Muslims join Jews for Christmas Day | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muslims join Jews for Christmas Day

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MaxShimba, Dec 25, 2009.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  By JEFF KAROUB, Associated Press Writer Jeff Karoub, Associated Press Writer – 1 hr 5 mins ago

  DETROIT – Many Jews consider Christmas Day an opportunity to serve their community while Christian neighbors celebrate their holiday. This year, what's also known as Mitzvah Day in southeast Michigan is getting an added boost from Muslims.

  For the first time, about 40 Muslims are expected to join 900 Jews for what they call their largest annual day of volunteering. Leaders say it's a small but significant step in diffusing tensions and promoting good will between the religions — particularly on a day that is sacred to Christianity, the third Abrahamic faith.

  Mitzvah Day, a nearly 20-year tradition in the Detroit area also practiced in other communities, is so named because Mitzvah means "commandment" in Hebrew and is generally translated as a good deed.

  The new partnership stemmed from a recent meeting between members of the Council of Islamic Organizations of Michigan, the Jewish Community Relations Council and the Jewish Federation of Metropolitan Detroit — which said it was unaware of any similar Mitzvah Day alliances.

  http://news.yahoo.com/s/ap/20091224/ap_on_re_us/us_a_muslim_mitzvah
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Huwa wananunulia nguo mpya watoto wao vilevile na kupika pilau.
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Hivi ninitofauti ya Jews na Christians?.

  Hivi Yesu alikuwa Jew au Christ? Naomba andiko toka kwenye Bible kufafanua hilo
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Dec 25, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Kuna stori ndefu kidogo kuhusu dini yao ukianzia wakati mgawanyiko wa nchi yao kati ya Israel na Judea wakati wa utawala wa mfalme Solomomn. Hata hivyo ingawa Yesu alikuwa ni muisrael, kwa kifupi ni kuwa Jews wengi hawaamini kuwa Yesu huyo ndiye Masiha; kwa hiyo kimsingi wao bado wanamsubiri "Masiha". Dini yao ya Judaism chanzo chake ni kule Judea na inafuata misingi iilyoachwa wakati wa mzee wao Abraham. Tangu mzee huyo alipoambiwa na Mungu kuwa atamtuma Masiha kuja kuwakomboa wanadamu, basi wao bado wanamsubiri huyo Masiha.
   
 5. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Muslims join jews for Christmas! So what?
  Si wanaishi pamoja? Huo ndio ujirani mwema na ndio maana hapa kwetu kunakuwa hakuna tofauti katika sikukuu hizi za kidini.
   
 6. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2009
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kutokana na Biblia, Abraham alikuwa sio Myahudi,
  ukiendelea utakuja kuona pia Moses alikuwa sio Myahudi.
  Kama unataka research, feel free.
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mbona mna hamisha mada inakuwa na mwelekeo tofauti? au mna lenu jambo?
   
 8. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe usitutoe nje ya Mada tunataka kujua chimbuko kabla kufata mada. Tutakuwa hatujaitendea haki mada kama hatujui tofauti ya Jews na Christians ndipo tufike kwenye Xmas.
  Endeleeni kuleta Darsa hapa.
   
 9. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #9
  Dec 25, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Ni kweli wakati wa Abraham hakukuwa na Jews ila Jews ni sehemu mojawapo ya descendants wa Abraham. Ndiyo maana nikasema kuna stori ndefu sana kwenye background; sikutaka kujikita kwenye hiyo background history unless kama unadhani tunahitaji kuizungumzia.
   
 10. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2009
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Baada ya kukubali kuwa Abraham hakuwa Myahudi (kama Quran inavyotuambia).
  Sasa tunataka kumjua Moses. Je, alikuwa ni Myahudi au si Myahudi.
  Kama alhaj Hafif alivyowafahamisha si vibaya kuyarudia maneno yake hapa
  "Tutakuwa hatujaitendea haki mada kama hatujui tofauti ya Jews na Christians ndipo tufike kwenye Xmas".
   
 11. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #11
  Dec 25, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kwenye Quran yenu si mmedai Wayahudi waligeuzwa kuwa nguruwe na hawapo? Sasa mnazungumzia Wayahudi gani tena?
   
 12. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2009
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Aya gani hiyo?, quote please.
  Usitubabaishe! Je Moses alikuwa ni Myahudi?
   
 13. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Moses' Hebrew mother, Jochebed and his father were both Hebrews and were both in Egpty at the time of birth of their son Moshe/Moses. Moses had a Hebrew Sister, Miriam.

  As such and according to the Book of Exodus, Moses was born in a time when his people were increasing in number and the Egyptian Pharaoh was worried that they might help Egypt's enemies.

  Accordingly, Moshe was a Hebrew by blood. His wife Zipporah was an Ethiopian.
   
 14. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #14
  Dec 26, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Nafikiri suala la msingi hapa sio story ni kifupi tu.
  Lete andiko kuthibitisha hilo.
   
 15. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2009
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Descendants wa Jacob walikuwa Isrealites ambao ni makabila 12.
  Judah alipewa jina la utani (Myahudi) kwa hiyo, ni kizazi cha Judah peke yake walioitwa Mayahudi Originally.
  Ili kumjuwa Moses soma hii:
  Exodus 6:16-20. "And these are the names of the sons of Levi according to their generations; Ghershon, and Kohath, and Merari.... And the sons of Kohath: Amram.... And Amram took him Jochebed his father's sister to wife; and she bore him Aaron and Moses."
  Kwa hiyo Moses alikuwa sio Myahudi kwa sababu yeye sio katika kizazi cha Judah, Moses ni kizazi cha Levite!
  Moses alikuwa ni mtoa sheria(Taurat) kwa wana wa Israel.
   
 16. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #16
  Dec 26, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160


  Kama hujapata jibu from maxshimbaz post basi wewe ni Kichwa maji....
   
 17. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #17
  Dec 26, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Utegemezi mwengine Bwana!
   
 18. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Shukran akhali yangu kutubainishia.

  Sasa MaxSimba na wewe sema kwa kifupi kabisa kwa support ya andiko toka kwenye Biblia. Je Moses alikuwa Myahudi?
   
 19. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #19
  Dec 26, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hujuwi unacho sema:

  Moses' Father Amram alikuwa ndiye kiongozi wa Hebrews wote Egypt. Kama unajuwa unacho sema nimbie baba yake Moses alisema nini kwa Hebrews wote kiasi cha kuwachukiza Hebrews families?

  Mama yake Moses alikuwa anaitwa Jochebed. Thus despite it appearing that they (Amram and Jocheved) were just married and she gave birth to Moses, in fact they remarried. Moses had an older sister and bother (Aaron) from his parents previous marriage to each other. Thus Moses was saved from infanticide, first by the Pharaonic decree and then by the decree of his own father.

  Now tell me, what was the pharaonic decree? Tell me once again, ni nani na/au taifa gani lilikuwa watumwa Egypt wakati wa Moses and why?

  What was Amram, Moses' father decree? Kama kweli wewe unajuwa usemalo.

  Jibu maswali yangu ili kuonyesha kwa wote hapa JF unajuwa usemalo.
   
 20. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #20
  Dec 26, 2009
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Calm down Max! Biblia inamuita Abraham Hebrew kwa sababu yeye alikuwa ni mtu kutoka upande mwingine wa Euphrates!
  Genesis 14:13"And there came one that had escaped, and told Abram the Hebrew.... "
  Kwa hiyo kama Amran alikuwa kiongozi wa Hebrews hakumaanishi kuwa yeye ni Myahudi!
  Aidha una matatizo ya kuelewa au umeweka mbele mapenzi ya nafsi yako!
  Si nilikuambia uisome hii? au hujui Kiingereza? (sina Old testament ya Kiswahili):
  Judah alipewa jina la utani (Myahudi) kwa hiyo, ni kizazi cha Judah peke yake walioitwa Mayahudi Originally.
  Exodus 6:16-20. "And these are the names of the sons of Levi according to their generations; Ghershon, and Kohath, and Merari.... And the sons of Kohath: Amram.... And Amram took him Jochebed his father's sister to wife; and she bore him Aaron and Moses."
  Kwa hiyo Moses alikuwa sio Myahudi kwa sababu yeye sio katika kizazi cha Judah, Moses ni kizazi cha Levite!
  *Umesahau, ulitakiwa utoe support kutoka kwenye andiko, hukufanya hivyo!
   
Loading...