Muslim University of Moro Graduates huishia wapi?

Jana Magu alitumbua jipu....hilo jipu lina wanachuo zaidi upya 450 walopelekwa st Josephh kusomes kozi mbali mbali wakiwa hawana uwezo na bila ya viwango. Hawa 500 ndio wamejulikana ...
Wengi ni wa dini gani inajulikana.
walopita ni wengi zaidi miaka ya nyuma na ndio wanatuongoza wanao kwenda kwenye hadhara na kusema Tanzania ni mungano wa tanganyika na zimbabwe.

Ama kuhusu wapo wapi hawa wahitimu wa Moro Uni. Ni kuwa wapo kwenye baadhi ya shughuli za binafsi na kazi za makampuni ya ndugu zao.
Wao sio rahisi kuajiriwa na NBC! NMB au serikalini....na tasisi zake. Hilo lipo wazi...Ajira zetu sio equal opportunity bali ni christian opportunity..ni jipu kubwa lime gharimu ustawi wa nchi hii...kwani wapendelewa limefanya wizi mkubwa kila sehemu kwa kuweka watu walosoma kwa upendeleo. mfano hao wa st Joseph university na wengine.
Lazima muwe na kiburi...kazi zite , ma HR wote mumejiweka nyie ...hivyo lazima mufurahi na kufanya dhihaka...lakini Mungu ni Mkubwa akiyokea ambaye hapendi ujinga wenu huu Kama JPM basi mnatumbuliwa na kutumbuliwa mpaka mnatoka usaha na kufa kwa kutoamini .....hayo ndio malipo..na bado mnatumbuliwa kwa wizi ....tunamuomba Magu aendelee kuwatumbua majipu haya mijixi hii ilowekwa kwanye hixi job kiwizi wizi kijamaa jamaa... Ambayo inako cost taifa kws kuweka watu wakidhaniwa wa maana kumbe mijizi
 
Mkuu c hamtaki kusoma elimu dunia nyie mnasoma ya kwenu hiyo sasa unalalamika ili iweje
 
Nani hataki kusoma ? Hizo zilikua sababu za miaka ya zamani kuhalalisha dhulma. Sasa vijana wa kiislam wapo wengi wamesoma hapa nchini na wengine wametudi kusoma kutoka ulaya na marekani na wamefaulu vizuri lakini hawapati kazi ...hawapo katika the equal oportunity....kuna maelfu ya bijana hawa wamemaliza university..hata kazi za polisi ha wapati....
Hskuna anae lalamika hapa..tunajibu joja..iloulizwa.
 
ila kiswahili,kifaransa unaona sawa!..missconception of education,unaona dini sio elimu inayohitajika katika jamii wakat inaongoza mamilioni ya watu,panua ubongo wako kama mapaja ya changudoa uingze maarifa mapya,tatizo mmekariri uhasibu na udaktari tu ndo elimu
Swali lililopo kwenye uzi:- wasomi wa MOMU hupotelea wapi?, au wanaajiriwa/jiajiri kwa sekta zenye upekee?, kwa hiyo Kama wanasomea dini kwa maana hatuwezi kukutana nao mtaani kwenye soko la ajira la wote.
 
Nani hataki kusoma ? Hizo zilikua sababu za miaka ya zamani kuhalalisha dhulma. Sasa vijana wa kiislam wapo wengi wamesoma hapa nchini na wengine wametudi kusoma kutoka ulaya na marekani na wamefaulu vizuri lakini hawapati kazi ...hawapo katika the equal oportunity....kuna maelfu ya bijana hawa wamemaliza university..hata kazi za polisi ha wapati....
Hskuna anae lalamika hapa..tunajibu joja..iloulizwa.
Ok kama ni hivyo mbona nssf na pspf mumejaa sana lkn hatusemi
 
Mkuu c hamtaki kusoma elimu dunia nyie mnasoma ya kwenu hiyo sasa unalalamika ili iweje
Mkuu usipate shida. Kwani % kubwa ya mikoa inayoongoza kushika mikia kwenye matokeo ya mitihani ya taifa wao ndo wameshamiri. Pia ata swala la elimu wao halikuwa na kipao mbele toka mwanzo. Wao wanadhani makanisa ya wakristo ni misaada. Wangejua watu wanajitoa wakijua watakao soma hapo ni wote. Sio elimu tu angalia na hospitali kubwa. Watu wanachangishana ata kwa kuuza ubuyu na serikali kwa kuliona hilo inaweza ata kuwasaidia madactari. Lakin kwa staili ya kulia lia bila kuwajibika huku mapovu yakiwatoka kuwa wakristu wanapendelewa hamfiki mbali na wakristu wataendelea tu kufanya poa

Hili la st. Joseph serikali kupitia bodi ya uandisi ifute/ isiwasajili watu ambao hawakuwa na vigezo vya kujiunga na chuoa na wamesoma kozi husika. Pia swala la mtu ambaye sio mhandiasi kufanya kazi za kihandisi ile sheria ifanyiwe kazi ili pasepo na ujanjanja. Hii itasaidia kuongeza ubora wa elimu kwan watu wakikataliw mara mbili au zaidi wataacha kusoma chuo husika
 
Hawa jamaa wanashanga sana kutaka haki sawa wakati hawana vigezo eti anataka serikali iwa ajili kwa elimu ya madrasa
 
Jana Magu alitumbua jipu....hilo jipu lina wanachuo zaidi upya 450 walopelekwa st Josephh kusomes kozi mbali mbali wakiwa hawana uwezo na bila ya viwango. Hawa 500 ndio wamejulikana ...
Wengi ni wa dini gani inajulikana.
walopita ni wengi zaidi miaka ya nyuma na ndio wanatuongoza wanao kwenda kwenye hadhara na kusema Tanzania ni mungano wa tanganyika na zimbabwe.

Ama kuhusu wapo wapi hawa wahitimu wa Moro Uni. Ni kuwa wapo kwenye baadhi ya shughuli za binafsi na kazi za makampuni ya ndugu zao.
Wao sio rahisi kuajiriwa na NBC! NMB au serikalini....na tasisi zake. Hilo lipo wazi...Ajira zetu sio equal opportunity bali ni christian opportunity..ni jipu kubwa lime gharimu ustawi wa nchi hii...kwani wapendelewa limefanya wizi mkubwa kila sehemu kwa kuweka watu walosoma kwa upendeleo. mfano hao wa st Joseph university na wengine.
Lazima muwe na kiburi...kazi zite , ma HR wote mumejiweka nyie ...hivyo lazima mufurahi na kufanya dhihaka...lakini Mungu ni Mkubwa akiyokea ambaye hapendi ujinga wenu huu Kama JPM basi mnatumbuliwa na kutumbuliwa mpaka mnatoka usaha na kufa kwa kutoamini .....hayo ndio malipo..na bado mnatumbuliwa kwa wizi ....tunamuomba Magu aendelee kuwatumbua majipu haya mijixi hii ilowekwa kwanye hixi job kiwizi wizi kijamaa jamaa... Ambayo inako cost taifa kws kuweka watu wakidhaniwa wa maana kumbe mijizi
Kuna shida kubwa Sana vichwani mwetu!, Kuna tatizo la ajira nchini mwetu, wanasiasa wameliongelea Hilo, wapinzani wanailaumu serikali ya CCM, hapo hapo waislam wanalaumu wanachoita mfumo kristo!, wanaharakati wanalaumu mfumo Na ubora wa elimu inayomuaandaa mtanzania kusubiria kuajiriwa Na sio kujiajiri, kilichobaki Ni kutupiana mpira!, tatizo lipo moja kwa wote, sababu nyingi tofautitofauti kwa tatizo lilelile moja kutegemea jukwaa tulilosimama!,
Wanaharakati forum:- mfumo Na elimu duni
Wanasiasa(wapinzani) forum:- Serikali ya CCM.
Waislam forum:- Tatizo mfumo kristo!.
 
Nani hataki kusoma ? Hizo zilikua sababu za miaka ya zamani kuhalalisha dhulma. Sasa vijana wa kiislam wapo wengi wamesoma hapa nchini na wengine wametudi kusoma kutoka ulaya na marekani na wamefaulu vizuri lakini hawapati kazi ...hawapo katika the equal oportunity....kuna maelfu ya bijana hawa wamemaliza university..hata kazi za polisi ha wapati....
Hskuna anae lalamika hapa..tunajibu joja..iloulizwa.
Kusoma ulaya sio hoja. Kama wamesoma vyuo kama st. Joseph wapewe kazi tu!!!! ili wakaharibu kazi ya nani hivi. Yaani huko kazini wanaangalia uwezo zaidi. Kwanza swala la kazi waislam ndo wabaguzi. Nakumbuka swaiba angu alipata kazi ofisi fulani inamilikiwa mwislam yaani kuanzi kwenye salary jamaa alikuwa anatengwa na alikuwa ata akienda kudai haki yake hasikilizwi tofauti na wenzake mpaka akaamua kuacha kazi. Akati wa mfungo sasa yaaani mpaka alikuwa anajuta. Yaani mtu anaulizwa mbona hafungi kwan lazima????? Ujumbe wameupata lakini
 
Kutokuwepo TCU sio maana yake uchukue hata asie na sifa. Muslim University of Morogoro kimejipambanua kwa TAFITI ZA KIMATAIFA na kinafahamika duniani pote pia Wahitimu wake wengi huajiriwa na Taasisi za kimataifa ikiwemo UN. Hakunaga kama MUM.

Leta ushahidi wa hoja yako...wangapi wameajiiwa huko UN na tafiti za maana ziliofanywa...
 
MMU Tunao makazin lakini lakini kwa upande wa ualimu ngazi ya degree ni vilaza kuliko hata mwalimu wa grade A
 
Back
Top Bottom