Muslim University of Moro Graduates huishia wapi?

Muslim University of Moro Graduates huishia wapi?

Hivi kile chuo huo Kuna warembo na huwa wanapatika
 
Hivi kile chuo huo Kuna warembo na huwa wanapatika
Kwanza kama sio muislamu pale utaishi kwa tabu sana.
Wanalazimisha kuvaa mabaibui, hakuna kukaa in pair, lazima muwe wengi ndo mkae pamoja, wanachapa bakora za matako wakikukuta mmekaa mnapiga story na mabint, unatafutiwa mke mnaozwa, yani mambo ya hovyo hovyo tu. Chuo cha hovyo sana kile, hakijafokas kwenye elimu bali udini dini tu, hawa wahamie huko Sudan na Somalia
 
Bullshit! Uharo mtupu unaandika hapa!
 
Chuo hiki kikuu kilichopo maeneo ya Msamvu Morogoro, kilianzishwa mara baada ya kupewa majengo yaliyokuwa Chuo cha TANESCO pamoja na kuzalisha wahitimu toka enzi hizo na kufungua matawi sehemu kadhaa za pwani ya Tanzania (ikiwemo Zanzibar - Unguja) ni vigumu sana kukutana na wahitimu hao sehemu za kazi, biashara na nyanja mbalimbali za kujenga uchumi.

Tuseme hawa wahitimu wanajiajiri tu kwenye sekta zisizoonekana kwa macho? ama wanaishia ughaibuni ambako ni ngumu kuwa-track?

** Tafadhali usichafue hali ya hewa ni katika kutaka kujua tu ili kupima ubora unaoimbwa na TCU katika vyuo vikuu Tanzania.
Je Wahadhiri wake wanaajiriwa kwa sifa zipi? Je TCU inaweza kwenda kupitia CV zao na kujiridhisha? Bila kupata figisu figisu kwa uongozi wa chuo husika?
Tembelea Mogadishu mkuu wapo kibao
 
Back
Top Bottom