Wewe umeeilewa vipi Quran 9:30?
Ndio na wewe pia,fuatilia haya majadiliano yangu na yake utaona, ninakoelekea.
Ulipobanwa ukakimbilia katika Biblia, kule nikakuonyesha kuwa nyinyi Mayahudi ni watoto wa Ibilisi, bali nikaenda mbali zaidi ya hapo kwa kukuonyesha kuwa katika kitabu mnachodai kukifuata (Torah) imeandikwa kuwa mtarudi tena Misri kama watumwa na mtakuwa rahisi sana kiasi cha kuwa hakuna atakaye wanunua.Umelikubali,Sasa unakimbilia katika Quran, hii hapa:
5:78. Those among the Children of Israel who disbelieved were cursed by the tongue of Dawûd (David) and 'Iesa (Jesus), son of Maryam (Mary). That was because they disobeyed (Allâh and the Messengers) and were ever transgressing beyond bounds".Rudi katika post, sababu zipo pale.