were also true Muslims, for they said ‘We believe. Bear witness that we have surrendered. We are Muslims.' (Al-Ma'idah 5:111)

Isa (Jesus) of the Qur'an is a product of fable, imagination and ignorance. When Muslims venerate this ‘Isa, they have someone different in mind from the Yeshua or Jesus of the Bible and of history. The ‘Isa of the Qur'an is based on no recognized form of historical evidence, but on fables current in seventh century Arabia.

Kwamsaada zaidi ingia kwenye hii mada ya jukwa la dini: https://www.jamiiforums.com/dini-imani/26760-isa-wa-koran-sio-yesu-wa-biblia.html
 
Hereunder are few exhibits that debunking Isa of the Koran who is distinct from the Jesus of the Bible.

Isa wa Koran did not die on a cross

Christians and Jews have corrupted their scriptures. (Âl 'Imran 3:74-77, 113) Although Christians believe ‘Isa died on a cross, and Jews claim they killed him, in reality he was not killed or crucified, and those who said he was crucified lied (An-Nisa’ 4:157). ‘Isa did not die, but ascended to Allah. (An-Nisa’ 4:15 On the day of Resurrection ‘Isa himself will be a witness against Jews and Christians for believing in his death. (An-Nisa’ 4:159)

Isa wa ndani ya Koran was a prophet of Islam

Jesus’ true name, according to the Qur’an, was ‘Isa. His message was pure Islam, surrender to Allah. (Âl 'Imran 3:84) Like all the Muslim prophets before him, and like Muhammad after him, ‘Isa was a lawgiver, and Christians should submit to his law. (Âl 'Imran 3:50; Al-Ma’idah 5:4 ‘Isa’s original disciples were also true Muslims, for they said ‘We believe. Bear witness that we have surrendered. We are Muslims.’ (Al-Ma’idah 5:111)

Isa (Jesus) of the Qur’an is a product of fable, imagination and ignorance. When Muslims venerate this ‘Isa, they have someone different in mind from the Yeshua or Jesus of the Bible and of history. The ‘Isa of the Qur’an is based on no recognized form of historical evidence, but on fables current in seventh century Arabia.

Kwamsaada zaidi ingia kwenye hii mada ya jukwa la dini: [URL="https://www.jamiiforums.com/dini-imani/26760-isa-wa-koran-sio-yesu-wa-biblia.html"]https://www.jamiiforums.com/dini-imani/26760-isa-wa-koran-sio-yesu-wa-biblia.html[/URL]
Get behind!
Dr.Barubaru, Waislamu katika Aqidah yetu tunaamini kuwa Mayahudi ni Makaafir,Je wewe pia unaamini kuwa Mayahudi ni Makaafiri?
 
Hereunder are few exhibits that debunking Isa of the Koran who is distinct from the Jesus of the Bible.

Isa wa Koran did not die on a cross

Christians and Jews have corrupted their scriptures. (Âl 'Imran 3:74-77, 113) Although Christians believe ‘Isa died on a cross, and Jews claim they killed him, in reality he was not killed or crucified, and those who said he was crucified lied (An-Nisa’ 4:157). ‘Isa did not die, but ascended to Allah. (An-Nisa’ 4:15 On the day of Resurrection ‘Isa himself will be a witness against Jews and Christians for believing in his death. (An-Nisa’ 4:159)

Isa wa ndani ya Koran was a prophet of Islam

Jesus’ true name, according to the Qur’an, was ‘Isa. His message was pure Islam, surrender to Allah. (Âl 'Imran 3:84) Like all the Muslim prophets before him, and like Muhammad after him, ‘Isa was a lawgiver, and Christians should submit to his law. (Âl 'Imran 3:50; Al-Ma’idah 5:4 ‘Isa’s original disciples were also true Muslims, for they said ‘We believe. Bear witness that we have surrendered. We are Muslims.’ (Al-Ma’idah 5:111)

Isa (Jesus) of the Qur’an is a product of fable, imagination and ignorance. When Muslims venerate this ‘Isa, they have someone different in mind from the Yeshua or Jesus of the Bible and of history. The ‘Isa of the Qur’an is based on no recognized form of historical evidence, but on fables current in seventh century Arabia.

Kwamsaada zaidi ingia kwenye hii mada ya jukwa la dini: https://www.jamiiforums.com/dini-imani/26760-isa-wa-koran-sio-yesu-wa-biblia.html

Mkuu haya mambo hayata isha na heshima haita kuwapo hata mwisho wa dunia kwa njia ya maneno matupu. kinacho onekana hapa ni kwamba kila mtu kutetea dini anayo iamini?
Ila kuna MTU(jina lipo) alisema. kama ilivyokuwa zama za kina Elia na wale jamaa wa miungu ya bahari, nafikiri unakumbuka kuwa mtu wa Mungu alisema tutoe sadaka ya kuteketeza ili tuone Mungu yupi atajibu?
Nafikiri unajua kilichotokea kwenye hizo sadaka.

Nasisi pia tunaweza kuweka unafiki wa kisiasa pembeni kwa kusema ikitokea kuna ukame na serikali ikasema waumini waombe mvua, sisi tuseme WAANZE WAO kisha sisi tutafuata.
Hapo ndipo nchi itajua Mungu wa nani ndiye mwenye mamlaka juu ya nchi.
Ili siku serikali ikiwa na shida iwaite hao watakao shusha mvua.

Sema itakuwa noma mungu wa jamaa zetu kupewa za uso!
Basi tu tufanye natania tu mjomba......ila tungepewa nafasi....tungethibitisha
Ngoja nicheke kama jamaa mmoja hivi Bua ha ha ha!
 
Calm down Max! Biblia inamuita Abraham Hebrew kwa sababu yeye alikuwa ni mtu kutoka upande mwingine wa Euphrates!
Genesis 14:13"And there came one that had escaped, and told Abram the Hebrew.... "
Kwa hiyo kama Amran alikuwa kiongozi wa Hebrews hakumaanishi kuwa yeye ni Myahudi!Aidha una matatizo ya kuelewa au umeweka mbele mapenzi ya nafsi yako!
Si nilikuambia uisome hii? au hujui Kiingereza? (sina Old testament ya Kiswahili):
Judah alipewa jina la utani (Myahudi) kwa hiyo, ni kizazi cha Judah peke yake walioitwa Mayahudi Originally.
Exodus 6:16-20. "And these are the names of the sons of Levi according to their generations; Ghershon, and Kohath, and Merari.... And the sons of Kohath: Amram.... And Amram took him Jochebed his father's sister to wife; and she bore him Aaron and Moses."
Kwa hiyo Moses alikuwa sio Myahudi kwa sababu yeye sio katika kizazi cha Judah, Moses ni kizazi cha Levite!
*Umesahau, ulitakiwa utoe support kutoka kwenye andiko, hukufanya hivyo!
hivi wewe sideeq ni mwarabu au muislamu? maana sioni sababu ya kabila ya mtu kuhusiana na dini, hata kama moses/musa alikuwa descendant wa levi nk, tunachofuata sisi wa sasa si ukanila bali imani ya dini fulani, na kupingana nawe sio kwamba waislamu ni watu wabaya bali kila moja wetu ameamukufuata imani/kuabudu anacho ona sawa mfano tuseme waislamu mpo sawa, lakini hapo hapo kuna sunni na shia nk nk kwa hiyo cha maana ni kufuata mazuri yakila moja wetu bila kuonana yule mzuri/mbaya.
 
Mkuu wewe ni Doctor wa Nini isijikuwa watu wanadeal na Manyaunyau hapa, Hivi hujui kwamba John ni Yohane, Yuda ni Juda au unataka kupotosha tu makusudi au Hujui Mariam ni Mary kwa Kimombo

Nisome vizuri hapo
Kisheria jina la mtu halibadiliki kutokana na Lugha. Mfano Mtume Mohammad anajulikana kama Mohammad kwa lugha yoyote ile. Lakini Yesu anajulikana kama Jesus kwa kimombo, Essa kwa kiarabu, n.k.n.k.

Hata wewe Sideeq utajulikana hivyo hivyo kwa lugha yotote ile hata ikiwa kichina.
Nimesema kisheria. Labda nikupe kitu kidogo hivi kwa nini unapotaka kupea passport yako unaambiwa ulete cheti cha kuzaliwa? au kwanini unapoanza shule utatakiwa ulete cheti cha kuzaliwa?

Kimsingi utaona pamoja na kujua utaifa wako lakini vile vile kuandika jina lako kwa mujibu wa cheti chako cha kuzaliwa.

Na jina lako linatakiwa lifahamike hivyo hivyo kwa lugha yoyote.

Kuhusu udaktari wangu usikutie khofu sana hata ukiwa kama wa akina manyaunyau lakini nimepata kihalali na nastahiki kuitwa hivyo.
 
Allah ansema kuhusu Issa (Yesu):
Quran 4:157.Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu,....."
Kwa hiyo tunaona kuwa Issa (yesu) hakuuliwa, hakusulubiwa wala hakuna dhara lolote lililompata.
Sasa ALHAJJ HAFIF NA BARUBARU WANAOSEMA KUWA ISSA YESU ALILAWITIWA NA MAYAHUDI, NI KAULI YA KUFRU NA WAO (hAFIF NA BARUBARU) WAMEKUFURU KUFRU YA AINA YA KUFRUL-INKAAR.
Kuhusu Mariam (Mary):Allah anasema katika Quran
Quran 3:42 Na angalia pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Kwa hakika Mwenyezi Mungu amekuteuwa, na akakutakasa, na akakutukuza kuliko wanawake wote".
Sasa Allah amemtwahirisha Mariam, kwa hiyo kauli ya ALHAJJ HAFIF kuwa Mariam ni Malaya ni kufr istihzaha (kufuru ya kufanya mzaha) na yeye mwenyewe (Alhajj Hafif) ni Kaafir.
Allah anasem katika Quran
9:65 Na ukiwauliza, wanasema: Sisi tulikuwa tukipiga porojo na kucheza tu. Sema: Mlikuwa mkimfanyia maskhara Mwenyezi Mungu na Ishara zake na Mtume wake?"
SASA ALHAJJ HAFIFI NA BARUBARU NI MAKAAFIR.
Ninaandaa thread nzima kuhusu hawa watu.

Nimeingia kidogo hapa katika kutaka kusahihisha mambo kidogo hususan kuhusu hukumu au fatwa iliyotolewa kuwa Al Haji Hafif na Barubaru ni Makaafir. Nimeombwa nifafanue kidogo na Mume wangu Dr Hamza.

Nikirejea kwenye taaluma yetu ya kisharia ili kutoa hukmu yoyote ni lazima ujiridhishe pasi na shaka yoyote na kwa ushahidi madhubuti sana na maelezo ya pande zote ndipo unatoa hukumu.

Napenda kumwachia Sadiiq suala hili ni kigezo gani na kwa ushahidi gani amefikia kuwaita wenzake Makaafir. Mimi nitafurahi sana kama utaweka ushahidi wake wote hapa na ujue kilichowafanya waseme hivyo je walikuwa na aya yoyote walioegemea? naomba sana ili tuwekane sawa.

Nikirudi upande wa Sheria za Tanzania, hawakubali kabisa ushahidi wa photocopy ya aina yoyote hata fax, email , au hata sms. Kwa hivi karibuni vinapokelewa tu mahakamani lakini sio ushahidi.

Nikija kwenye Jina halali la Yesu utalipata pale ilipoandikwa Bible ya kwanza. Na ukifatilia zaidi utaona Bible ya kwanza iliandikwa kwa kihebrania na hivyo jina halali kisheria la Yesu utalipata humo.

The same kwa waislam jina halali Mohammad au hata Issa limeandikwa humo, kwani quran ya asli iliandikwa kwa kiarabu.
Kwa mantiki hiyo utaona hawa ni watu wawili tofauti.

Nisingependa nikuchoshe naomba tu ushahidi wako uliotumia mpaka kuwaita ma alhaj hawa wote wawili kuwa makafir.

Mimi Nasriyah Saleh Al Mahdi.
 
Pursuant to (Sunaan Ibn Majah V:4290) reveals that Allah loves illiterate people and hates educated people and he had promised the first entry to Paradise to the illiterate Muslims and the last entry to the educated Muslims. The reason was simple. Muhammad wanted to keep his followers away from education because he knew that his newly established religion could not survive if criticism is allowed.

Its seems now sadeeq has seen the light, he doesn't want to be illiterate as allah wishes to all muham-madans.

Furhermore, Jesus of the Bible is not Isa of the Koran.

Hii ndiyo aya ya kwanza kabisa kutelemka katika Qur'An ya mwenyezi Mungu.

Rejea Qur'An 96:1 inasema: Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba, ***

Kwa mantiki hiyo waislam wanatakiwa kusoma sana lakini kusoma huko kuwe kwa ajili ya Mwenyezi Muumba.
 
Nimeingia kidogo hapa katika kutaka kusahihisha mambo kidogo hususan kuhusu hukumu au fatwa iliyotolewa kuwa Al Haji Hafif na Barubaru ni Makaafir. Nimeombwa nifafanue kidogo na Mume wangu Dr Hamza.

Nikirejea kwenye taaluma yetu ya kisharia ili kutoa hukmu yoyote ni lazima ujiridhishe pasi na shaka yoyote na kwa ushahidi madhubuti sana na maelezo ya pande zote ndipo unatoa hukumu.

Napenda kumwachia Sadiiq suala hili ni kigezo gani na kwa ushahidi gani amefikia kuwaita wenzake Makaafir. Mimi nitafurahi sana kama utaweka ushahidi wake wote hapa na ujue kilichowafanya waseme hivyo je walikuwa na aya yoyote walioegemea? naomba sana ili tuwekane sawa.

Nikirudi upande wa Sheria za Tanzania, hawakubali kabisa ushahidi wa photocopy ya aina yoyote hata fax, email , au hata sms. Kwa hivi karibuni vinapokelewa tu mahakamani lakini sio ushahidi.

Nikija kwenye Jina halali la Yesu utalipata pale ilipoandikwa Bible ya kwanza. Na ukifatilia zaidi utaona Bible ya kwanza iliandikwa kwa kihebrania na hivyo jina halali kisheria la Yesu utalipata humo.

The same kwa waislam jina halali Mohammad au hata Issa limeandikwa humo, kwani quran ya asli iliandikwa kwa kiarabu.
Kwa mantiki hiyo utaona hawa ni watu wawili tofauti.

Nisingependa nikuchoshe naomba tu ushahidi wako uliotumia mpaka kuwaita ma alhaj hawa wote wawili kuwa makafir.

Mimi Nasriyah Saleh Al Mahdi.

Ukhti hakuna chochote hapo hana hata ushahidi wowote wa kisheria bali ushabiki na kutaka kusifiwa.

Amekhitali thamani ndogo ya wana JF na kusahau amali kubwa za Allah.

Ndio maana mimi nilimaliza kwa kusema

To cut short the story, namaliza kwa kusema.

109_6.GIF
 
Inaonekana Bw. Sid umewabana mbavu kwelikweli na kuwapa ukweli hawa makafiruun wanaojitia usilamu. Maana ID moja wanaingia watu 10 kidogo kujaribu hoja ileile bila mafanikio. Hongera sana.

Baada ya hayo, ningeomba Ustaadh Sid uanze kujibu hoja zangu, au la, useme ili nisirejee tena kwenye thread hii, kwa sababu siwezi kujadiliana na watu wenye kukufuru maana hawana msaada kwangu.

Wasalaam
 
mbona mna hamisha mada inakuwa na mwelekeo tofauti? au mna lenu jambo?

Being Jewish is like being a citizen of a religious movement

Being Jewish means you are a part of a religious movement. However, the great majority of Jews become a part of the religious movement through birth and not due to their beliefs or actions. In this way, being Jewish is like being a citizen of a religious movement - Judaism
 
Si nilikuambia kuwa ni Children of Israel? ! wana wa Israel?!
Je unakubaiana na Biblia kuwa Hebrew haimaanishi Jew?

Question: What is Hebrew?
Answer: Hebrew, a Semitic language used by the Jewish people, is one of the world's oldest living languages.

It is the the language used by the Children of israel. Sawa na Sukuma spoken by the sukuma children. You need to know how languages are formed from orthographic and linquistic form. Ikiwa mtazamo wako ni kuwa si lugha ya wayahudi you are very long. It is true that Abraham came from Ur which is present day iraq and maybe parts of iran. But kama msomi ni lazima uelewe kuwa when groups of people or languages meet and interact with other groups they naturally form a lunguages. Na ndiyo sababu kiswahili has a combinations of Bantu, portugese, arabs, khosian, hindi etc these are major language groups found in tanzania and kiswahili orthography is based on these groups. Same to abraham when he mingled in cannaan Hebrew language was formed by his descendants. That is Ismael, and his blessed son Isaac and later Jacob(Israel).

Sasa hapa usilete ubishi wako usio na uelewa wa Quran kuhusu Ishmael na Isaac. Soma quran surah 29:27 - And We bestowed on him Isaac and Jacob, and We established the prophethood and the Scripture among his seed, and We gave him his reward in the world, and lo! in the Hereafter he verily is among the righteous.
-
 
Get behind!
Dr.Barubaru, Waislamu katika Aqidah yetu tunaamini kuwa Mayahudi ni Makaafir,Je wewe pia unaamini kuwa Mayahudi ni Makaafiri?

Kafir by definition ni yule asiye mswalia Mungu wake. Ikiwa hata Muislamu hawezi kwenda msikitini kuabudu, anakuwa kafiri saa hiyo hiyo.
Hivyo wewe Sideeq ikiwa huendi kuswali ni kafir namba moja.
 
[COLOR=black said:
Sasa unaposema Dr Hamza na mimi ni makafir. Labda utubainishie ni wapi katika Quran tumekufuru. Mimi nipo Tayari kabisa kurejea kwa Allah kama utanikidhi haja yangu ya kunifafanulia kama Yesu aliyetajwa kwenye Biblia ni sawa kabisa na Yule wa Kwenye Quran.

kama kawaida ya Uislam tunatumia Aya za Allah na upande mwingine unipe andiko kutoka kwenye Biblia kuthibitisha Hoja zako.

Nachelea kusema Waislam tumekatazwa Dhana. naomba darasa yako Sheikh.

ISA WA QURAN SI YESU WA BIBLIA. ISA KWA MUJIBU WA QURAN NI MPWA WA MUSA NA HARUNI YAANI MWANA WA MIRIAMU DADA YAKE MUSA NA HARUNI- QURAN SURAH 3:35-36 . NA HII INADHIHIRISHA UELEWA FINYU WA MOHAMAD KUHUSU TORATI NA UELEWA BUTU NA UJINGA WA KUFAFANUA MAANDIKO WA WAISLAMU WA LEO. KUTOKA NYAKATI ZA MUSA MPAKA KUZALIWA YESU NI ZAIDI YA MIAKA 1400. HIVYO ISA HAWEZI KUWA YESU.

PIA KUWAITA WATU IBILISI KAMA YESU ALIVYOWAITA WASIKILIZAJI WAKE HAIMAANISHI KUWA WALIKUWA IBILISI. KUTAFSIRI HIVYO NI KIWANGO CHA HALI YA JUU CHA UJINGA WA KUTAFSIRI MAANDIKO KUTOJUA PLOT NZIMA YA MAANDIKO YAANI LENGO NA SABABU, KWANI UKIMKARIPIA MTU KWA KUMWAMBIA UNAFANYA JAMBO KAMA SI MSOMI ANAKUWA SI MSOMI??

LAKINI HILI HALINISHANGAZI IKIWA MOHAMAD MWENYEWE HAKUIELEWA TORATI NA KUONYESHA KUWA ETI (kwa mujibu wa quran surah 3:35-36) ISA AMBAYE NI MPWA WA MUSA NA HARUNI MWANA WA MIRIAMU DADA YAO NDIYE YESU MWANA WA MARIAMU ALIYEKUWA AMEPOSWA NA YUSUFU, NA WAISLAMU WAMELISHUPALIA HILO BILA HATA KUSOMA VIZURI QURANI YAO WENYEWE.
ISLAM IS BASED ON LIES AND HOAXES NA NDIYO SABABU NI VIGUMU SANA KUIELEWA QURAN. na waislamu wengi wanakwepa kuisoma na wanakilimbia kuisoma Biblia. Unfortunately you must be a christian Filled with Holy Spirit to understand the Bible. Hata Mohamad alishindwa kuilelewa kwa sababu hakuwa na Roho mtakatifu. Surah3:35-36 inathibitisha.
 
Tatizo kubwa linalosababisha kutokuelewana kati ya waislam na wakristo ni waislam kulazimisha kufananisha ukristo na uislam. Waislam lazima wakubali kuwa kitabu chao kinajitosheleza bila kuchanganya na bibilia, la sivyo (waislam) watangaze waazi tu kuwa dini yao/ kitabu chao haikamiliki bila kukilinganisha na bibilia.
 
Mzizi wa Mbuyu, quran haina ukamilifu wowote wa kumfanya mtu amwone Mungu. Kumbuka quran ina sura 114 na Biblia in Sura 929. Hivyo kuilinganisha quran na Biblia ni uendawazimu wa hali ya juu sawa na kusema kuwa kiuchumi tanzania inalingana na marekani.

Kurani haina majibu ya maswali ya msingi juu ya:

Uumbaji ulikuwaje? Soma Bible kitabu cha Mwanzo
Uhai ni nini? pumzi ya Mungu - Mwanzo 1:26-29
Nini hatma ya mwanadamu baada ya dunia? Soma kitabu cha ufunuo.
Mkao wa dunia katika nga - soma ayubu 26:7
Archiological evidence ya matukio kama ya mafuriko wakati wa Nuhu.
Historia ya tawala za falme kubwa zilizopita -Soma kitabu cha daniel
na mambo mengine mengi.
 
Ukhti hakuna chochote hapo hana hata ushahidi wowote wa kisheria bali ushabiki na kutaka kusifiwa.

Amekhitali thamani ndogo ya wana JF na kusahau amali kubwa za Allah.

Ndio maana mimi nilimaliza kwa kusema

To cut short the story, namaliza kwa kusema.

109_6.GIF

Haj Kabla kutoa fatua yako hapo chini kwa aya hiyo. Tumpe nafasi kwanza Al Akhy Sideeq athibitishe kwanza maneno yake yaliyompelekea kutoa fatua yake.

Elewa kama atashindwa kufanya hivyo basi atatumia uungwana wa kuomba radhwi na kurejea kwa Allah.

Tumpe nafasi.
 
Mzizi wa Mbuyu, quran haina ukamilifu wowote wa kumfanya mtu amwone Mungu. Kumbuka quran ina sura 114 na Biblia in Sura 929. Hivyo kuilinganisha quran na Biblia ni uendawazimu wa hali ya juu sawa na kusema kuwa kiuchumi tanzania inalingana na marekani.

Kurani haina majibu ya maswali ya msingi juu ya:

Uumbaji ulikuwaje? Soma Bible kitabu cha Mwanzo
Uhai ni nini? pumzi ya Mungu - Mwanzo 1:26-29
Nini hatma ya mwanadamu baada ya dunia? Soma kitabu cha ufunuo.
Mkao wa dunia katika nga - soma ayubu 26:7
Archiological evidence ya matukio kama ya mafuriko wakati wa Nuhu.
Historia ya tawala za falme kubwa zilizopita -Soma kitabu cha daniel
na mambo mengine mengi.

Ndivyo unavyodidanganya.

Wewe hata ukiambiwa Ukristo umeanzia wapi kwa mujibu wa Bible hujui alafu unajiita mkristo.

Nikikuuliza Ukristo si Dini kwa mujibu wa andiko utabisha kwani hakuna hata sehemu moja paliposema ukristo ni dini.

Vipi kwenye Bible kuna kumbukumbu la Tourati, vipi Torati original ipo wapi? uwezi jibu.

Wewe funika kombe mwanaharamu apite.
 
Tatizo kubwa linalosababisha kutokuelewana kati ya waislam na wakristo ni waislam kulazimisha kufananisha ukristo na uislam. Waislam lazima wakubali kuwa kitabu chao kinajitosheleza bila kuchanganya na bibilia, la sivyo (waislam) watangaze waazi tu kuwa dini yao/ kitabu chao haikamiliki bila kukilinganisha na bibilia.

Nakubaliana na wewe kabisa huwezi hata siku moja kufananisha Bible na Quran. Hivi ni sawa na chumvi na Sukari.

Kila kitabu kimekamilika yaani Bible na Quran na vitabu hivi havitegemeani hata kidogo.

Ni makosa makubwa sana kusoma kitabu kimoja kisha kuhukumu kwa kutumia kitabu kingine kama anavyofanya ahali yangi Sideeq. hapa ni kuchanganya mambo.
 
Back
Top Bottom