Muslims join Jews for Christmas Day

Muslims join Jews for Christmas Day

Sideeq,

Kwa mujibu wa aya hiyo hapo juu uliyotoa .Hapa waliolaaniwa sio Wayahudi wote baki ni baadhi ya Wayahudu ndio maana wametumia neno Among wana wa Islael.

Swadaka Allahu L'adhimu.

Hakika Ahali yetu kasema wazi Wayahudi ni Makafir lakini aya aliyoleta inaonyesha wazi Baadhi ya Mayahudi wamelaaniwa.
Na katika tafsiri yake analazimisha tuamini kuwa makafir.

Kwa mujibu wa Quran inavyosema aya hiyo surat Yasin

</B>
36_2.GIF
Sasa Hukumu yako ya kosa la kuikadhibisha Quran ipo ndani ya Quran yenyewe soma hapo. Kosa ulilofanya ni hili​

2_9.gif

Hukumu yako hii soma Quran

2_15.gif

Hizo ni aya za Quran zinabainisha hoja ya kuongeza jambo ima kupunguza neno kwa manufaa ya kibin'Adam na kumthihaki Allah na hukumu yako.

Sideeq mrejee Allah kama alivyofanya Baba yetu Nabii Adam.

Nakuomba Wasia wako Ulioni PM uweke hapa wote wauone.​
 
Tumpongeze JK Nyerere bila hivyo ungekuwa unapiga madufu tu LoL

hakika sijasomeshwa na Nyerere. Nimesomeshwa na Wazazi wangu kwani wao walitoa mchango mkubwa sana kwa Kulipa kodi zote katika biashara zao.

naomba ujue Serikali inaendeshwa kwa Kodi. Hivyo wazazi wangu walilipa kodi na mimi nilisoma.
 
Hivi Majini aka Mashetwani aka Iblises ni mavitu gani haya jamani
 
hakika sijasomeshwa na Nyerere. Nimesomeshwa na Wazazi wangu kwani wao walitoa mchango mkubwa sana kwa Kulipa kodi zote katika biashara zao.

naomba ujue Serikali inaendeshwa kwa Kodi. Hivyo wazazi wangu walilipa kodi na mimi nilisoma.

Ha ha ha

Secondary: Ilboru aka St. lutheran
Chuo: Sophia japan aka Jesuits

Kiburi hakitakusaidia wewe
 
Hakika Ahali yetu kasema wazi Wayahudi ni Makafir lakini aya aliyoleta inaonyesha wazi Baadhi ya Mayahudi wamelaaniwa.
Na katika tafsiri yake analazimisha tuamini kuwa makafir
Inatia moyo kukuona kuwa unakubali kwamba mayahudi wamelaaniwa, sasa unachotaka kujuwa ni Ukafiri wa Mayahudi.
5:78. SURAT AL MAIDA78. Walilaaniwa WALIO KUFURU miongoni mwa Wana wa Israili kwa ulimi wa Daud na wa Isa mwana wa Maryamu. Hayo ni kwa sababu waliasi na wakawa wanapindukia mipaka. ***
Nafikiri umeona hapo.

2:89. And when there came to them (the Jews), a Book (this Qur'ân) from Allâh confirming what is with them [the Taurât (Torah) and the Injeel (Gospel)], although aforetime they had invoked Allâh (for coming of Muhammad Peace be upon him ) in order to gain victory over those who disbelieved, then when there came to them that which they had recognised, they DISBELIEVED in it. SO LET THE CURSE OF ALLAH BE ON DISBELIEVER"
Barubaru said:
Sasa wayahudi wamesifiwa sana hapa Sura 2:47, imeweka wazi kuwa Allah amewapendelea zaidi na hivyo isingewezekana Allah huyo huyo awalaani.
Quran 2:47. O Children of Israel! Remember My Favour which I bestowed upon you and that I preferred you to the 'Alamîn (mankind and jinns) (of your time period, in the past)".
Hapo mnakumbushwa fadhila za Allah alizowafadhilisha, TENA KATIKA WAKATI WAO, ULIOPITA!!
nA Fadhila za Allah ni nyingi tu, kama vile alivyotufadhilisha binadamu juu ya Wanyama, alivyowatajirisha baadhi yetu juu ya baadhi nyingine nk.
Quran 5: 64. The Jews say: "Allâh's Hand is tied up (i.e. He does not give and spend of His Bounty)." Be their hands tied up and be they accursed for what they uttered..."
5:13. So because of their (Jews) breach of their covenant, We cursed them, and made their hearts grow hard. They change the words from their (right) places and have abandoned a good part of the Message that was sent to them. And you will not cease to discover deceit in them, except a few of them....."
5: 60. Say (O Muhammad SAW to the people of the Scripture): "Shall I inform you of something worse than that, regarding the recompense from Allâh: those (Jews) who incurred the Curse of Allâh and His Wrath, those of whom (some) He transformed into monkeys and swines, those who worshipped Tâghût(false deities); such are worse in rank (on the Day of Resurrection in the Hell&shy;fire), and far more astray from the Right Path (in the life of this world)."
 
Inabidi nikuonee tu huruma ni maneno yako. Kwa taarifa yako kuna tofauti kubwa sana kati ya Kafir na kulaaniwa.

Sasa nitakupa tafsiri ya neno Kafir kutoka kwenye Quran. Quran inasema hivi:

2_39.gif

Nafikirii hiyo ni tafsiri tosha kabisa ya Neno Kafir kutoka kwenye Quran.​

Sasa wayahudi wamesifiwa sana hapa Sura 2:47, imeweka wazi kuwa Allah amewapendelea zaidi na hivyo isingewezekana Allah huyo huyo awalaani.​

Waislam wanaamini wazi kwa mujibu wa Quran kilicholaaaniwa ni Sheitwam yaani Iblis na makazi yake ni Motoni. Ndio maana tunajikinga naye kwa kusema Audhu Billahi minna Shaitwani Rajiimi

Sasa utaona bayana kuwa Kaafir anaweza akarejea kwa Allah na akapokelewa toba yake kama inavyosomeka hapa katika Quran.

2_37.gif
Sasa baada ya tafsiri hizo, sasa jiweke sawa unakusudia kusema nini Kafir au Kulaaniwa.

Dr nimekukubali kabisaaaaaaaaaa jamaa anachanganya maneno. Kwa tafsiri zako tena kwa quote za Quran hata jamaa amekaa kimya.

Dr nakuhakikishia huyu asikusumbue kabisa, kwa 100% hajui Quran hata kidogo na ndio maana kila unapomwandikia aya za Quran anashindwa kupambanua.

Tukubali kuwa kila kwenye msafara wa Mamba na Kenge wapo. Sasa ni wakti wa kuwabaini.
 
Dr nimekukubali kabisaaaaaaaaaa jamaa anachanganya maneno. Kwa tafsiri zako tena kwa quote za Quran hata jamaa amekaa kimya.

Dr nakuhakikishia huyu asikusumbue kabisa, kwa 100% hajui Quran hata kidogo na ndio maana kila unapomwandikia aya za Quran anashindwa kupambanua.

Tukubali kuwa kila kwenye msafara wa Mamba na Kenge wapo. Sasa ni wakti wa kuwabaini.
Inatia moyo kukuona kuwa unakubali kwamba mayahudi wamelaaniwa, sasa unachotaka kujuwa ni Ukafiri wa Mayahudi.
5:78. SURAT AL MAIDA78. Walilaaniwa WALIO KUFURU miongoni mwa Wana wa Israili kwa ulimi wa Daud na wa Isa mwana wa Maryamu. Hayo ni kwa sababu waliasi na wakawa wanapindukia mipaka. ***
Nafikiri umeona hapo.

Quran 2:89. And when there came to them (the Jews), a Book (this Qur'ân) from Allâh confirming what is with them [the Taurât (Torah) and the Injeel (Gospel)], although aforetime they had invoked Allâh (for coming of Muhammad Peace be upon him ) in order to gain victory over those who disbelieved, then when there came to them that which they had recognised, they DISBELIEVED in it. SO LET THE CURSE OF ALLAH BE ON DISBELIEVER"

Barubaru said:
Sasa wayahudi wamesifiwa sana hapa Sura 2:47, imeweka wazi kuwa Allah amewapendelea zaidi na hivyo isingewezekana Allah huyo huyo awalaani.

Sasa wayahudi wamesifiwa sana hapa Sura 2:47, imeweka wazi kuwa Allah amewapendelea zaidi na hivyo isingewezekana Allah huyo huyo awalaani.
Quran 2:47. O Children of Israel! Remember My Favour which I bestowed upon you and that I preferred you to the 'Alamîn (mankind and jinns) (of your time period, in the past)".
Hapo mnakumbushwa fadhila za Allah alizowafadhilisha, TENA KATIKA WAKATI WAO, ULIOPITA!!
nA Fadhila za Allah ni nyingi tu, kama vile alivyotufadhilisha binadamu juu ya Wanyama, alivyowatajirisha baadhi yetu juu ya baadhi nyingine nk.
Quran 5: 64. The Jews say: "Allâh's Hand is tied up (i.e. He does not give and spend of His Bounty)." Be their hands tied up and be they accursed for what they uttered..."
Quran 5:13. So because of their (Jews) breach of their covenant, We cursed them, and made their hearts grow hard. They change the words from their (right) places and have abandoned a good part of the Message that was sent to them. And you will not cease to discover deceit in them, except a few of them....."
Quran 5: 60. Say (O Muhammad SAW to the people of the Scripture): "Shall I inform you of something worse than that, regarding the recompense from Allâh: those (Jews) who incurred the Curse of Allâh and His Wrath, those of whom (some) He transformed into monkeys and swines, those who worshipped Tâghût(false deities); such are worse in rank (on the Day of Resurrection in the Hell&shy;fire), and far more astray from the Right Path (in the life of this world)."
 
Swadaka Allahu L'adhimu.

Hakika Ahali yetu kasema wazi Wayahudi ni Makafir lakini aya aliyoleta inaonyesha wazi Baadhi ya Mayahudi wamelaaniwa.
Na katika tafsiri yake analazimisha tuamini kuwa makafir.

Kwa mujibu wa Quran inavyosema aya hiyo surat Yasin

</B>
36_2.GIF
Sasa Hukumu yako ya kosa la kuikadhibisha Quran ipo ndani ya Quran yenyewe soma hapo. Kosa ulilofanya ni hili​

2_9.gif

Hukumu yako hii soma Quran​

2_15.gif

Hizo ni aya za Quran zinabainisha hoja ya kuongeza jambo ima kupunguza neno kwa manufaa ya kibin'Adam na kumthihaki Allah na hukumu yako.​

Sideeq mrejee Allah kama alivyofanya Baba yetu Nabii Adam.​

Nakuomba Wasia wako Ulioni PM uweke hapa wote wauone.​

Hii ndio Hukumu yako Sideeq kwa maneno unayonena. Je umezisoma hizo aya zilizonakiliwa hapo juu kwa kusema kwako hivi
Inatia moyo kukuona kuwa unakubali kwamba mayahudi wamelaaniwa, sasa unachotaka kujuwa ni Ukafiri wa Mayahudi.
5:78. SURAT AL MAIDA78. Walilaaniwa WALIO KUFURU miongoni mwa Wana wa Israili kwa ulimi wa Daud na wa Isa mwana wa Maryamu. Hayo ni kwa sababu waliasi na wakawa wanapindukia mipaka. ***
Nafikiri umeona hapo.

Hapo unaona sawa kweli ?
Quran inasema Walilaaniwa (hii ni past tense) baadhi ya Mayahudi. na wewe unasema wamelaaniwa Mayahudi.
vile vile umepewa aya hii

Quran 2:47. O Children of Israel! Remember My Favour which I bestowed upon you and that I preferred you to the 'Alamîn (mankind and jinns) (of your time period, in the past)".

2:47. Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni, na nikakuteuweni kuliko wote wengineo. ***

Kumbuka visa vyote vya hawa wana wa israel vimeandikwa kwa kutumia past period.
lakini hapo 2:47 wametajwa Waislael wote kabisa.

Sasa sijui unataka kuongeza nini hapo.

Nakushauri uisome vizuri hiyo Hukma yako kwa mujibu wa Quran iliyowekwa na Dr Hamza, na kama utashindwa tafsiri hizo aya sema tutakusaidia. lakini manen mazito kweli hayo.
 
Sideeq unaongeza mambo hususan unapodai hivi Quran 5: 60. Say (O Muhammad SAW to the people of the Scripture): "Shall I inform you of something worse than that, regarding the recompense from Allâh: those (Jews) who incurred the Curse of Allâh and His Wrath, those of whom (some) He transformed into monkeys and swines, those who worshipped Tâghût(false deities); such are worse in rank (on the Day of Resurrection in the Hell&shy;fire), and far more astray from the Right Path (in the life of this world)."

Ngoja tupate ilivyoandikwa kwa kiarabu na tafsiri kwa kiswahili.

5:60
5_60.GIF
60. Sema: Je! Nikwambieni yule ambaye ni mwenye malipo mabaya zaidi kuliko hayo mbele ya Mwenyezi Mungu? Ni yule ambaye Mwenyezi Mungu amemlaani na amemkasirikia, na amewafanya miongoni mwao manyani na nguruwe, na wakamuabudu Shet'ani. Hao ndio wenye mahali pabaya na wamepotea zaidi njia iliyo sawa. ***

Sijaona neno bani Israel katika Quran ya kiarabu wala tafsiri ya Kiswahli ya sura 5:60 Tueleze hilo neno Jews lipo kwenye aya gani?

Dr tunaomba mwongozo hapa.

Ha ha ha

Secondary: Ilboru aka St. lutheran
Chuo: Sophia japan aka Jesuits

Kiburi hakitakusaidia wewe

Kama ingekuwa rahisi namna hiyo basi akina Dr Slaa na wenzake wangepita humo wapate Degree za kueleweka na kutambulika .
 
Sideeq unaongeza mambo hususan unapodai hivi Quran 5: 60. Say (O Muhammad SAW to the people of the Scripture): "Shall I inform you of something worse than that, regarding the recompense from Allâh: those (Jews) who incurred the Curse of Allâh and His Wrath, those of whom (some) He transformed into monkeys and swines, those who worshipped Tâghût(false deities); such are worse in rank (on the Day of Resurrection in the Hell&shy;fire), and far more astray from the Right Path (in the life of this world)."

Ngoja tupate ilivyoandikwa kwa kiarabu na tafsiri kwa kiswahili.

5:60
5_60.GIF
60. Sema: Je! Nikwambieni yule ambaye ni mwenye malipo mabaya zaidi kuliko hayo mbele ya Mwenyezi Mungu? Ni yule ambaye Mwenyezi Mungu amemlaani na amemkasirikia, na amewafanya miongoni mwao manyani na nguruwe, na wakamuabudu Shet'ani. Hao ndio wenye mahali pabaya na wamepotea zaidi njia iliyo sawa. ***

Sijaona neno bani Israel katika Quran ya kiarabu wala tafsiri ya Kiswahli ya sura 5:60 Tueleze hilo neno Jews lipo kwenye aya gani?

Dr tunaomba mwongozo hapa.

Hilo ni Tatizo ya kusoma Tafsiri bila kupitia na kungalia Quran yenyewe yasemaje.

Hata Quran 5:64 hakuna lolote kuhusu Mayahudi. Sideeq anajaribu kuongeza mambo ili kuhalalisha maneno yake. Nazidi kumsisitizia bado ana nafasi ya kurejea kwa Mola wake na Kutubu.

Adhabu yake kwa mujibu wa Quran amebainishwa hivi

2_15.gif
 
Mkuu Barubaru Mbona umekimbia hoja za Abdulhalim bila shaka Daawa imekuingia vinginevyo rejea hoja na utoe majibu mujaradi
 
Sideeq.

Kama nilivyobainisha kwako sipendi uni PM. Weka kila kitu hadharani hakuna tatizo.

Kumbuka umeahidi Thread mbili 1. Thread kuhusu Mimi kuwa Kafir
2. Kuhusu Jews in Tanzania.

Fahamu kuwa ahadi ni deni. Na kwa mujibu wa Dini yako imeweka wazi kuwa alama za Mnafiki ni tatu. 1. Kusema uongo
2. Kutotimiza ahadi zake
3. Kuvunja uaminifu.

Sasa usiwe miongoni mwa Wanafiki. TImiza ahadi zako.
 
Quran 2:47. O Children of Israel! Remember My Favour which I bestowed upon you and that I preferred you to the 'Alamîn (mankind and jinns) (of your time period, in the past)".
Kumbuka visa vyote vya hawa wana wa israel vimeandikwa kwa kutumia past period.
lakini hapo 2:47 wametajwa Waislael wote kabisa.
Unaonekana ni kinyago tu ,katika Aya uliyoitaa hili neno "bestowed" ni past au present?
Sasa tuwaangalie nyinyi Mayahudi wa sasa hivi.
Je ni waumini nyinyi? tafadhali jibu ili tuendelee mbele kuanzia hapa.
Barubaru said:
Na kwa mujibu wa Dini yako imeweka wazi kuwa alama za Mnafiki ni tatu.
Ahsante sana,kwa kubainisha waziwazi kuwa wewe sio Muislam.
Barubaru said:
1. Kusema uongo
2. Kutotimiza ahadi zake
3. Kuvunja uaminifu.
Ni aina gani ya nifaaq inayozungumziwa katika Hadith?
Jibu hilo swali nitakuonyesha unafiki wako.
Quran 5:13. So because of their (Jews) breach of their covenant, We cursed them, and made their hearts grow hard. They change the words from their (right) places and have abandoned a good part of the Message that was sent to them. And you will not cease to discover deceit in them, except a few of them....."
Quran 5: 60. Say (O Muhammad SAW to the people of the Scripture): "Shall I inform you of something worse than that, regarding the recompense from Allâh: those (Jews) who incurred the Curse of Allâh and His Wrath, those of whom (some) He transformed into monkeys and swines, those who worshipped Tâghût(false deities); such are worse in rank (on the Day of Resurrection in the Hell&shy;fire), and far more astray from the Right Path (in the life of this world)."
 
Hii ni aya Sura 2:47.kama ilivyoandikwa kwenye QurAn.

Tafsiri
2_47.gif
Wanao vunja ahadi ya Mwenyezi Mungu baada ya kwisha ifunga, na wakayakata aliyo amrisha Mwenyezi Mungu kuungwa, na wakafanya uharibifu katika nchi; hao ndio wenye khasara. *** (Allahu yaalam)

Sura ya 5:13 imeandikwa hivi katika Kitabu chako QurAn.

5_13.GIF
kwa sababu ya kuvunja agano lao tuliwalaani, na tukazifanya nyoyo zao kuwa ngumu. Wanayabadilisha maneno kutoka pahala pake, na wamesahau sehemu ya yale waliyo kumbushwa. Na huachi kuvumbua khiana kutokana nao, isipo kuwa wachache miongoni mwao. Basi wasamehe na waache. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao wema

tafuta Tafsiri ya Kiswahili ya Sheikh Abdullah Al Farsy uone katika Quran matukio yote katika QurAn mara zote yanazungumzwa katika past participle tense.

Sideeq.

Nakushauri uisome vizuri sana Dini yako kama ilivyoandikwa na kuachana hizo tafsiri zako unazotumia. Kwani mara nyingi sana zinakupotosha na kukufanya uonekane muongo na mnafiki. Je Adhabu ya hao unaijua?

Tunasubiri Thread zote ulizotuahidi.
 
Haj Hafif
Ushauri wako mzuri sana. Ni vizuri ajizoeshe kusoma kitu original na sio kupenda kutafuniwa na kupata tafsiri potofu.

Sideeq

Jiulize kwanini mnaswali kwa kutumia kiarabu? kwanini msitafasiri na kuswali kwa lugha yenu ya asili?

All in all tunasubiri sana Thread zako kama ulivyoahidi ili usiwe miongoni mwa Wanafiki.
 
HM Hafifu said:
Hii ni aya Sura 2:47.kama ilivyoandikwa kwenye QurAn.

Tafsiri
2_47.gif
Katika aya ya 2:47 neno la kiarabu lilotumika pale ni &#1571;&#1606;&#1593;&#1605;&#1578; (nilizowaneemesha) je ni past au present?
HM Hafifu said:
Hata Quran 5:64 hakuna lolote kuhusu Mayahudi.
Na hii hapa ni nini?:
&#1608;&#1614;&#1602;&#1614;&#1575;&#1604;&#1614;&#1578;&#1616; &#1575;&#1604;&#1618;&#1610;&#1614;&#1607;&#1615;&#1608;&#1583;&#1615; &#1610;&#1614;&#1583;&#1615; &#1575;&#1604;&#1604;&#1617;&#1607;&#1616; &#1605;&#1614;&#1594;&#1618;&#1604;&#1615;&#1608;&#1604;&#1614;&#1577;&#1612; &#1594;&#1615;&#1604;&#1617;&#1614;&#1578;&#1618; &#1571;&#1614;&#1610;&#1618;&#1583;&#1616;&#1610;&#1607;&#1616;&#1605;&#1618; &#1608;&#1614;&#1604;&#1615;&#1593;&#1616;&#1606;&#1615;&#1608;&#1575;&#1618; &#1576;&#1616;&#1605;&#1614;&#1575; &#1602;&#1614;&#1575;&#1604;&#1615;&#1608;&#1575;&#1618; &#1576;&#1614;&#1604;&#1618; &#1610;&#1614;&#1583;&#1614;&#1575;&#1607;&#1615; &#1605;&#1614;&#1576;&#1618;&#1587;&#1615;&#1608;&#1591;&#1614;&#1578;&#1614;&#1575;&#1606;&#1616; &#1610;&#1615;&#1606;&#1601;&#1616;&#1602;&#1615; &#1603;&#1614;&#1610;&#1618;&#1601;&#1614; &#1610;&#1614;&#1588;&#1614;&#1575;&#1569; &#1608;&#1614;&#1604;&#1614;&#1610;&#1614;&#1586;&#1616;&#1610;&#1583;&#1614;&#1606;&#1617;&#1614; &#1603;&#1614;&#1579;&#1616;&#1610;&#1585;&#1611;&#1575; &#1605;&#1617;&#1616;&#1606;&#1618;&#1607;&#1615;&#1605; &#1605;&#1617;&#1614;&#1575; &#1571;&#1615;&#1606;&#1586;&#1616;&#1604;&#1614; &#1573;&#1616;&#1604;&#1614;&#1610;&#1618;&#1603;&#1614; &#1605;&#1616;&#1606; &#1585;&#1617;&#1614;&#1576;&#1617;&#1616;&#1603;&#1614; &#1591;&#1615;&#1594;&#1618;&#1610;&#1614;&#1575;&#1606;&#1611;&#1575; &#1608;&#1614;&#1603;&#1615;&#1601;&#1618;&#1585;&#1611;&#1575; &#1608;&#1614;&#1571;&#1614;&#1604;&#1618;&#1602;&#1614;&#1610;&#1618;&#1606;&#1614;&#1575; &#1576;&#1614;&#1610;&#1618;&#1606;&#1614;&#1607;&#1615;&#1605;&#1615; &#1575;&#1604;&#1618;&#1593;&#1614;&#1583;&#1614;&#1575;&#1608;&#1614;&#1577;&#1614; &#1608;&#1614;&#1575;&#1604;&#1618;&#1576;&#1614;&#1594;&#1618;&#1590;&#1614;&#1575;&#1569; &#1573;&#1616;&#1604;&#1614;&#1609; &#1610;&#1614;&#1608;&#1618;&#1605;&#1616; &#1575;&#1604;&#1618;&#1602;&#1616;&#1610;&#1614;&#1575;&#1605;&#1614;&#1577;&#1616; &#1603;&#1615;&#1604;&#1617;&#1614;&#1605;&#1614;&#1575; &#1571;&#1614;&#1608;&#1618;&#1602;&#1614;&#1583;&#1615;&#1608;&#1575;&#1618; &#1606;&#1614;&#1575;&#1585;&#1611;&#1575; &#1604;&#1617;&#1616;&#1604;&#1618;&#1581;&#1614;&#1585;&#1618;&#1576;&#1616; &#1571;&#1614;&#1591;&#1618;&#1601;&#1614;&#1571;&#1614;&#1607;&#1614;&#1575; &#1575;&#1604;&#1604;&#1617;&#1607;&#1615; &#1608;&#1614;&#1610;&#1614;&#1587;&#1618;&#1593;&#1614;&#1608;&#1618;&#1606;&#1614; &#1601;&#1616;&#1610; &#1575;&#1604;&#1571;&#1614;&#1585;&#1618;&#1590;&#1616; ....
barubaru said:
Sideeq

Jiulize kwanini mnaswali kwa kutumia kiarabu? kwanini msitafasiri na kuswali kwa lugha yenu ya asili?
Haya ni mafanikio makubwa sana kwangu kwa kukuwezesha wewe kujionyesha waziwazi kuwa sio Muislamu!
Halafu, ulisema urongo kuhusu Mtume SAW, ulidai kuna Hadith aliyosema kuwa "Dhana inapeleka katika shirk" nimekuuliza kuhusu hiyo "Hadith" hatujapata jibu mpaka leo!
Ukasema tena kuhusu Hadith ya alama za mnafiki ni tatu, nikakuuliza ni aina gani ya nifaaq iliyozungumziwa? hakuna jibu!
"When you go to war do not go as the first, but as the last, so that you may return as the first. Five things has Kanaan recommended to his sons:'Love each other, love the robbery, hate your masters AND NEVER TELL THE TRUTH' " - Pesachim F. 113B​

Katika aya ya 2:47 neno la kiarabu lilotumika pale ni &#1571;&#1606;&#1593;&#1605;&#1578; (nilizowaneemesha) je ni past au present?Na hii hapa ni nini?:
Nitakufundisha somo la Nahau kwa kiswahili na Dr atapambanua zaidi kwa kiarabu.
Nilizowaneemesha ni past
Ninazowaneemesha Present
Nitazowaneemesha ni future

Hapo juu wamezungumzia katika past na sio present

&#1608;&#1614;&#1602;&#1614;&#1575;&#1604;&#1614;&#1578;&#1616; &#1575;&#1604;&#1618;&#1610;&#1614;&#1607;&#1615;&#1608;&#1583;&#1615; &#1610;&#1614;&#1583;&#1615; &#1575;&#1604;&#1604;&#1617;&#1607;&#1616; &#1605;&#1614;&#1594;&#1618;&#1604;&#1615;&#1608;&#1604;&#1614;&#1577;&#1612; &#1594;&#1615;&#1604;&#1617;&#1614;&#1578;&#1618; &#1571;&#1614;&#1610;&#1618;&#1583;&#1616;&#1610;&#1607;&#1616;&#1605;&#1618; &#1608;&#1614;&#1604;&#1615;&#1593;&#1616;&#1606;&#1615;&#1608;&#1575;&#1618; &#1576;&#1616;&#1605;&#1614;&#1575; &#1602;&#1614;&#1575;&#1604;&#1615;&#1608;&#1575;&#1618; &#1576;&#1614;&#1604;&#1618; &#1610;&#1614;&#1583;&#1614;&#1575;&#1607;&#1615; &#1605;&#1614;&#1576;&#1618;&#1587;&#1615;&#1608;&#1591;&#1614;&#1578;&#1614;&#1575;&#1606;&#1616; &#1610;&#1615;&#1606;&#1601;&#1616;&#1602;&#1615; &#1603;&#1614;&#1610;&#1618;&#1601;&#1614; &#1610;&#1614;&#1588;&#1614;&#1575;&#1569; &#1608;&#1614;&#1604;&#1614;&#1610;&#1614;&#1586;&#1616;&#1610;&#1583;&#1614;&#1606;&#1617;&#1614; &#1603;&#1614;&#1579;&#1616;&#1610;&#1585;&#1611;&#1575; &#1605;&#1617;&#1616;&#1606;&#1618;&#1607;&#1615;&#1605; &#1605;&#1617;&#1614;&#1575; &#1571;&#1615;&#1606;&#1586;&#1616;&#1604;&#1614; &#1573;&#1616;&#1604;&#1614;&#1610;&#1618;&#1603;&#1614; &#1605;&#1616;&#1606; &#1585;&#1617;&#1614;&#1576;&#1617;&#1616;&#1603;&#1614; &#1591;&#1615;&#1594;&#1618;&#1610;&#1614;&#1575;&#1606;&#1611;&#1575; &#1608;&#1614;&#1603;&#1615;&#1601;&#1618;&#1585;&#1611;&#1575; &#1608;&#1614;&#1571;&#1614;&#1604;&#1618;&#1602;&#1614;&#1610;&#1618;&#1606;&#1614;&#1575; &#1576;&#1614;&#1610;&#1618;&#1606;&#1614;&#1607;&#1615;&#1605;&#1615; &#1575;&#1604;&#1618;&#1593;&#1614;&#1583;&#1614;&#1575;&#1608;&#1614;&#1577;&#1614; &#1608;&#1614;&#1575;&#1604;&#1618;&#1576;&#1614;&#1594;&#1618;&#1590;&#1614;&#1575;&#1569; &#1573;&#1616;&#1604;&#1614;&#1609; &#1610;&#1614;&#1608;&#1618;&#1605;&#1616; &#1575;&#1604;&#1618;&#1602;&#1616;&#1610;&#1614;&#1575;&#1605;&#1614;&#1577;&#1616; &#1603;&#1615;&#1604;&#1617;&#1614;&#1605;&#1614;&#1575; &#1571;&#1614;&#1608;&#1618;&#1602;&#1614;&#1583;&#1615;&#1608;&#1575;&#1618; &#1606;&#1614;&#1575;&#1585;&#1611;&#1575; &#1604;&#1617;&#1616;&#1604;&#1618;&#1581;&#1614;&#1585;&#1618;&#1576;&#1616; &#1571;&#1614;&#1591;&#1618;&#1601;&#1614;&#1571;&#1614;&#1607;&#1614;&#1575; &#1575;&#1604;&#1604;&#1617;&#1607;&#1615; &#1608;&#1614;&#1610;&#1614;&#1587;&#1618;&#1593;&#1614;&#1608;&#1618;&#1606;&#1614; &#1601;&#1616;&#1610; &#1575;&#1604;&#1571;&#1614;&#1585;&#1618;&#1590;&#1616; ....

Katika Aya hii hakuna neno Bani Israel labda unibainishie Be ipo wapi na
nun na ye zipo wapo ikiwezekana RED them nione maana yake mie sijaona kitu hapo.

Haya ni mafanikio makubwa sana kwangu kwa kukuwezesha wewe kujionyesha waziwazi kuwa sio Muislamu!

Halafu, ulisema urongo kuhusu Mtume SAW, ulidai kuna Hadith aliyosema kuwa "Dhana inapeleka katika shirk" nimekuuliza kuhusu hiyo "Hadith" hatujapata jibu mpaka leo!

Ukasema tena kuhusu Hadith ya alama za mnafiki ni tatu, nikakuuliza ni aina gani ya nifaaq iliyozungumziwa? hakuna jibu!

"When you go to war do not go as the first, but as the last, so that you may return as the first. Five things has Kanaan recommended to his sons:'Love each other, love the robbery, hate your masters AND NEVER TELL THE TRUTH' " - Pesachim F. 113B​
nakukumbusha aya hizi,

</B>

43_3.GIF

3. Hakika Sisi tumeifanya Qur'ani kwa Kiarabu ili mfahamu. *** </B>
43_4.GIF

4. Na hakika hiyo imo katika Asili ya Maandiko yalioko kwetu, ni tukufu na yenye hikima. *** </B>
43_5.GIF

Namaliza mada hii kwa kukushauri kupitia aya hii ya Quran inayosema

</B>
40_10.GIF
 
Baada ya kuona kuwa Mayahudi ni watoto wa Ibilisi kufuatana na Agano Jipya (john 8:44), vilevile tukaendelea kuona kuwa Mayahudi watarudi Misri kwa mara ya pili wakiwa watumwa kutokana na Torah halafu Quran kutuonyesha kuwa Mayahudi ni Makaafir na wamelaaniwa (miongoni mwao) kwa sababu kuna Mayahudi wa kabila (hawa wakiwemo mitume wa Allah kama Issa n.k, sio wanaokusudiwa katika aya) na kuna mayahudi wa dini.
Sasa tunamuomba Dr.Barubaru atuonyesha ile "hadith" aliyodai kuwa Mtume SAW amesema (anavyodai Barubaru)"Jifundisheni swarf na nahwu ili muelewe Quran"
Pia Barubaru atuonyesha hiyo Hadith inayosema "Dhana inapeleka kwenye shirk"
Tafadhali DR. Barubaru.
 
Back
Top Bottom