Muslims join Jews for Christmas Day

Muslims join Jews for Christmas Day

Haj Kabla kutoa fatua yako hapo chini kwa aya hiyo. Tumpe nafasi kwanza Al Akhy Sideeq athibitishe kwanza maneno yake yaliyompelekea kutoa fatua yake.

Elewa kama atashindwa kufanya hivyo basi atatumia uungwana wa kuomba radhwi na kurejea kwa Allah.

Tumpe nafasi.

Fas'bir swaburan jamiilah.

mash'kuur ya akhiy
 
Nakubaliana na wewe kabisa huwezi hata siku moja kufananisha Bible na Quran. Hivi ni sawa na chumvi na Sukari.

Kila kitabu kimekamilika yaani Bible na Quran na vitabu hivi havitegemeani hata kidogo.
Biblia iliyokamilika kufuatana na wewe inasema kuwa Mayahudi watarudi tena Egypt mara ya pili kama watumwa na hakuna atakaye wanunua!, hii ni katika Torah unaweza kuamini?:
Deutoronomy 28:68[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]BWANA atawarudisha (Mayahudi) tena Misri kwa meli, safari niliyosema kamwe hamngeenda tena. Huko mtajiuza ninyi wenyewe kwa adui zenu kama watumwa wa kiume na wa kike, lakini hakuna ye yote atakayewanunua".[/FONT][/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Pia bado hujanijibu swali langu hili:[/FONT][/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Wewe unadai kuwa Muislamu, na Waislamu tunaamini kuwa Mayahudi ni Makaafir, je wewe pia unaamini kuwa Mayahudi ni makafiri?
[/FONT]
[/FONT]
 
Biblia iliyokamilika kufuatana na wewe inasema kuwa Mayahudi watarudi tena Egypt mara ya pili kama watumwa na hakuna atakaye wanunua!, hii ni katika Torah unaweza kuamini?:
Deutoronomy 28:68[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]BWANA atawarudisha (Mayahudi) tena Misri kwa meli, safari niliyosema kamwe hamngeenda tena. Huko mtajiuza ninyi wenyewe kwa adui zenu kama watumwa wa kiume na wa kike, lakini hakuna ye yote atakayewanunua".[/FONT][/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Pia bado hujanijibu swali langu hili:[/FONT][/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Wewe unadai kuwa Muislamu, na Waislamu tunaamini kuwa Mayahudi ni Makaafir, je wewe pia unaamini kuwa Mayahudi ni makafiri?[/FONT]
[/FONT]

Hatuwezi kuongea katika two different frequences.

Nami naona niungane na Haj Hafif alivyosema.

109_6.GIF
 
Ngoja nikurahisishie, sijapata jibu lako hapa:

[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Wewe unadai kuwa Muislamu, na Waislamu tunaamini kuwa Mayahudi ni Makaafir, je wewe pia unaamini kuwa Mayahudi ni makafiri?[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]
[/FONT]

Assalamu alaykum.

Kwa mujibu wa QurAn yenye Sura 114 na Aya 6236, Mayahudi wametajwa mara 36 tu. Na hakuna hata sehemu moja iliposema wazi kuwa Mayahudi ni makafir.
Kwa kweli wa Lillahi nimejitahidi sana kutafuta sijaona waliposema mayahudu ni Makafir.

Sasa kama una aya inayosema bayana kama mayahudi ni Makafir naomba unitajie nami niitafute na kuipambanua.

Sasa kwa mujibu wa ninaodai Uislam wangu naegemea zaidi katika Quran na Hadithi Sahihi katika kuthibitisha hilo.

Vile vile Haj Hafif alisema wazi tunataka uweke wazi kwa kutoa uthibitisha mpaka kufikia hukumu ya kusema sisi ni Makafir? Tunaomba u-paste maandiko yetu katika mada yoyote ile ili tupate uthibitisha na kama utakuwa muungwa kwa kushindwa kuthibitisha basi urejee ka Mola wako.

In Short nimeweka mambo mawili
1. kama ipo aya kwenye Quran inayobainisha wazi kuwa Mayahudi ni Makafiir?
2. Tupe uthibitisha uliokupelekea kusema sisi Makafir?
 
Hapa inaonekana Sideeq hakuishia Madrasa peke yake, alienda mbali zaidi na hata the way anavyojibu hoja zake inathibitisha
 
Naona wenyewe kwa wenyewe wanataka kujifunga mabomu ya kujitoa muhanga.lolz. Jamani hoja zangu vipi?? hazijibiki ??
 
Naona Dr. Hamza aka Manyaunyau ameamua kukukimbia LoL! Andaa Maji turudishe watu Kundini! Hapa ni Ubatizo tu
 
Hamza tutamwita Paulo, Haji tutamwita Petro na Sideeq ataitwa Yohane
 
Siyo Mjuvi wa Kuran ila huwa napenda darsa linalotolewaga na Watumishi wa Mungu MaxShimba na Abdulhalim
 
Naona Dr. Hamza aka Manyaunyau ameamua kukukimbia LoL! Andaa Maji turudishe watu Kundini! Hapa ni Ubatizo tu

Inakuuuma kweli kweli mie kuwa Dr. Kwa taarifa yako sikuupatia kupitia vyuo au shule za St St St kama wa Dr Slaa.
Pata record zangu Tambaza, Ilboru, UDSM, Sophia Japan na Carleton( Canada).
 
LoL! Ilboru mwaka gani
 
Ushindwe na ulegee kama ilivyolegea ya Mwana wa Mungu wakti anakanyagwa na wayahudi.

Jibu hoja za Abdulhalim acha porojo zisizo na Msingi, nasikia katika kitabu chenu kuna sura inaitwa Surat Jin ni kweli Dr? Na inazungumzia mambo gani?
 
Inakuuuma kweli kweli mie kuwa Dr. Kwa taarifa yako sikuupatia kupitia vyuo au shule za St St St kama wa Dr Slaa.
Pata record zangu Tambaza, Ilboru, UDSM, Sophia Japan na Carleton( Canada).

Pamoja na Kuendelea kuwatukana Wakristu lakini hawataacha kuendelea kutoa Darsa kuanzai Ilim Dunia Mpaka Quran

History
Sophia University, founded by Jesuit Education Institutions in 1913, was the first university in Japan that fulfilled the hopes of St. Francis Xavier-who came to Japan in 1549 to spread Christianity- to further enhance the high human qualities and attainments of Japanese people. It originally opened with faculties of German literature, philosophy and commerce, headed by Hermann Hoffmann as the first official president. Sophia University continued to grow by increasing the numbers of departments, faculty members and students, in addition to advancing its internationality by establishing the exchange program; several students fled to Georgetown University in America as early as in 1935. Moreover, the Junior College was established in 1973, followed by the opening of the Sophia Community College in 1976. With the founding of Faculty of Liberal Arts in 2006, Sophia University presently holds 27 departments within eight faculties, headed by Yoshiaki Ishizawa as the president and Toshiaki Koso as head of the board of directors.

Source

[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Sophia_University[/ame]
 
Jibu hoja za Abdulhalim acha porojo zisizo na Msingi, nasikia katika kitabu chenu kuna sura inaitwa Surat Jin ni kweli Dr? Na inazungumzia mambo gani?

Tayyib.

Naona hoja zangu hazijibiki, basi hapan' shaka ntaendelea kutoa daawa hapa, maana sijaona mkokotoaji mwingine hapa. Wote wameingia mitini.

Will be back shortly...
 
Jibu hoja za Abdulhalim acha porojo zisizo na Msingi, nasikia katika kitabu chenu kuna sura inaitwa Surat Jin ni kweli Dr? Na inazungumzia mambo gani?
Acha upono huo. Kitabu kipo wazi, soma mwenyewe, Hio sio sawa na Bible wanasoma Mapadre tu wee unapea Katekism na Chuo kidogo cha Sala.

Kuna haja gani mimi kukwambia?
 
Back
Top Bottom